nchi nzima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Serikali yasema imejenga Shule 760 za Kata, kati ya 1000 zilizopangwa kujengwa nchi nzima kupitia SEQUIP

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amezindua Shule mpya ya Sekondari ya Yombo iliyojengwa katika Kata ya Ikuna Wilaya Njombe, Mkoani Njombe Akizungumza Oktoba 03,2024 katika Kata ya Ikuna baada ya kuzindua shule hiyo Prof. Mkenda amesema kuwa Serikali inaendelea kuwekeza...
  2. JamiiForums Tanzania BAWACHA watangaza kuchoma vitenge walivyopewa kama zawadi na Rais Samia mwaka jana

    Baraza La Wanawake CHADEMA maarufu kama BAWACHA imetoa tamko rasmi kufuatia matendo ya utekaji na mauaji yanayoendelea nchini. BAWACHA wakiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari siku ya leo wametangaza kuwa kutokana na kitendo cha Rais Samia kutokuwawajibisha wote waliohusika na mauaji ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa sasa nchi nzima iko chini ya udhibiti wa dola, iwe baa ya nyota tano au kilabu cha komoni na chibuku, kijiwe cha boda,.gesti, wako kila kona

    Uwe mwangalifu, siafu wamesambaa kila kona, usimuamini jirani aliyekaa karibu na wewe. Jamaa wako kila uchochoro, wako kila mahali. Ile nchi ambayo walitaka iingie kazini sasa iko ndani kabisa ya kila mtaa, ndani kabisa ya maisha ya kila mtu. Now, we witness the state doing its job ambayo watu...
  4. JamiiForums Tanzania Tunajua Unalazimisha huku Kujipendekeza Kwake ili mwakani uwe Mwandamizi katika Kuzunguka nae nchi nzima wakati wa Kampeni

    DAR ES SALAAM; Msanii wa muziki wa kizazi kipya Faustina Charles ‘Nandy’, ameibuka kwenye mkutano na wanahabari akiwa ametinga vazi analosema ni kama mtindo wa nguo za Rais Samia Suluhu Hassan. Nandy aliyekuja kuzungumzia tamasha lake litakalofanyika Mwanza kesho, alikuwa amevaa ushungi mweusi...
  5. JamiiForums Tanzania Utafiti wangu Nchi Nzima: Watu Wote Wenye Akili Timamu Tanzania Wanaipenda CCM - Data Ninazo

    CCM imejijenga kuwa chama cha kisiasa chenye historia ndefu na mchango mkubwa katika kuleta maendeleo ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi. Watu wengi nchini wanaona kuwa CCM imeleta amani, umoja, na utulivu tangu nchi ipate uhuru mnamo mwaka 1961. Kwa hiyo, upendo au kuunga mkono CCM unaweza kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Imekuaje barabara karibia nchi nzima zinabomolewa na kuachwa kwa mda mrefu bila marekebisho

    Hii ni Tabia chafu sanna ya kufumua barabara kisha inaachwa zaidi ya miezi sita huku ikiathiri maisha ya watu kwa maradhi ya macho mafua vifua vumbi kali sanna magari kuharibuka kwa mashimo tumerudi miaka nyuma huko. Kwanini kama budget hazijatengwa barabara zifumuliwe? Naendelea kusema...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa hilo la UMEME Nchi nzima hongera Serikali.

    Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Nachukua fursa hii kuipongeza Serikali kwa KUTIMIZA WAJIBU wake kwa kuhakikisha Tanzania nzima inao mtandao wa mwanga wa nishati ya umeme karibu Miji na Vijiji vyote. Tunaweza kuona ni jambo dogo lakini kwa wenzetu hiyo ni habari kubwa na maendeleo ya...
  8. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Tanzania haina specialist wa Infectious disease nchi nzima?

    Hii kqzi imetangazwa miaka 4 iliyopita,,, Hadi leo hamna aliye apply!! Labda watakua wamechukua kutoka kenya sass maana tz nzima hakuna
  9. JamiiForums Tanzania Kama taifa kuna umuhimu mkubwa sana wa kufanya maandamano ya amani ya kitaifa Tanzania

    ni katika kuipongeza serikali hii sikivu, kutambua, kumpongeza na kuunga mkono nia na dhamira ya dhati ya mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzanian Dr. Samia Suluhu Hassan, kwa hatua muhimu za makusudi, kimkakati katika chochea mageuzi na kuwaletea waTanzania maendeleo endelevu, kijamii...
  10. JamiiForums Tanzania Hongera Benjamin Mkapa Foundation, mmeimarisha sekta ya afya nchi nzima, Nyerere Foundation Mzee Butiku yeye ni vijembe tu na chuki

    Nadhani Nyerere Foundation ina cha kujifunza kwa Benjamin Mkapa Foundation. Nyerere Foundation ilitarajiwa iwe ndio kioo cha Foundation za viongozi kwa kutatua matatizo na ku-shape sera za nchi. Badala yake, Mwalimu Nyerere Foundation imekufa, walioiua, ili waonyeshe bado inapiga chafya...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Nikikumbuka enzi zile za nchi nzima kukutana uwanjani kupokea na kushangilia ndege mpya, huwa nacheka sana

    Nchi hii tumetoka mbali sana na it is as if tulikuwa washamba nchi nzima mpaka Kenya walikuwa wanatucheka. Nchi imetoka mbali hii. Ingekuwa hata mama kila anachonunua au kujenga anapiga promo zile hii nchi ingekuwa ya masela.
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM imenunua Pikipiki nchi nzima na kuweka nembo ya Samia. Fedha za wastaafu na stahiki za watumishi hazipo

    CCM inaendelea kudharau kila kitu na ni dalili wazi kwamba viongozi ndani ya CCM na serikali yake hawana usikivu tena. Ni dharau zilizopitiliza kushindwa kuwalipa watumishi wastaafu pensheni zao na stahiki za watumishi wa serikali huku wakitaabika na kuteseka ilhali fedha za kununua pikipiki na...
  13. JamiiForums Tanzania Nitazunguka nchi nzima kuueleza uhuni na uongo wa Chadema kwa watanzania - Msigwa

    "Ni matumaini yangu kama Mheshimiwa Rais (Dkt. Samia Suluhu Hassan) alivyosema kazi zipo nyingi za kufanya za kushirikiana kukijenga chama (CCM), nitashirikiana na wengine kuzunguka Tanzania nzima kuwaambia wananchi usanii wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao viongozi wa juu...
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake nchi nzima wakiamka kutetea concept ya "MAMA" ambayo Lissu anaitukana kila siku, Lissu atahimili vishindo?

    Neno "MAMA" dunia nzima linavuma. Lissu anatembea nchi nzima akitukana "mama" kqtikati ya nchi yenye nyimbo za kumsifu mama. Katikati ya nchi ya watu wanasema waiolelewa na single mother baada ya kutelekezwa na baba zao. Nani hajui mama na umuhimu wake? Kwa nini mama atukanwe na mtu anayetaka...
  15. JamiiForums Tanzania Je, unadhani Mchakamchaka mzito wa Kuzunguka nchi nzima Milima na Mabonde kwa Mwakani ataweza Kweli au atasaidiwa na Chawa Majuha wake?

    Kila nikiangalia na kumpima kwa mambo kadhaa sioni kabisa kama hata ataweza Kuizunguka Mikoa Saba tu Nchini.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Je leseni za biashara nchi nzima kukatwa toka wizarani?

    Nimewahi kumuona Mhe. Waziri wa Viwanda na Biashara akielezea utaratibu wa kupata leseni za biashara kwa mwaka 2024/25. Je leseni zitakatwa toka Wizarani au kuna utaratibu utakaotangazwa na Wizara?.
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa Kigoma pekee wanaulizwa sana utaifa wao kuliko mikoa mingine ya mipakani?

    Huwezi kusikia watu wanaokuja Dar kutokea Arusha au Moshi kwamba kwamba hawa siyo raia, wala huwezi kusikia watu wa Mbeya, Ruvuma kwamba hawa siyo raia wakati wapo mipakani. Ila linapokuja swala la watu wa kutoka Kigoma ndiyo inakuwa issue, kwa nini? Hili swala huwa linaniudhi sana. Mara...
  18. JamiiForums Tanzania SoC04 Maporomoko ya maji ya asili katika vijiji, yawe chanzo cha umeme katika Kijiji husika na vijiji jirani, ili kuongeza ufikiwaji wa umeme nchi nzima

    Utangulizi; Kurahisisha ufikishaji wa umeme nchi nzima na utoshelevu, ni lazma vyanzo vipya vya uzalishaji wa nishati viongezeke kutokana na mazingira husika. Kama sehemu yenye milima iliyo na maporomoko ya maji Kama njombe na milima ya upare, ambayo ina maporomoko mengi ambayo hayatumiki...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali ina cheka na nyani: Wizi wa kimtandao Arusha inaelekea ni nchi nzima!

    Msimamo wa kula kwa urefu wa kamba imepata maana mpya na mbaya. Serikali ikiwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama katika kila mkoa, itaibiwaje kibwege hivi? Yes, serikali inaibiwa kibwege na wateule walewale wa Rais. Tumesikia kuwa kule Mbeya mtandao kama huo ulikuwepo. Hapo tusimung'unye...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya kukatika Internet nchi nzima alaumiwe Waziri Nape kwa kuikataa StarLink

    Waziri wa Habari na Mawasiliano, ndugu Nape Nnauye ndiye anapaswa kulaumiwa kwa kutokuwa na internet ya uhakika nchini kwani waziri huyu aliikataa kampuni ya Mmarekani tajiri zaidi duniani iitwayo StarLink ambayo ina satellite zaidi ya 10,000 angani. Kampuni hiyo iliyowasilisha maombi ya kutoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…