Nitazunguka nchi nzima kuueleza uhuni na uongo wa Chadema kwa watanzania - Msigwa

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
20,218
23,894
"Ni matumaini yangu kama Mheshimiwa Rais (Dkt. Samia Suluhu Hassan) alivyosema kazi zipo nyingi za kufanya za kushirikiana kukijenga chama (CCM), nitashirikiana na wengine kuzunguka Tanzania nzima kuwaambia wananchi usanii wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao viongozi wa juu wanawaaminisha wananchi vile ambavyo hawako, na ni kitu kibaya sana.

Tunaongea mambo ambayo hatuyaishi, tunaongea kuhusu demokrasia; ndani ya chama (CHADEMA) hakuna demokrasia, tunaongea kuhusu ufisadi; ndani ya chama kuna ufisadi, tunaongea kuhusu haki; ndani ya chama hakuna haki. Tusimame tukiwa wasafi, na mimi nafsi imenisuta kuwadanganya wananchi kwamba serikali ya Chama Cha Mapinduzi ni mbaya wakati sisi ni wabaya, ni wabaya wabaya zaidi"- Mch. Peter Msigwa.

Nukuu ya aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mwenyekiti wa chama hicho kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa baada ya kujiondoa CHADEMA na kujiunga na CCM.
 
Attachments

  • IMG_20240701_143845_611.jpg
    IMG_20240701_143845_611.jpg
    275.2 KB · Views: 4
"Ni matumaini yangu kama Mheshimiwa Rais (Dkt. Samia Suluhu Hassan) alivyosema kazi zipo nyingi za kufanya za kushirikiana kukijenga chama (CCM), nitashirikiana na wengine kuzunguka Tanzania nzima kuwaambia wananchi usanii wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao viongozi wa juu wanawaaminisha wananchi vile ambavyo hawako, na ni kitu kibaya sana. Tunaongea mambo ambayo hatuyaishi, tunaongea kuhusu demokrasia; ndani ya chama (CHADEMA) hakuna demokrasia, tunaongea kuhusu ufisadi; ndani ya chama kuna ufisadi, tunaongea kuhusu haki; ndani ya chama hakuna haki. Tusimame tukiwa wasafi, na mimi nafsi imenisuta kuwadanganya wananchi kwamba serikali ya Chama Cha Mapinduzi ni mbaya wakati sisi ni wabaya, ni wabaya wabaya zaidi"- Mch. Peter Msigwa.

Nukuu ya aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mwenyekiti wa chama hicho kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa baada ya kujiondoa CHADEMA na kujiunga na CCM.
Faida ya rushwa hiyo.Musukuma alishatuambia kitambo kuwa nikisoma message za miamala Msigwa ataaibika.
 
"Ni matumaini yangu kama Mheshimiwa Rais (Dkt. Samia Suluhu Hassan) alivyosema kazi zipo nyingi za kufanya za kushirikiana kukijenga chama (CCM), nitashirikiana na wengine kuzunguka Tanzania nzima kuwaambia wananchi usanii wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao viongozi wa juu wanawaaminisha wananchi vile ambavyo hawako, na ni kitu kibaya sana. Tunaongea mambo ambayo hatuyaishi, tunaongea kuhusu demokrasia; ndani ya chama (CHADEMA) hakuna demokrasia, tunaongea kuhusu ufisadi; ndani ya chama kuna ufisadi, tunaongea kuhusu haki; ndani ya chama hakuna haki. Tusimame tukiwa wasafi, na mimi nafsi imenisuta kuwadanganya wananchi kwamba serikali ya Chama Cha Mapinduzi ni mbaya wakati sisi ni wabaya, ni wabaya wabaya zaidi"- Mch. Peter Msigwa.

Nukuu ya aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mwenyekiti wa chama hicho kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa baada ya kujiondoa CHADEMA na kujiunga na CCM.
Usimuamini mwana siasa.
 
Hata Upendo Peneza kasema hivi hivii kapoteaaa CHADEMA Watamsahau yeye pia kama Peneza alivyosahaulika
 
Hasira za mkizi

Yeye atulie tu asubirie apewe cha kufanya alichoahidiwa basi walikuwepo watu wazito na wenye ushawishi ambao hata robo yao hajawafikia wakatoka na cdm ipo na haijatetereka kwa hiyo yeye atulie tu hayo anayoyapanga kusema yalushasemwa sana na wakapuuzwa na wenye kufikiri
 
Tuna uhakika gani kuwa huu anauongea ni ukweli na ule ni uongo?

Awe na akiba ya maneno jaman

Kuhama vyama mbona ni kawaida ukiwa unatafuta kushibisha tumbo lako??
Mna macho lakini hamuoni, mna masikio lakini hamsikii, chaguzi za haki ndani ya chadema mbinde, mwenyekiti hagusiki, hashikiki, demokrasia katika genge leo hakuna, sembuse ndiyo aje adumishe demokrasia ya Taifa.
 
Mbowe fanya kazi Mungu anakupenda na Wanachadema wanakupenda.Mungu azidi kukulinda mwenyekiti wetu.
 
"Ni matumaini yangu kama Mheshimiwa Rais (Dkt. Samia Suluhu Hassan) alivyosema kazi zipo nyingi za kufanya za kushirikiana kukijenga chama (CCM), nitashirikiana na wengine kuzunguka Tanzania nzima kuwaambia wananchi usanii wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao viongozi wa juu wanawaaminisha wananchi vile ambavyo hawako, na ni kitu kibaya sana. Tunaongea mambo ambayo hatuyaishi, tunaongea kuhusu demokrasia; ndani ya chama (CHADEMA) hakuna demokrasia, tunaongea kuhusu ufisadi; ndani ya chama kuna ufisadi, tunaongea kuhusu haki; ndani ya chama hakuna haki. Tusimame tukiwa wasafi, na mimi nafsi imenisuta kuwadanganya wananchi kwamba serikali ya Chama Cha Mapinduzi ni mbaya wakati sisi ni wabaya, ni wabaya wabaya zaidi"- Mch. Peter Msigwa.

Nukuu ya aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mwenyekiti wa chama hicho kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa baada ya kujiondoa CHADEMA na kujiunga na CCM.
Angepata uenyekiti huko nyasa, means angeendelwa kuwadanganya watu sio?
 
Anaye weza kumwani tena msigwa ni mwendawazimu tu. Ulituambia ukihamia ccm wananchi wachome nyumba yako. Leo umehamia ccm je uko tayari nyumba yako ichomwe.
 
"Ni matumaini yangu kama Mheshimiwa Rais (Dkt. Samia Suluhu Hassan) alivyosema kazi zipo nyingi za kufanya za kushirikiana kukijenga chama (CCM), nitashirikiana na wengine kuzunguka Tanzania nzima kuwaambia wananchi usanii wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao viongozi wa juu wanawaaminisha wananchi vile ambavyo hawako, na ni kitu kibaya sana. Tunaongea mambo ambayo hatuyaishi, tunaongea kuhusu demokrasia; ndani ya chama (CHADEMA) hakuna demokrasia, tunaongea kuhusu ufisadi; ndani ya chama kuna ufisadi, tunaongea kuhusu haki; ndani ya chama hakuna haki. Tusimame tukiwa wasafi, na mimi nafsi imenisuta kuwadanganya wananchi kwamba serikali ya Chama Cha Mapinduzi ni mbaya wakati sisi ni wabaya, ni wabaya wabaya zaidi"- Mch. Peter Msigwa.

Nukuu ya aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mwenyekiti wa chama hicho kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa baada ya kujiondoa CHADEMA na kujiunga na CCM.
Kwa uhuni wa Chadema ndio unasababisha watanzania wasipate maendeleo na kubaki masikini?!
 
Anachonifurahisha ni kuwa hajakataa kuwa CCM no wabaya ila anaeleza kuwa hata Chadema ni wabaya pia.

Kwa hiyo kama achague wabaya wenye afadhali kwa muono wake
 
Back
Top Bottom