nchi nzima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    Yaitishwe maandamano makubwa nchi nzima kushinikiza Tundu Lissu aachiwe

    Yawe ni maandamnao makubwa ambayo hayajawahi kutokea hapa nchini. Majiji yote maandamano yafanyike kushinikiza na kupinga mateso anayopewa Tundu Lissu wakati sio mhaini. Hakuna Jeshi lolote ambalo lilisha weza kushinda nguvu ya umma. Nguvu ya umma ndio njia pekee ya kumnasua Lissu.
  2. Traxtion

    Kwanini Watanzania tusianze massive constructions of apartments nchi nzima?

    Kusema ukweli Tanzania tunahitaji apartments kwa sasa. Kwa nini tusijifunze kutoka kwa nchi kama China, South Korea, Singapore nk? Hizi nchi watu wake walikuwa wanaishi kwenye makazi duni sana miaka ya 1960s. Serikali zao zikaanza ujenzi wa apartments ili kuhakikisha wananchi wengi wanapata...
  3. Genius Man

    Uvunjifu wa sheria unaoendelea haukubariki utachochea maandamano mengine makubwa nchi nzima na hatutaomba ruhusa kudai hiki zetu

    Uvunjifu wa sheria unaoendelea haukubariki utachochea maandamano mengine makubwa nchi nzima na hatutaomba ruhusa kudai hiki zetu
  4. PAYE

    Samia: Mamlaka za upimaji ardhi na upangaji miji nchi nzima zihakikishe kunatengwa maeneo ya kijani na upandaji miti

    Leo Januari 27, 2026, katika kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa Rais Samia, akiongoza zoezi la upandaji miti katika eneo la Bungi Kilimo na Kizimkazi, Zanzibar, ameagiza mamlaka za upimaji ardhi na upangaji miji nchini kote kuhakikisha kwamba katika upimaji wa maeneo mapya, kunatengwa maeneo ya...
  5. Sifi Leo

    WIZI huu Nina uhakika wakurugenzi wa HALIMASHAURI wanausika kikubwa mno maana ni nchi nzima.

    SHUGHULI zangu zinanifanya nisafiri kila uchwao na njia kuu ninazotumia ni BARABARA, na kupitia kwenye stand zetu zilizojengwa kwenye HALIMASHAURI mbalimbali. Nikianza na stend kuu ya Magufuli, Kuna habaria wengi wanatumia stend Ile na WANALIPA viingilio lakini hawapewi risit wao wanalipishwa...
  6. and 998 others

    Waziri wa 'Vijana' atazunguka nchi nzima kusikiliza kero za Vijana?

    Waziri Nanauka anaonekana na msafara wake anazunguka vijiweni, Stendi kusikiliza kero za Vijana. Je huu utaratibu utachukua muda gani ili kupata maoni ya vijana kwa nchi nzima?
  7. Foffana

    KERO Hivi hii shida ya maji ni huku tu au nchi nzima?

    Hello Wakuu Hii mitaa yetu huku Dar es Salaam tunakabiliwa na changamoto ya maji karibia wiki nzima na sio kawaida kabisa Naomba kuuliza ni viunga vyetu tu hivi vya kimaskini au nchi nzima hili tatizo lipo? Hii hali ikiendelea hivi mbele kutakuwa kubaya sana
  8. tpaul

    PostGE2025 Ni lini Rais Samia atazunguka nchi nzima kuwashukuru wananchi kwa kumpa kura za kishindo?

    Miaka yote tumezoea kuona Rais anayeshinda kiti cha urais akizunguka nchi nzima kuwashukuru wananchi kwa kumpigia kura za ushindi. Safari hii, licha ya Rais Samia kushinda kwa kishindo (98%) na kujinyakulia karibu viti vyote vya ubunge, amekuwa mzito sana kuwazungukia wananchi na kuwashukuru kwa...
  9. M

    Sijawai kumkubali Mange ila sioni anaemfikia hata robo kuconnect dots, kutumia mitandao kuingiza hofu au matumaini, kucontroll wafuasi, n.k

    Sijawahi kuwa fan wa huyu dada lakini siwezi kupuuza uwezo wake wa jinsi anavyoweza kufanya vingi kwa mpigo kwa kutumia mtandao tu lakini ninachojua kuna muda huwa anaongeza chumvi. kuconnect dots na ku analyze taarifa, kupewa taarifa ni kitu kimoja ila kukipangilia kiwe data inayoleta maana ni...
  10. R

    PostGE2025 Heche: CHADEMA imetoa mawakili nchi nzima kwa watu wote wenye kesi za uhaini, hakuna kurudi nyuma hadi ukombozi upatikane

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Wegesa Heche amesema chama hicho kwa kitatoa mawakili kwa wote walioshtakiwa kesi za uhaini nchi nzima Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo Novemba 12, 2025 baada ya...
  11. Heparin

    GE2025 Watu wengine 25 waongezwa kwenye mashtaka ya Uhaini Dodoma, idadi yafikia 187 nchi nzima

    Watu wengine 25 wameongezwa kwenye mashtaka ya Uhaini Dodoma, idadi yafikia 187 nchi nzima. Awali, watu 17 walipandishwa kwenye mahakama hiyo hiyo ya Hakimu Mkazi Dodoma. Kwa sasa, mahakama ya Hakimu Mkazi Kisitu ina watuhumiwa 145 na Hakimu Mkazi Dodoma ina watuhumiwa 42. Pia soma GE2025 -...
  12. Black Opal

    GE2025 Ubalozi wa Marekani watoa tahadhari ya maandamano kwa raia wake waliopo nchini

    Ubalozi wa Marekani umetoa tahadhari ya maandamano kwa raia wake waliopo nchi ili kuhakikisha wanakuwa salama wakati huu. Waambiwa waepuke maandamano, wajitulize ndani wakati wanaendelea kufuatilia taarifa kwenye vyombo vya habari. Sasa mtandao wenyewe umekatwa, watakuwa wanapata hizo taarifa...
  13. M

    Ijue idadi ya Polisi Nchi nzima, na kwanini Polisi hawana uwezo wa Kuzuia Maandamano na Kusimamia Uchaguzi

    Taarifa ninazozitoa hapa zote ni takwimu rasmi za Serikali. Kwa nini Polisi hawana uwezo wa Kuzuia Maandamano na Kulinda/Kusimania Uchaguzi na kulinda Usalama wa Raia kwa wakati mmoja. Vituo vya Kupigia kura nchi nzima vipo 99,895 ambapo Tanzania bara kuna vituo 97,348, Tanznaia nzima ina...
  14. Mhaya

    GE2025 Paul Makonda anazunguka Nchi Nzima na Kuweka Mikutano kama nani?

    Nimeona Clip ya Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na sasa mgombea ubunge Arusha akipita Kanda ya ziwa na maeneo mengine nchini na magari yake akihotubia umma na kusema watu wasikubali alichofanyiwa magufuli afanyiwe Samia. Mimi swali langu ni Makonda alitakiwa afanye kampeni zake Arusha...
  15. Carlos The Jackal

    Habari njema ni kuwa JWTZ ndio Taasisi pekee ilobakia yenye Kibali Cha Wananchi Nchi nzima na inayoungwa Mkono na Ulaya, Marekan na Nchi Wahisani.

    Lolote lile litakalifanyoka na Vijana wa JWTZ wanaokerwa na Utekaji, Uuaji, Ufungwaji wa Makanisa, Majaribio ya Kuua Viongozi wa Dini ya Ukristo, kubagaWa Kwa Rasimali za Nchi n.k ,lolote lile liyakalifanywa na Wazalendo Hawa. NCHI NZIMA ITAWAWAFANYIA SHEREHE, JUMUIYA ZA KIMATAIFA...
  16. K

    GE2025 29 Oktoba tunashirikije uchaguzi ikiwa haya hayajafanyiwa kazi?

    Watu wa Tanzania! Sasa ni wakati wa kuandamana na kutoa sauti yetu kwa nguvu ili kuzuia uchaguzi wa udanganyifu tarehe 29 Oktoba 2025. Hapa kuna hoja kuu zinazothibitisha kuwa tunahitaji kubadilisha hali hii mbaya kabla ya kura kupigwa bila haki. Jitokeze kwa wingi na tuungane pamoja! 1...
  17. Just Pray

    GE2025 Luhaga Mpina: Tunayo magari ya kutuwezesha kufanya kampeni nchi nzima, kwanini tuchukue gari la watanzania?

    Mgombea Urais kupitia Chama Cha ACT Wazalendo Luhaga Joelson Mpina ameendelea kukazia msimamo wake na chama chake kukataa gari la mgombea urais lililotolewa na Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) "suala la gari kama nilivyosema maelezo aliyoyatoa hapa Mwanasheria Mkuu ndio msimamo wa Chama chetu cha...
  18. Mshindi wa Vita

    David Kafulila: Wanapropaganda Waliozunguka nchi nzima kuipaka matope serikali kuhusu ubia wa Bandari hawakujua tofauti kati Ubinafshaji na Ubia

    https://youtu.be/aelk3E55QHA?si=n_yvK4_P-DV6jWtd Na Mwandishi Wetu Mjadala kuhusu mustakabali wa bandari nchini Tanzania umekuwa ukivutia hisia kali katika nyanja za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Katika mahojiano maalum, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia (PPPC), Bw. David Kafulila, ametoa...
  19. Inside10

    Matawi Ya CRDB Kufungwa Kwa Siku Tatu Nchi Nzima

    Benki ya CRDB imetangaza kufunga huduma katika matawi yake yote kwa siku tatu kuanzia Septemba 5 hadi 7 mwaka huu. Kufungwa kwa matawi hayo kunalenga kutoa nafasi kwa wataalamu kufanya maboresho na kuweka mifumo ya kisasa ili kuongeza ufanisi huduma zinazotolewa. Kwa mujibu wa taarifa...
  20. Internet-Money

    TARI nchi nzima, namba zao hazipatikani

    Ni kwa zaidi ya miezi sita sasa namba za huduma kwa wateja za TARI za kanda zote hazipatikani. Pili website ya TARI kuto-update uwepo wa mbegu mpya unaweza ukakuta mbegu mpya kwenye PDF ila kwenye website haja update ndani ya mwaka sasa Pia Tantrade walikuwa wanaweka bei za bidhaa kama...
Back
Top Bottom