nauza

  1. JamiiForums Tanzania Nauza Ariston water heater ya bafuni (15lt)

    Nauza water heater brand ya Ariston ni kubwa na imara. Hii ilifingwa bafuni lkn sijawahi tumia kwa kutofikiwa na huduma ya maji ya dawasco nimeona niitoe niuze. Lete OFA Yako nikusikilize.. Location: Dar popote unafikiwa 📞 0792503090
  2. JamiiForums Tanzania Nauza simu OnePlus 9RT

    OnePlus 9RT 256 STORAGE 8 RAM 350,000/= 0769681330 Dar Es Salaam
  3. F

    JamiiForums Tanzania Nauza mbao,nguzo,mirunda na fito zilizowekwa dawa(CCA PRESSSURE TREATED TIMBER)

    Habari wakuu kama kichwa cha habari kinavojieleza nauza mbao,nguzo,fito na mirunda vyote vimewekwa dawa kwa pressure kwenye mtambo kwa ajili ya kuzuia wadudu waharibifu kama mchwa.Pia huifanya mbao/nguzo/fito/mrunda idumu muda mrefu. Napatikana Mafinga-Iringa. 0755885888. Karibuni sana tufanye...
  4. JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja makongo mwisho

    Nauza kiwanja makongo mwisho njia kwenda kanisa la katoliki kina ukubwa sqm 2231 bei ni ya kutupa 300m karibu sana eneo tambalale
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nauza Tv Used - Ime tumika Miezi 2

    Aina: Hisense Inch: 55 4K Tv A6 Series Bei: 850,000 WhatsApp: 0718 380 277
  6. E

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza subwoofer

    Subwoofer aina ya aboader bei 47,000 Tsh
  7. JamiiForums Tanzania Nauza simu yangu

    Infinix hot 30 play 6000 battery Used 150,000 Nipo Dar
  8. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza Kiwanja - Chanika

    Nauza kiwanja. Mahali: Chanika Lukooni nyuma ya stendi mpya inayojengwa ya Chanika. Kama unaelekea Mvuti unateremkia Videte. Ukubwa: mita 12 kwa mita 18. Bei: 7.5 m Mawasiliano: +255788745213
  9. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza BMW 5 SERIES (DYS) TZS. 8m

    Gari haina tatizo lolote Haijawahi kurudiwa rangi popote AC, Engine, Gear box vyote safi . Makumbusho - Dsm . 0717 650800
  10. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nipo Dodoma, nauza mbao bei nafuu sana

    Mpo salama wadau wa Dodoma? Nimeshusha mzigo wa mbao (Futi 12) pale karibu na uwanja wa Jamhuri. Bei zangu ni rafiki na mbao ni nzuri/bora sana; 2x2 - 2,500 2x3 - 3,700 2x4 - 4,700 2x6 - 7,000 1x4 - 2,500 1x6 - 4,500 1x8 - 7,500 1x10 - 14,000 Mafundi ujenzi, fanicha na wateja wengine karibuni...
  11. JamiiForums Tanzania Nauza Mbao kwa bei rahisi ndani ya Dodoma

    Mpo salama wadau wa Dodoma? Nimeshusha mzigo wa mbao (Futi 12) pale karibu na uwanja wa Jamhuri. Bei zangu ni rafiki na mbao ni nzuri/bora sana; 2x2 - 2,500 2x3 - 3,700 2x4 - 4,700 2x6 - 7,000 1x4 - 2,500 1x6 - 4,500 1x8 - 7,500 1x10 - 14,000 Mafundi ujenzi, fanicha na wateja wengine karibuni...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nauza korosho

    Mm ni muuzaji wakorosho za kuokwa kutoka masasi mtwara. Nawatangazia wanaoitaji korosho mm naziuza mfano kwa picha chini.
  13. JamiiForums Tanzania Nauza pikipiki - TVS STAR 125 "EHD" 🔥🔥🔥

    Karibu ujipatie pikipiki hii new condition TVS STAR 125 "EHD" 🔥🔥🔥 Unaipata kwa 1,850,000/= Tu Napatikana Mbezi Beach, DAR. CALL/WHATSAPP 0683535699
  14. JamiiForums Tanzania Nauza Samaki aina ya Jodari

    Wakuu habari Nina aina hii ya samaki Jodari wadogo.. Ni samaki mwenye stake nyingi kuliko miba.. Ni mzuri na ni mtam sana. Kama upo hapa Dar, nakuletea mpka ulipo , gharama za usafiri inategemea mahali ulipo. Bei ni 12000 tu, kwa mmoja 0616274277. Napatikana Kigamboni
  15. JamiiForums Tanzania NAUZA NYUMBA YA KISASA HAPA VIKINDU NYUMA YA MTAA WA POLISI 0673294681

    Ninauza nyumba yangu hapa vikindu nyuma ya mtaa wa polisi. Nyumba inavyumba viwili vya kulala vyote master. Ina maji na umeme nimesogeza nguzo na kufanya wiring mwenye uhitaji unipigie/whatsup 0673294681. Ninashida ya pesa nataka niende masomoni nje ya nchi. Bei tsh. 20m mazungumzo yapo
  16. JamiiForums Tanzania NAUZA NYUMBA

    Habari wana jf Nimerudi tena na picha kimfaacho mtu chake nimekumbwa na changamoto kidogo za kuuguza so nimefikia maamuzi haya nauza nyumba ila bado haijaisha Vyumba 3(viwili master) Jiko Sebule Miguu 40 kwa 40 Store 10m maongezi yapo Eneo mbagala kwa mbiku(chaboko)2-2.5km kutoka barabarani
  17. JamiiForums Tanzania Nauza Home appliances & Kitchen appliance kwa bei nafuu sana!

    Tunauza bidhaa Bora & Original kwa Bei nafuu sana!! Tunakusaidia Kujua bidhaa Original na zenye Ubora kwa hali Ya Juu sana! mawasilino zaidi Mimi nauza online(winga) sina duka. soko la electronics nalijua vizuri sana huduma ya usafiri bure ndani ya dar yote na bei zangu ni ndogo sana bidhaa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Nauza mizani ya kupimia uzito wa nguruwe

    habari wadau nauza mizani ya kupimia uzito wa nguruwe kama attachment ilivyo kwa anayehitaji wasiliana kwa 0626333300
  19. JamiiForums Tanzania Nauza Youtube Channel imeshanilipa mil 1.7

    Hello wakuu nauza youtube chanel imeshanilipa kipindi cha nyuma mil 1.7 ina monetization na subscribers zaid ya 11,000. Hivyo ukiinunua kuanza kuweka content na account yako ya bank na kuanza kulipwa mwezi unaofuata, bei yake ni laki 5 tu. Nicheki DM *************** Duh nimeona niongeze data...
  20. JamiiForums Tanzania Nauza hizi mashine

    Nauza hizi mashine moja ni kwa ajili ya upepo na nyingine, kwa mwenye kuhitaji hizi anaweza fika kimara stop over kuja kujionea Bei 4.5 kwa mashine la upepo na mazungumzo yapo 0715378899
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…