nauza

  1. JamiiForums Tanzania INAUZWA Projector mpya kabisa inauzwa

    NINAWASHUKURU WOTE MLIOPITIA NA KUCHANGIA HII THREAD, NIMEFANIKIWA KUIUZA PROJECTOR NA MUNGU AWABARIKI TUENDELEE KUSADIANA. MIMI NI KIJANA NINAEJISHUGHULISHA NA UJASIRIAMALI NA KILIMO..NAWATAKIA MAFANIKIO MEMA KWA KILA JAMBO MNALOLIFANYA NA MUNGU AWABARIKI
  2. I

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza vichwa vya cherehani

    Nauza vichwa vya cherehani aina ya JONES 1681 na aina ya CRESTA Vichwa vyote viwili shilingi 400,000/- Vinapatikan Singida Mjini. Mawasiliano 0674212048.
  3. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Bajaji ya TVS King

    Habari zenu, nauza Bajaji ya kijani Aina ya TV's king, iko mikocheni na iko kwenye Hali nzuri Sana na inavibali vyote na inafanya kazi to a Uber na bolt. Bei ni milioni mbili na laki nne (2.4 million). Mawasiliano 0620704530. NB- Hii ni Bajaj yangu hivyo haina udalali.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Fukayose

    Nauza kiwanja chenye ukubwa wa ekari 1 maeneo ya Fukayose. Kama unahitaji ni PM
  5. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Sabufa aina ya Sea Piano

    Nauza sabufa aina ya seapiano bei 120,000 imetumika miezi 3 ila kama mpya. Mzigo makini mdundo mnene Inapatikana Ubungo Dar es salaam. Njoo pm tumalize biashara
  6. I

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu Itel A30 kwa Tsh. 150,000/-

    Specifications: Android version 9.0.0 Ram 1gb Storage 16gb Nipo Morogoro natuma mikoa yote. 0672037238.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nauza Mkaa Gunia 700 kwa shilingi 10,000 kwa kila Gunia

    Habari zenu wapiganaji, nina kibali cha kuandaa Mkaa kutoka shambani kwangu gunia 700, mm naziuza kwa kila gunia shilingi 10,000 kutokea shambani. Gharama za usafirishaji ni juu yako pamoja na tozo ya TFS. Vibali vyote ninavyo. Anayehitaji aje Inbox tuongee. Njoo na Gunia zako upime mwenyewe...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nissan xtrail for sale 3.8m

    Habari Nauza gari Nissan extrail for repair or spare. Ilipata ajali ikagongwa mbele. Inahitaji nose cut complete. 2004 Tuwasiliane kwa namba 0713750760 bei 3,800,000 gari iko Dar Goba. Engine haina shida kabisa
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nauza magazeti kutoka korea

    Habari wakuu nina tani 9 za magazeti kutoka korea nauza kwa kg1 ni 1800 location ni Mnazi Mmoja Dar es salaam namba ya simu 0769115998 kwa maelezo zaidi
  10. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza gauni zuri from Turkey bei ya kutupa only 50k

    Haya wale wadada wa mjini hilo hapo gauni zuri la mtoko/sherehe, Hili gauni ni mkataba Og naliuza kwa bei ya njaa only 50k limetengenezwa kwa material bora. Ziko pair 2 Mawasiliano 0654757823
  11. JamiiForums Tanzania Nauza Kiwanja Mabwe Pande karibu na Mto Mpiji kina ukubwa wa Mita 25 kwa 20

    Nauza kiwanja chenye ukubwa wa mita 25 kwa 20 kilichopo Mabwe Pande karibu na mto Mpiji kwa Tsh 5M. Umeme upo tayari kiwanjani na pia Kiwanja hiki hakijapimwa. Nipigie 0736770052
  12. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nina shida: Nauza shamba langu heka 15 Bagamoyo bei ya kutupa

    Shamba lipo fukayosi Bagamoyo.. lilikuwa la mananasi msimu uliopita na linatoa mananasi mazuri sana. Lipo Fukayosi Bagamoyo - km 10 kutoka Bagamoyo road, shamba lina heka 15. Document zote za serikali ya kijiji zipo na halina migogoro yoyote. Bei ni milioni 15 (15,000,000/=) tu Nauza lote...
  13. D

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nahama nauza vitu vya ndani

    Niko Dar es Salaam - Upanga Kabati la vyombo 180,000 Kabati la nguo 180,000 Sofa watu 7 - 400,000 Meza watu 4. call/sms 0752140000, 0787215011
  14. JamiiForums Tanzania Nauza Banda la biashara pamoja na bidhaa

    Ni banda la chuma ambalo lina ukubwa wa futi 8 kwa 6. Unaweza kuendelea kufanya biashara hapohapo au uhamishe, kwasasa ni duka/kibanda cha bidhaa za nyumbani pamoja na genge(meza za genge zipo) Mali zilipo ndani Mizani Bidhaa Kreti za soda Location: Ubungo Tanesco Bei 1.65mil WhatsApp/Call...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza gari yangu ruksa kuvunja pia

    TOYOTA KLUGER Gari ni yangu mwenyewe haina shida yoyote CC 2360 Millage 92,000km - Original Safari Leather Seat New tyres Sports reams 18.5m-inapungua call/Watsapp 0715140001
  16. JamiiForums Tanzania Nauza Dictionary Softcopy English-Kiswahili (A-Z)

    Nauza Dictionary Softcopy English-Kiswahili maneno (A-Z) Bei 4000 pia kuna Softcopy za notes za Formone *Biology *Geography *History
  17. JamiiForums Tanzania Nauza vitabu vya General Studies

    Habari wana Jamvi? Nauza vitabu vya somo la General Studies (GS) linalofundishwa kwa Kidato cha 5 na 6. Kitabu ni cha mfumo wa "Review' yaani kina maswali 108 pamoja na majibu yake. Bei ni shs 10,000. Mimi napatikana Dar es salaam sehemu za Tegeta. Unaweza kuagiza kwa kunipigia simu namba 0744...
  18. JamiiForums Tanzania Nauza Vitabu vya GS vya maswali na majibu

    Habari wana jamvi? Nauza vitabu vya somo la General Studies (GS) linalofundishwa kidato cha 5 na 6. Vitabu ni aina ya "Review" kwa maana vina maswali takriban 108 pamoja na majibu yake. Bei yake ni shs 10,000 kila kimoja. Niko Dar es salaam sehemu za Tegeta lakini kama uko mbali nitakutumia...
  19. JamiiForums Tanzania Nauza Watoto wa Nguruwe wa Kisasa na nyama

    Wapo Watoto 18 wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri Kati ya Siku 30 - 60 Yaani umri wa Mwezi Mmoja - Miezi Miwili Kasoro. Wapo Majike 9 na Madume 9 Wote Wanauzwa Bei ya Mtoto mmoja wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri wa Mwezi Mmoja ni Tshs. 80,000/= Tu Tuwasiliane +255738141339 Text, Call or Whatsapp...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza IST yangu

    Iko Dar full doc. cc 1290 full ac haina changamoto yoyote 0715140001 Bei 9m negotiable
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…