nauza

  1. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Changu Magomeni Mtwara

    Salama wakuu? Nauza kiwanja Mtwara Mjini bei 6Milioni. -Kipo magomeni, 1 km kutoka stendi kuu ya mabasi Mtwara. -kuna banda watu wanakaa -kipo jirani na chuo cha afya COTC -Kimepimwa sqm 317 na hati ya wizara ninayo. -Tambalale,barabara,umeme na maji vipo hapo hapo. Mawasiliano 0769476225
  2. C

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza ECU YA BMW N46

    Habari zenu wakuu. Ninauza ECU YA BMW N46 engine Bosch part number DME 7620350-02. Hii ECU inatumika kwa BMW models zote zenye N46 engine kama E90, X1, 1 series, etc. Bei ni 1.3 million. Napatikana Dar. Wasiliana 0625536529 Asanteni
  3. JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza Subaru XT

    Subaru xt CC 1990 Full ac Full doc Gari inaviwango vyote, gari haihnunuliwa mkononi gari imeagizwa kutoka japan, colour blue, usajili namba DN, imekaza sana. Inataka mil 16.5 Location, picha npgie simu chap 0628729873.
  4. JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

    Price/Bei 15.7mls Cont: Bmw 3 Series ECY Year 2008 Cc 1990 Low Km 99000 Full Options✅ Sports & New Tyres Clean Condition 0688591584 Navunja Na Gari yoyote°° Location Dar es salaam
  5. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza glass protector za simu kwa shilingi elfu moja

    Habarini Wana JF. Glass protector aina zote zinapatikana kwa bei ya shilingi elfu moja per item. napatikana kivule dar es salaam ukihitaj nakuletea popote ulipo kwa dar es salaam. Contact: 0753158943
  6. D

    JamiiForums Tanzania Nauza duka langu la vifaa cha ujenzi

    Habari wakuu, Nauza duka langu la vifaa vya ujenzi lililopo kibamba Dar es salaam maeneo ya Kibwegere duka linathamn ya m8. ( Milioni nane) Mawasiliano yangu ni 0656052164.
  7. JamiiForums Tanzania Nauza mbegu za michongoma

    Habari zenu Nauza mbegu za michongoma. Zipo kibaha. Kwa anayehitaji kwa ajili ya kupanda kama fence kwenye kiwanja ama shamba lake anaweza nicheki kwenye namba 0758308193 na bei ni sh 10000 kwa chupa ya soda yenye mbegu. Mfano eneo la eka 1 chupa 6 zinatosha. Hiyo ni gharama ndogo kuliko kuweka...
  8. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza taa za kuchaji zinazoua mbu na wadudu wengineo

    Taa ya kuua Mbuu Na Wadudu mbalimbali Ni Ya Kuchaji Inaua Mbuu Na Wadudu mbali Kwa Shoti Maalumu Haina madhara kwa binadamu, Ikishachajiwa na kuwa full chaji inaweza tumika masaa 48 haina gharama ya ziada zaidi ya kuichaji Pia Inatumika kama taa ya kawaida ili kupata mwanga Battery 4000 BEI...
  9. JamiiForums Tanzania Nauza bati za Alaf 33500

    Chagua rangi yoyote geji 30 hii no ofa kama unataka idadi yoyote unapata kwa 33500 piga 0743257669 uliza kwanza kwa wengine ukijua bei ndio uje kwangu uone hii ofa babkubwa tupo Buguruni hatuna mbambamba.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Tani tatu za Mashudu ya Alizeti zinauzwa

    Nina kiwanda kidogo kinajishughulisha na ukamuaji wa mafuta ya Alizeti. Natafuta wateja wa mashudu ya alizeti. Nina tani tatu za alizeti kwasasa. Kiwanda kipo Morogoro na tunasafirisha kwenda popote Tanzania kwa gharama nafuu. Ukihitaji njoo PM tuongee biashara. Asante.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nauza paka wa nyumbani

    Nauza paka (Felis catus) ana mwezi 1-3, elfu tatu 10,000/= njoo umchukue Location: Kigamboni Piga: 0759448927
  12. JamiiForums Tanzania Nimeokota mayai ya bundi

    Habarini wakuu, poleni na mihangaiko. Leo katika pita pita zangu shambani nimebahatika kuokota mayai ya bundi. Kwa wajuvi wa mambo nawiwa kuuliza hivi mayai ya bundi huliwa? Au kama Kuna mtu anayataka kwa shughuli zake binafsi anitafute. Wazo lililopo kichwani ni kwenda kuuza kwa waganga wa...
  13. JamiiForums Tanzania Nauza Mifumo ya kuangalia matokeo

    Mifumo hii imeanza kutengenezwa 2013, sasa imekamilika. (Natafuta fedha ya kutengeneza mfumo Fulani imayotumia AI). Mifumo hii ya kuangalia matokeo unaweza kuiprogram kama chombo cha cassini, yaani utakavyo on the fly kwa kutumia computer au simu yako ya mkononi, mfano kuweka matangazo au...
  14. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza perfume

    Habari wanajukwaa nauza perfume za kike na za kiume kwa bei ya 40,000 tu na ni brand ya kizawa kabisa Inakaa muda mrefu na inaweza kusikika harufu yake kwa umbali mrefu,napatikana Dar es Salaam unaweza kunichek kwa namba 0674376787 nikakuletea sample.
  15. JamiiForums Tanzania Nauza Tank la Maji used

    Jamani nauza tank used ltr 2000 la aina ya kiboko, bei ni Tsh. 350,000/- Ukiitaji nicheki 0693972647, nipo Dar es Salaam.
  16. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza laptop toshiba core i3 bei 250k

    SOLD
  17. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja kwa Tsh. Milioni 3

    Salam wakuu, Nauza kiwanja chenye urefu wa mita 35 na upana mita 20. Kimepimwa(surveyed) Bei ni Tsh. Milioni 3 Plot number 594 Location: Morogoro, Mkundi. Mawasialiano zaidi: WhatsApp number 0742666736
  18. JamiiForums Tanzania Dar - Mbezi Msuguri; Nauza Friji kubwa na ya kisasa (brand samsung) na SOFA nzuri sana (Leather sofa)

    Hello ladies and gentlemen hizi hapa mali safi kabisa Friji iko mwake mwake kama unavyoiona.. Bei 750,000 Tuwasiliane Mbezi kwa Msuguri
  19. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza godown

    Habari wadau, Nauza godown. Lipo mkata handeni barabara kuu irudiyo msata/pwani Lipo kilometer 2 toka mkata stand Lipo meter 100 toka barabara kuu itokayo mkata kurudi pwani Maji yapo mpaka site, eneo lina ukubwa wa square meter 7200 limepimwa lina hatimiliki- tittle deed no 1 Eneo lina jengo...
  20. JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza nyumba ipo Mbeya

    E
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…