Nauza Camera 📷 (Sony DSCW810B) kwa TZS 350,000

Godlike

Member
Jun 24, 2022
30
39
Nauza hii Camera 📷 kwa bei tajwa hapo juu. Ipo pamoja na cover, memory card (8GB) na adapter yake.

Niliinunua Thailand baada ya simu yangu kupotea wakati nikiwa nahitaji picha muhimu za matukio nikiwa kule. Bado ni mpya kabisa.

Napatikana kinondoni studio. Simu 0765137266

Picha na specifications hizi hapa chini.

Screenshot_20230506-105237.jpg

Screenshot_20230506-105246.jpg
Screenshot_20230506-105254.jpg


Screenshot_20230506-105356.jpg
Screenshot_20230506-105344.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom