nauza

  1. JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza Toyota Rush - Price 12m

    Karibuni wadau nauza gari aina ya Toyota Rush (SERIOUS BUYER ONLY) Engine - Petrol 1491490 Seats - 5 Colour - Mid Night Silver Metallic Transimition - Manual Mileage - 103,000
  2. JamiiForums Tanzania Nauza Toyota voltz 8.5m

    .
  3. JamiiForums Tanzania Car4Sale Car4Sale: Nauza Jeep Grand Cherokee, Make 2014

    🚙Jeep Grand Cherokee ➡️Limited edition ➡️Make 2014 ➡️CC 3600, Petrol ♨️ECO consumption tech ➡️Auto 4x4 transmision ➡️Push start ➡️Air suspension auto ➡️Cruise control ➡️Auto Idle control. ➡️Registration #D ➡️Gari ipo Dar Es Salaam. ➡️Reason for selling: Travelling out of the country for a...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nauza godoro la QFL Dodoma 100k

    Habarini godoro naliuza nilinunua 140k hapo mwez 5 sasa ivi naliuza 100k lina miezi miwili tu toka linunuliwe hapo nilipiga picha wakati nimelinunua nimetumia miezi 2 tu nasisitiza LC 5×6 Jaman bei haishuki chini ya 100K. Lipo katika hali nzuri kabisa halina shida ni vile tu shida zangu...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta mnunuaji wa maharage ya njano gololi na combart

    Habari zenu ndugu zangu! Natafuta mnunuaji wa maharage ya njano gololi na combart! Anayehitaji tuwasiliane kwa mawasiliano: 0672473087
  6. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu yangu, Xiami Redmi 13C

    Nauza XIAOMI REDMI 13C storage yake ni 128gb,ram 6gb, ina fingerprint pembeni, kila kitu chake ninacho, box receipt n.k na ina mwezi tu, iko poa na waranty kila kitu. nauza 200k tu, nipo mbezi magufuli iwahi faster 0697224996
  7. S

    JamiiForums Tanzania NAUZA LODGE/GUEST YANGU(DSM)

    HABARI WANAJAMII, NAUZA LODGE YANGU IPO WAZO HILL,KISANGA ROAD INAVYUMBA 11 VYOTE SELF AC,HEATER NA TV. NJE KUNA KAUNTA,CHOO,JIKO NA PARKING UKUBWA WA ENEO 1600 SQM MATARAJIO YA MAUZO KWA SIKU 165,000-200,000 BEI 130 MILLION :-KWA MTU SERIOUS TUWASILIANE SABABU YA BIASHARA NA MAZUNGUMZO...
  8. JamiiForums Tanzania Nauza Macbook Pro za mwaka 2018 bei ya jumla

    Wadau wa graphics,gaming,na video production nauza macbook Pro za 2018 kwa bei ya jumla Specs: Macbook Pro display Retina Iris display 13.3' RAM: 16GB Storage: ssd 500GB Processor intel core i 5 3.1.Ghz Touch pad bar. Graphics: Intel Iris Plus Graphics 650,1536 bought from USA asking price ~Tsh...
  9. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza mashine yangu ya kutengeneza sabuni za miche

    Nauza mashine ya kutengeneza sabuni za miche iko complete na mixer ya lita 100 inafaaa kwa uwekezaji WA kiwanda kidogo.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Nauza godoro qfl dodoma 140k LC 5×6

    Habari ndugu zangu kuna godoro naliuza qfl dodoma size: LC 5×6 bei 140K( negotiable) nipo dar es salaam. Karibuni sana
  11. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza laptop HP probook used as new

    HP PRO BOOK core i5 Generation 4 Ram 4 GB 2.60GHz Window 11 pro 500 GB Cd door WiFi Bluetooth price 390,000 Call 0692562259
  12. JamiiForums Tanzania Nauza kitanda na godoro

    Nauza kitanda na godoro Kitanda ni 5/6 mbao ni mninga Godoro ni QFL dodoma nchi 8 ukubwa ni 5/6 Vyote nauza kwa 300k tu sababu ya kuuza ni alikuwa anatumia mwanangu now nmemnunulia vipya Karibu vipo tabata mawenzi 0659756647 calls/whatsapp
  13. E

    JamiiForums Tanzania NAUZA MAPARACHICHI

    Habarii za Muda, Nauza MAPARACHICHI kutoka moshi kwa gunia, noamba kama kuna mhitaji au dalali wa soko lolote Dar au popote tuwasiliane nikuuzie kwa bei nzuri kabisa, gunia ni 65,000 - 80,000 unaweza kupata idadi ya gunia utakazo Mawasiliano 0658644485
  14. JamiiForums Tanzania NAUZA OVEN LT 40

    Nauza Oveni lita 40 Kampuni mr uk Bei lak 1.2 tu maongez yapo tabata shuleee 0697224996
  15. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza kabati la nguo

    Ni zuri sana kama unavyoliona, rangi original 230k tu nakuachia 0697224996
  16. JamiiForums Tanzania Nauza vitabu vya maarifa kwa Mwanamke

    Habari rafiki. Naitwa Eva Mrema. Ni muelimishaji, kungwi na muandishi. Nakuletea ofa kabambe. Vitabu hivi viwili vya maarifa kwa mwanamke vinauzwa elfu 20 hardcopy. Lakini kutoka kwenye uzi huu utavipata kwa elfu 16 tu. SOFTCOPY utapata kwa elfu 3 tu, badala ya elfu 5. Karibu sana...
  17. JamiiForums Tanzania Nauza porte namba DTD

    Habari zenu!! Nauza gari yangu sio dalali gari ipo vizuri sana... Nipo DSM Bei ni milioni 9 maongezi yapo
  18. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza laptop bei kitonga-Mpya kabisa

    Nauza laptop my kabisa Laptop HP laptop 17 Processor: 11th gen, Intel tm 1.5 Hard drive: Ram 476 GB Memory: 16 GB Location: dar es salaam Contact: 0756523615 Price: 450,000.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Nauza gari mbili zote namba "E" XT Subaru na Ractis

    Habari wana JF.. gari hizo hapo juu zote ni namba E zinauzwa nipo dsm kwa maongezi mazuri nitafute namba 0744566124
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nauza (Tshirt printing machine), inamfaa sana kijana aliyopo chuo. ni Biashara nzuri ya kufanywa na kijana chuoni.

    habari vijana. nauza brand new machine ya kuprint tshirts fasta fasta. bei ni laki nane tu ( 800,000/=) manufacture anaitwa ADKINS. ukihitaji piga namba 0616 577 289 mashine ipo kimanga Dar es salaam, ni brand new haijawai tumika. kwa kijana uliyopo mazingira ya chuo itakusaidia sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…