nauza

  1. JamiiForums Tanzania Epson Styplus Photo PX660 nauza iko Arusha

    1) Nina Epson Styplus Photo PX660 nauza iko Arusha. Namuhitaji mnunuzi wa haraka 2) Ninauza pia Photocopier ya Canon IR2202 Zote mbili hazijatumika sana
  2. JamiiForums Tanzania Nauza condom za mtumba.

    Kwa anaehitaji ancheki Msiogope sio tu nguo za mtumba hata condom zipo za bei poa Cya Zina lazy nzuri kama mpya
  3. JamiiForums Tanzania NAUZA LINE ZA UWAKALA WA MIAMALA YA FEDHA

    Wahi offer Laini za wakala zimebaki mbili ni full documented na tunaandikishana, ikiwezekana twende kuchange usajili Imebaki Halo pesa na Airtel money, Zote nataka 90K Karibu Dm
  4. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza eneo langu lipo Mkenge heka 3 price 3.5m

    Habari za majukumu wapendwa Nina eneo langu mwenyewe nahitaji mnunuzi lina heka 3 kwa bei 3.5m lipo njia ya morogoro kutokea bagamoyo kijiji cha mkenge mbele ya fukayosi Eneo lina hati ya mauziano linatambulika na serikali za mtaa. Pleas kama upo interested unaweza ukanicheki kwenye namba...
  5. JamiiForums Tanzania NAJUMLISHA GETO

    NAJUMLISHA GETO Godoro Dodoma 5×6 inchi 8=200k Kitanda chuma=160k Meza plastiki=30k Feni panga boy=30k mtungi wa gesi=25k Jaba +ndoo 2 =40k Kikapu Cha vyombo plastic=20k Viti plastic=30k JUMLA= 536k. (Reja reja ruksa kununua) OFA. - KODI Hadi October 30/2024✅ -Mto m1✅ LOCATION:Kivule...
  6. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza PC DELL, karibuni

    Wakuu, kama kichwa cha habari Specifications Processor: Intel (R) Core i5 -5200U. CPU @2.20GHz 2.19GHz Storage :500gb Ram :4gb Imetumika miezi 4 Bei: Tsh 350,000 Ipo Dar es salaam Temeke. Popote natuma PM^ UPDATE......... IMESHAUZWA
  7. JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza Mazda Cx-3

    Hii inaitwa panda kwenye gari na sio ingia kwenye gari. Mazda CX-5 Year 2013 Fuel Diesel CC 2180 Km 80k Price milion 27.5
  8. JamiiForums Tanzania Nauza Mazda Verisa

    MAZDA VERISSA YEAR:2015 CC:1290 KM:64k RIM SPORTS PRICE.milion 16.5 pamoja Na usajiri.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja Mwanza, Shibula, 20x41, miloni 2 laki 3

    Kiwanja kimefanyiwa survey mnunuzi utaenda kuandikisha hati kwa jina lako. Whatsapp 0656388678
  10. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza Laptop Acer mini

    Ni laptop nzuri sana na ngumu mno. Sifa Touch screen, HDD 500GB, RAM 4GB, SCREEN 11.4INCH VERY SLIM AND CLEAN IPO KISUTU DSM. BEI 230,000/= Maongezi: Yes Charge : 2hrs Namba ya sim: 0783973428
  11. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza Dell Xps 13 9365, core i7 7th Gen

    Dell Xps 13 9365 Convertible laptop Super Slim x360 13'3 inches sceeen Touch screen 7th generation Intel i7processor Ram 8 gb Ssd 256 gb Backlight keyboard Fully hd screen FHS, IPS Fingerprint Reader Face Id Camera x web camera Security Lock Slot Speaker Microphone 0689226818
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nauza mahindi lishe kila gunia tsh 90,000/=

    Habari,ninauza mahindi lishe Kwa gunia Moja bei ni Tshs.90000/= napatikana mkoa wa songwe halmashauli ya tunduma. karibuni sana wateja.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza Simu aina zote

    Je, unataka simu bei chee? Je, una abudget ndogo na unataka simu? Je, unataka kufanya Top up au exchange? Nambie una budget ngapi tukupe simu kali ya budget yako. Exchange na Top up tunafanya! Simu tulizonazo dukani ni; 📱Google pixel 📱aquous arrow 📱samsung 📱Iphone 📱LG 📱Sonny Xperia...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nauza dagaa kwaajili ya chakula cha kuku

    Habari ya leo wakuu, Ninauza dagaa kwaajili ya chakula ya kuku. Mawasiliano: +255679903535 Napatikana Dar es Salaam Bei: Ndoo ndogo 15,000. Ndoo kubwa 30,000.
  15. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Fridge Used (Mr UK)

    SOLD
  16. JamiiForums Tanzania Mwanza: Nauza Industrial Welding Machine.

    wazee wa kuchomelea vyuma vizito, vigumu mashine hio hapo inafanya kazi vizuri sana. niko mwanza igoma bei elekezi ni Milioni moja Tsh. Tuwasiliane Whatsapp +255772225555
  17. JamiiForums Tanzania NAUZA KAMPUNI YA ULINZI

    Wakuu habari za majukumu, Naandika kwenye jukwaa hili kujulisha lengo langu la kutaka kuuza kampuni yangu ya ulinzi ambayo tayari imekamikika usajili. Kampuni ilisajiliwa mwaka 2022 na kuanza kufanya kazi,lakini kutokana na sababu zilizo juu ya uwezo wangu nimetangaza kuiuza, Hivyo kama kuna...
  18. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Graphic Card Nvidia RTX 2060 super 8GB

    Graphic Card Nvidia RTX 2060 Super 8gb Nauza Tsh 600000/= laki sita inacheza games zote wakuu niwewe tuu na wale watu wa 3d hii ni fursa kwako chukua piga kazi kwa uhakika 0657977457 📍Dar es Salaam
  19. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza printer Canon IP1188

    Habari wana jukwaaa kama kichwa cha habari kilivoanza hapo juu nauza printer yangu nilokuwa na malengo ya kufanyia kazi ila kutokana na mambo kwenda vile nilivyopanga nimeona bora mali yangu inisaidie kuliko kudhalilika mwenye kuhitaji mawasiliano ni +255747654242 nipo Dar
  20. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Plot for sale at IPTL, Skanska Dar es Salaam

    PLOTS FOR SALE Total Size – 4000Sqm Price – 360,000,000 TZS Location – Mtaa (Sala Sala ) Kata (Wazo ) Barabara (Flamingo Road) Wilaya ( Kinondoni ) Title Deed – Under process Residential Purpose Close to Waziri Dorothy Gwajima 3 plots of 1333 sqm can be sold separately for 120M each. serious...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…