nataka

Nataka is a village in Mirzapur, Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata eneo zuri la kujenga jijini Dar Es Salaam?

    Habari za mda huu natafuta Kiwanja Dar maeneo mazuri yaliyotulia kwa ambae anacho naomba tuwasiliane bajeti yangu 10M hili jambo lipo serious na tunaweza kufanya biashara Hata leo hii nawakaribisha maoni yenu ni wapi pazuri kujenga Kwa Dar es Salaam hata kwa Kibaha itakuwa poa naomba mnitajie...
  2. JamiiForums Tanzania Nina laki 2 nataka mashine ya kukandia maandazi na mikate?

    Sitaki za kichina nataka za kutengeneza manual. Chukua tenda hiyo
  3. JamiiForums Tanzania Niko Mbeya nataka niwahi Dar leo, nahitaji usafiri, nitachangia mafuta

    Natanguliza shukrani zangu za dhati
  4. JamiiForums Tanzania Niliwambia nataka mil 50 wao wanachukua 30 hawajanifurahisha kabisa-Gamondi

    Huyu kochanmtuu mbad sana aisee Ameulizwa vipi kuhusu mechi anajibu m niliwambia leo nataka muondoke na mil 50 Nimehuzunishwa sana nashangaa wamechukua 30mil tu... KazinikwaYangakunakazi
  5. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume wenye sifa hizi

    Mambo vipi jamani! Mimi ni binti miaka 24, natafuta mume awe mcha Mungu. Simu namba 0788894641
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri nataka kuchukua subaru SJG 2014

    wakuu habari za muda huu, nmejichaga sasa nahitaji gari ya juu na katika pita pita zangu hii chuma nmeielewa sana sasa wataalamu naomba mnifahamishe vitu hivi upatikanaji wa spare ( nipo mbeya) changamoto zake ni zpi ulaji wa mafuta na ipo bora yenye turbo au isiyo na turbo( mizungiko yangu ni...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kufunga CCTV camera ya mfumo camera16

    Habar wakuu, Naomba msaada wenu nataka kufunga CCTV camera 16 naomba maelekezo kampuni ya camera zipi Zina onyesha picha angavu mchana na usiku kati ya DAHUA,HIK VISSIOn. Natakiwa ninunue nin na nin,poa kwa camera 16 natakiwa vifaa vya uwezo Gani na vingap ninunua maana ni eneo kubwa wastani...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nataka kuagiza dawa India

    Samahani ndugu zangu kuna dawa naihitaji lakini kwa hapa Tanzania haipatikani. Nataka kuagiza nje ya nchi kama vile India. Maomba mwenÿe connection na phamacy za India na huwa anaweza kuagiza au kama kuna mtu hapa Tanzania huwa anaagiza dawa nje ya nchi anisaidie kwa kuja inbox.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kusafiri na ndege kwa mara yakwanza dar-bukoba

    Habar wakuu nataka kusafiri na ndege kwa mara ya kwanza ktk maisha yangu ..safar yangu nikutoka dar-bukoba..nin kinatakiwa kuwa nacho na kipi hakitakiwi na pia nin chakuzingatia ili kufanikisha safar niweze safiri...Sina uelewa wowote na nauli nishingap one way
  10. JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Kiteto, nipo Gairo naombeni ABC za safari na mji ulivyo

    Wakuu habari za jioni. Nipo Gairo, nna safari ya kwenda Kiteto naombeni ushauri wa masuala muhimu. 1. Namna ya kufika huko toka hapa nilipo. 2. Gharama za kulala lodge na lodge nzuri na huduma zake. 3. Hali ya hewa na tahadhari za kuchukua mwanzo wa safari hadi mwisho. 4. Any other...
  11. JamiiForums Tanzania Nataka kuanza mazoezi! Niambie Chochote kuhusu mazoezi

    Wakuu nina passion na mazoezi.
  12. JamiiForums Tanzania Nataka kutengeneza game la mpira like Dream league but litakuwa na wachezaji na commentary wa Tz

    Nimepata idea ya kutengeneza game la mpira ambalo litakuwa na leagues za tz tu na pia commentator atakuwa anaongea kiswahili na pia viwanja vitakuwa vya Tz.Je nauliza kama kuna sheria ambazo zitanibana kwa baadae maana ntatumia majina na sura za wachezaji halisi(original)
  13. JamiiForums Tanzania Nimeshaanzisha kampuni yangu, nataka niwe napata tender za serikali nifanyeje?

    Kwa anaejua, ili nianze kupata tender za serikali natakiwa nianzie wapi? Tafadhali sana Karibuni
  14. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nataka kufungua duka la dawa nina mtaji wa milion 10

    Mimi ni kijana wa miaka 30 nina elimu ya diploma ya clinical medicine nilimaliza chuo miaka 4 iliyopita.naomba kufahamishwa hasa namna rahisi ya kumudu biashara tajwa hapo juu. Siwezi kukaa mwenyewe kutokanq na majukumu yangu kwahiyo nimepangq nimuweke mtu kwa ajili ya kuuza. Naomba...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nataka kuwekeza kwenye saluni ya kunyoa

    Wakuu kwema Kijana niko na 350k , kuna jamaa yangu kaniambia anauza saluni yake kwa hio bei. Vinyozi wanampa 4k per day, na kodi wanalipa wao, nataka kuinunua . Naombeni ushauri pia kama mna idea nyingine. Asanteni.
  16. G

    JamiiForums Tanzania Msaada haraka Chanjo ya manjano(yellow fever) nataka kusafiri nje ya nchi

    Habari wana jamii, samahani ndugu yenu nimepata safari nnje ya nchi sasa sijui chanjo ya manjano inachukua mda gani kudungwa dosi na kupata cheti chake maana safari ipo karibu sana. Naombeni msaada kwa wazoefu tafadhali
  17. JamiiForums Tanzania Kwa walioko Morogoro naomba location ya Kihonda Mkundi Kuna project nataka nikaanzishe.

    Naomba kuwasilisha......
  18. JamiiForums Tanzania nimefatilia maandamano ya kenya nataka niwaambie ni swala la muda tu hiki kinachotokea Kenya kitaambukizwa Tanzania, Uganda, na nchi nyingine jirani

    ukingalia kwa makini haya maandamano sio kama hao watoto wanareject hiyo financial bill au politics issue la hasha unaona ni maandamano ya mapinduzi ya kimfumo hawa vijana wanataka serikali ya kenya iendeshwe kileo na hili ni kutoka na viongozi wengi wa africa kutowatilia maanani vijana wadogo...
  19. JamiiForums Tanzania Nataka kununua simu kwa mtu je nifate utaratibu gani? Mtu huyo simfahamu

    Kuna jamaa ngu alipelekwa jela kirahis sana. Lisa alinunua simu kwa rafiki yake bila kujua kuwa hiyo simu iliibwa
  20. JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Nataka kununua Google pixel 8 pro

    Habari Wakuu, Nimeshawishika sana kuichukua Google pixel 8 pro mpya kutokana na features zake, na Shughuli zangu nnazozifanya naona itanifaa sana, Nahofia kitu kimoja, mwaka jana nlinunua Google pixel 5a pale china plaza, iliku ni hizi refubished ,Ile simu nlikaa nayo miezi miwili tuu ghafla...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…