nataka

Nataka is a village in Mirzapur, Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Huyu Mtangazaji ni nani? Nataka tuyajenge

    https://www.facebook.com/reel/258387627366433
  2. JamiiForums Tanzania Nataka kuolewa, ila nataka nieendelee na uhuru wangu

    Ntaka niolewe lakini niendelee kuwa na uhuru wangu! Nina mchumba wangu ambaye Mungu akipenda, mwezi huu mwishoni tunafunga ndoa. Hata hivyo, nimeshaanza kuogopa. Sio kwamba ananifanyia kitu kibaya au ni mtu mbaya, hapana, lakini kuna mambo yanatokea ambayo sijayapendi. Mchumba wangu ni daktari...
  3. JamiiForums Tanzania Makonda: Nataka tarehe 24 kila nyumba ifanye kikao cha familia, ajenda iwe mabadiliko

    Wakuu Mkuu wa Mkuo wa Arusha amegiza tarehe 24 kila nyumba ifanye kikao cha familia, ajenda iwe moja tu kwamba; "Tumekuli kuendelea hivi mpaka mwaka mpya (2025) unapoingia? Au tunataka mabadiliko" Huu ndio Muongozo wa Rc Makonda kwa Wananchi wa Mkoa wa Arusha.
  4. JamiiForums Tanzania Nataka kununua router ya Airtel ila mitandaoni malalamiko ni mengi kuhusiana na network yao, naombeni ushauri

    Nataka kununua router ya Airtel ila mitandaoni naona kelele ni nyingi juu ya malalamiko kuhusiana na internet kuwa slow. Nilipo hapa natumia bando la kawaida la Airtel na liko poa. Naombeni ushauri kuhusu hizo router zinafaa au hazifai kabla sijaingia mkenge! NB Matumizi yangu ni ya kawaida...
  5. JamiiForums Tanzania Nataka rafiki wa kike alieko dodoma

    Kama uko dodoma,ni check inbox
  6. JamiiForums Tanzania Nataka kujua bei ya kiwanja cha 19 kwa 21

    Habari wakuu, nina kiwanja changu maeneo ya tegeta kituo cha polisi, kina ukubwa wa 19 kwa 21. Hakijakaa square, kipo flat na hakijai maji. Kipo karibu na shule ya msingi na kituo cha polisi Tegeta. Gari inafika vizuri. Kutoka barabari ni dakika 5 kwa kutembea kwa miguu. Sasa nataka nikiuze...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kumuona Mwanagu, baba yake mlezi ananikatalia

    Karibuni wanajamii forum. Kisa ndo hicho chini ya picha.
  8. JamiiForums Tanzania Anaehusika na kuset kodi za magari used TRA aangalie vizuri ushuru wa Nissan Leaf 2019 EV nataka ivuta Februari!

    Najua kwa namna moja au nyingine muhusika atapata huu ujumbe, na sio tu kwa hii chuma na kwa vyuma vingine. Kwa mfano Nissan Leaf 2019 naona kwenye kikokotoo chenu mme-estimate kwamba CIF yake ni $16,600 kitu ambacho sio kweli, market price sahivi ya hii gari kwa huo mwaka ni CIF ya $8,000...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Nataka nikamuoe mtoto wa mwenyekiti kiti pale machame Hai je mimi kapuku inawezekana?

    Wakuu nataka nijitose nikamuoe mtoto wa mwenyekiti pale machame ila hofu yangu kubwa je mimi kapuku inawezekana? Mimi mtumishi wa tamisemi kweli ninaza kwenda kumuoa yule mtoto? Na hiyo ndiyo ndoto yangu ya kila siku aiseee kwa sababu najua nikimuoa yule mimi umasikini bye bye na hakika...
  10. JamiiForums Tanzania Nimechoka kudanga nataka kurudi kwa mume wangu,shida ni mama mkwe

    Habari kaka, mimi ni mama wa mtoto mmoja mwenye miaka 7 sasa. Nina miaka 2 tangu kuondoka kwa mume wangu, na niliondoka huku nikimuachia mtoto na kila kitu. Sababu ya kuondoka kwangu ni kwamba nilimpata mwanaume mwingine ambaye ni mume wa mtu. Kwa sababu alikuwa na pesa, alinidanganya na...
  11. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu Toyota Harrier first generation.. Nataka niichkue soon.

    Habari zenu wanaJamii.. Nina wazo la kununua Harrier ile old model.. first generation za mwaka kati 1999 hadi 2002. Naomba ushauri kuhusu maintenance costs, Reliability na fuel consumption. Nafaham zipo za 2.2cc, 2.4cc na 3.0cc. Ofcourse ningependelea yenye 2.2cc kulingana na factor yangu ya...
  12. JamiiForums Tanzania Wakuu natafuta mbegu ya nguruwe nzuri (durec)

    Kama kichwa kinavojidadavua hapo juu, mimi ni kijana wa makamo naishi Dare es Salaam, Nafanya kazi kwenye government company hapahapa mjini kwa muda kidogo najihusisha na kilimo cha bustani (hortculture) Kijiji kimoja huko Kilosa Morogoro. Sasa kutokana na kazi za watu ,Imekua ngumu sana...
  13. P

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tatizo la maji kwa nchi iliyobarikiwa vyanzo vingi kama Tanzania, linatatiza sana moyoni mwangu

    Maji ni muhimu sana kwa maisha ya viumbe hai. Sasa inapotokea huduma hii haipatikana tena kwa nchi iliyobarikiwa vyanzo vingi vya maji kama Tanzania, natatizika sana moyoni mwangu. Wenzangu watanzania weusi mliopewa dhamana ya kuzisimamia rasilimali za nchi hii basi niwaombe tu kuwa mtimize...
  14. JamiiForums Tanzania Nimechoka na haya maisha nataka kujiua nipumzike

    Kama nilivyoandika kwenye mada hapo juu, nimekuwa nikipitia magumu kila kukicha baada ya kupoteza mali mke kaniacha sina chochote Nimetengwa na ndg karibia wote hata nliokuwa nawasaidia nimekuwa ni mtu wa masononeko kila kukicha mbaya zaidi connection zangu karibia zote zimepotea Nimepoteza...
  15. JamiiForums Tanzania Nataka kumili bastola sheria zake zipoje kwa hapa Tanzania?

    Kwa pesa na umaarufu nilio nao kuna umuhimu wa kumiliki bastora ili inisaidie kujilinda maana uwezo wa kuajili mabodigadi sometime wanaweza kula rushwa waniuze Boss wao. Wakuu naombeni mwenye kujua bei na zinakopatikana na sheria zake?
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tafadhali kwa mtu yeyote ambayo ameshakutana na tatizo kama hili kwnye papai

    Habarini wana jamvi wote. Natumai wote tupo poa, tunajenga taifa. Naomba niende kwenye maada moja kwa moja. Mimi ni mkulima wa mazao ya muda mrefu na mfupi. Sasa mwaka jana nilifanikiwa kulima zao la papai. Kuanzia kufulia miche mpaka kupanda shambani nilifanikiwa kwa asimilia nyingi tuu. Sasa...
  17. JamiiForums Tanzania Urusi imewataka raia wake wote waondoke mara moja Israel

    Benyamin Netanyaho sasa amelikoroga kagusa pumbu za Putin ngoja akutane na figisu za Red Army BREAKING: 🇷🇺🇮🇱 Russia has just ordered its citizens to immediately leave Israel after Israeli airstrikes attacked the vicinity of Russia's Khmeimim base in Syria. In light of the extremely tense...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuku waliomaliza kutaga 1000+(ex layers)

    Nataka kuku layers waliomaliza kutaga bei ya jumla 11,000 nipo dar es salaam, mawasiliano 0621 863 980,nataka kuanzia 1000+ na zaidi
  19. JamiiForums Tanzania Nataka kuchukua mazda cx 5 2015

    Wakuu habari ya jumapili,nataka kuchukua hiyo chuma kutokana na muonekano wake comfortability, pia fuel consumption ipo vzuri. Ushauri: nmekuta malalamiko sehemu baadhi ya hzo gari mara dpf, pipe but wanadai 2015,2016 haina hzo shida Wajuzi wa mambo msaada wenu je ni kweli hzi sio sumbufu kama...
  20. JamiiForums Tanzania Nina laki 1 nataka mashine moja ya kisasa ya kunyolea kampuni bora tafadhali.

    Sitaki hizi mashine za et 20k,25k,35k,sijui 50k hapana nimeona bora nichukue Mashine moja kali ambazo haipati moto kirahis. Nimeona fursa hapa mtaa ya saloon. Asanteni. Nielekeze kampuni bora ya mashine za kunyolea.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…