nataka

Nataka is a village in Mirzapur, Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Uyu kaka ameniganda nataka nimuache

    Yamenikuta mwenzenu mimi!! Nipo ktk mahusiano na uyu aka kwa miaka 3, mwanzoni tulikua tunaelewana vizuri lakini kipindi kama cha miezi sita tunafarakana kila wiki. Kila nikitaka kuachana nae uyu kaka analia hadi ananipigia magoti nisimwache!! Nimechoka kua nae!! Nataka niachane nae nitafute...
  2. JamiiForums Tanzania Nataka kununua sodium nitrite niende wapi/duka Gani???

    Niaje wakuu..... Husika na kichea cha habari kilichotajwa juu... Nataka kununua hyo sodium nitrite naweza kuipata wapi??? Natanguliza shukrani...
  3. JamiiForums Tanzania Nataka kuagiza VW Touareg V6

    Wakuu, nataka kuagizia sasa gari ya ndoto yangu, gari inayokonga mtima wangu si ingine bali ni VolksWagen Touareg V6. Hii gari kila nikiiona road naweweseka jinsi ilivyo body yake kubwa na muonekano wa kiume/kibabe. Hii ni SUV yenye cockpit moja matata sana na ya kipekee. Budget yangu ni M 35...
  4. JamiiForums Tanzania Nataka nifanye mazoezi ya kukimbia

    Nataka kufanya mazoezi ya kukimbia ili nisiende kuchangia damu,nipeni na njia nyengine nitumie ambayo ntapunguza wingi wa damu mie naogopa kwenda kuchangia damu
  5. JamiiForums Tanzania Nataka kusafiri kwenda Eritrea kwa njia ya basi au treni je mnawezaje kufika? Naomba msaada kwa ana fahamu

    Nataka kusafiri kwenda Eritrea kwa njia ya basi au treni je mnawezaje kufika? Naomba msaada kwa ana fahamu
  6. JamiiForums Tanzania Nataka Mungu anipe Mume ambae hapendi kunyonywa, sijui yupo?

    Ni swali nimeulizwa na mtoto wa mdofowangu wa mwisho kuzaliwa Yeye ni wa mwisho wa kike ana miaka 27, akaniuliza Aunty Penny, "Nataka Mungu anipe Mume ambae hapendi kunyonywa dyu dyu yake, (uume wake) sijui yupo? Sijui nitampata wapi?" Nikamwambia Aunty muombe Mungu sana, funga kwa wiki mara...
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Nataka nichukue mkopo dhamana mshahara

    Habari Wana JF kwa mshahara wa laki tano mkopo naweza patiwa shingapi??
  8. O

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi viti vya kuzunguka havina kesi yoyote nataka kununua ila nahofu

    Nikiviangalia sijui muundo wake lakini kwa chini naona Kuna chuma kimepita Sasa hakiwezi kutoka za mbao na kuleta balaa , embu tuambie, je muundo wako ukoje
  9. JamiiForums Tanzania Namaliza degree mwaka, huu nataka kuchukua diploma

    Nilianza degree kwa vigezo vya advance levels, ila kwasasa Naona opportunity zipo kwenye diploma na certificate huku. Kwaiyo namaliza degree nataka kusoma NTA level 5 na 6 ili kukabiliana na soko la ajira. Naombeni ushauri kuhusu hili wakuu.
  10. JamiiForums Tanzania Kwa ufaulu huu nataka aende chuo, je akasomee course gani?

    Huyu ni mdogo wangu amepata ufaulu huu Ila Mimi nataka aaende chuo moja kwa moja aanze certificate mpka degree Naona kwenda advance ni kupoteza muda Natamani asome Cyber security Computer engineering science IT and accountancy Micro biology Naomba ushauri wako Benson Civic C history C...
  11. JamiiForums Tanzania Wakuu, kama upo maeneo ya mwanangi au nasa ginnery tafadhali naomba unishtue. Kuna ndugu yangu nataka nikuulizie maana ni miezi sasa hayupo hewani.

    Ni vizuri zaidi kama ukiwa boda boda kama sio bado pia itakuwa fresh . Karibu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Fiji kutafuta life nipeni abc zake

    Katika kupambania life nimeamua kuingia kiwanjani nataka nikatafutie Fiji nataka nijue kwa upana fursa za uko, usafiri mpaka uko, maradhi na gharama za maisha kutoka kwa experience za watu mbalimbali waliowahi fika uko au wanajua mengi kuhusu uko. #Toka magheton, ingia kiwanjani
  13. JamiiForums Tanzania Natamani kuonana na Rais Samia, “face to face and privately”. Nina ujumbe wake, nitamfikiaje?

    Amani iwe kwenu nyote, Naomba msaada wa kumfikia Mheshimiwa Rais. Nia ni njema, ni manufaa ya taifa kwa ujumla.
  14. JamiiForums Tanzania Shule gani nzuri ya kiislamu? nataka kumpeleka mwanangu

    Naomba ufafanuzi ni shule gani yenye ufaulu mzuri kwa ngazi ya O level naweza mpeleka mwanangu? Nisaidieni hapa wadau
  15. JamiiForums Tanzania Nataka kuagiza kifaa mtandaoni je? Nitadaiwa kodi

    Ni kifaa Cha matumizi ofisini kwangu kina thamani ya 200,000 tu
  16. JamiiForums Tanzania Nataka nichonge kabati la jikoni

    Evening!!! Nahitaji kuchonga kabati la jikoni fundi wangu anashindwa kufanya vipimo vyake kwasababu ya hiki kitu"ovena iliyounganika na jiko Ina vipimo gani Yani urefu na upana!!" Msaada tafadhari naambatanisha na picha.Asante
  17. A

    JamiiForums Tanzania Nimepata division 2 .20 nataka nisome CBG AU EGM NINA CCC KWENYE CBG HALAFU NINA CD KWENYE EGM VIP HAPA NITATOBOA KWELI

    Nimepata division 2 .20 nataka nisome CBG AU EGM NINA CCC KWENYE CBG HALAFU NINA CD KWENYE EGM VIP HAPA NITATOBOA KWELI?
  18. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nataka kuuza mali zangu polepole nifurahie maisha urithi kwa watoto ni elimu niliyowasomesha mnasemaje?

    Sina mali nyingi ila nashukuru Nina nyumba kadha wa kadha, viwanja , mashamba na mifugo kijijini kwetu. Watoto wangu wanasoma na watamaliza bila shaka. Nimetafakari haya maisha hayana garantii naweza kufa saa yeyote je kwanini nisianze kula mali zangu taratibu kabla sijafa? Naombeni ushauri.
  19. JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Shinyanga kutafuta mke

    Wakuu, nimekuwa na wazo la kwenda Shinyanga kutafuta pisi moja ambayo nitatulia nayo tuanzishe familia. Unaweza kuniuliza why Shinyanga? Kipindi kile Haji Manara alipomuibua Rushayna, baada ya kugombana naye nakumbuka alisema alimuibua huko Shinyanga. Rushayna ni pisi kwa kweli, naikubali sana...
  20. JamiiForums Tanzania Nataka niwatupie roho mchafu, pepo wa mafarakano kwenye chama fulani, wavurugane mpaka mgombea wao asuse hatua za mwisho Lissu apite kiurahisi

    Nadhani wengi mtasema Mimi ni mchawi. Hapana Mtu wa Mungu anaweza kutumia malaika kuwapa mission (kazi) na wakaifanya vizuri. Pia mtu wa Mungu anaweza kuwaamuru mapepo waende ndani ya mtu au ndani ya kikundi cha watu na kwenda kufanya vurugu au jambo lolote. Mungu ametupa mamlaka juu ya vitu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…