natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa mtandaoni

    Natafuta mke wa mtandaoni hasa JF. Mke wa mtandaoni ni mke ambaye tutakuwa tunaandikiana mambo mazuri mtandaoni na kuoneshana mahaba mtandaoni ila hakuna kukutana na mtu wala kubadilishana namba za simu. Kila kitu kinabaki mtandaoni hakuna hata kutumiana picha. Suala la umri nk sio vigezo haya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba mwanamke Mkristo

    Habari, Mimi ni mwanaume mwenye sifa zifuatazo 1. Mrefu mweusi, am very focused 2. Umri wangu 30 3. Graduate, Christian 4. Muajiriwa 5. Ninaishi Kilimanjaro Sifa za mwanamke nimtakaye 1. Uwe mkristo na usiwe na mtoto 2. Umri lazima uwe na 18 hadi 26 3. Msafi wa mwili na roho 4. Uwe na elimu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta epoxy resin kwa mwanza na hata dar es salaam

    kama kichwa kinavyojieleza natafuta epoxy resin nipo mkoani ila karibu na jiji la mwanza kwa huu mkoa nimetafuta bila mafanikio. Sasa nauliza kama naweza kupata mwanza na hata dar es saam ikiwezekana ni vizuri kama nikajulishwa na bei yake ahsante
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke Mbeya mjini

    Mi ni mgeni huku, nimekuja kuanza maisha. Nahitaji mwanamke wa huku mbeya mjini kwa mahusiano endelevu. Nimekuja huku JF coz mi sio mtembeaji sana wala muongeaji. Muda mwingi nipo ndani mwenyewe. Awe sehemu za mbeya mjini, mi nipo pembeni kidogo ya mji. Kama utakuwa interested nicheki kwa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA USB SWITCH

    Habar wadau Nimezurula kariakoo mpaka nimechoka natafita usb switch sio usb hub usb switch ipo hv nina pc 3 na nina zitumia mara kwa mara kwa kaz mbalimbali sasq nikawa natafuta mfumo utakao niwezesha kushare vifaa vya usb nfano mouse keyboard pri ter etc via 2 pv ili nijiepushw na chomoa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mfanyakazi wa Dry Cleaner-Mwanza

    Awe msichana Ujuzi wa kutumia mitandao ya kijamii kwa ajili ya kuitangaza biashara Atapewa smartphone Mwezi mmoja kwa ajili ya kujifunza, atapewa nauli na pesa ya kula tu kwa siku. Mwezi unaifuata ndo ataanza kulipwa Biashara ipo Nyasaka
  7. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mdada ambaye jimbo lipo wazi mwenye lifestyle kama hii yangu

    Habari wakuu, About Umri wangu 25, location dar maeneo ya airport, nipo single sina mtoto, mrefu kiasi, mwembamba kiasi, sio mweupe au mweusi, na najitambua. mimi nime jiajiri kwenye masuala ya programming developer. Sio mlevii na situmii vitu kama bangi, mimi ni mkristo lakini sina kanisa...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu ya kujitolea, nimesoma clinical medicine

    Nimesoma clinical medicine. Nimemaliza mwaka huu, hivyo ninahitaji kupata sehemu ya kujitolea kupata kujifunza zaidi na kupata uzoefu. Nimesoma chuo cha private, na changamoto kubwa wa hivi vyuo vya private ni kupata muda mchache wa kufanya mafunzo ya wodini maana chuo chetu hakina hospitali...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta vijana wa kutembeza viatu grade one vya mtumba pamoja na mashati ya kiume

    Kama kichwa Cha habari kinavojieleza ukiwa ni kijana njoo tufanyie kazi. Mimi napoint viatu karume na mashati ya kiume na Sasa natafuta mtu ambaye anachukua mzigo kwangu anauza faida tunagawana nusu kwa nusu. Ishu hapa huhitaji mtaji ila inahitaji uaminifu na moyo wa kufanya kazi kutafuta...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji tufanye biashara

    Wadau mimi ni mwl nipo jiji la mwanza. Nimwajiriwa lkn najihusisha ktkt biashara za kilimo. Ninaeneo la hekari km mbili na nusu. Nimejenga nyumba ya kawaida kwaajili ya kijana wa kazi pamoja na mabanda ya kuku na nguruwe. Lkn km mnavyojua biashara yeyote inataka mtaji bila mtaji hakuna kitu...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Vigezo awe amezaliwa MWAKA 1998, 1999 au2003 Vigezo vya jumla Uwe na mwili wa wastani Mzuri wa sura Wasifu wangu Umri 29 Mfanyabiashara Karibu PM
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza kutoka JF awe na pigo kama hizi za kiswahili swahili👇🏻

    💃🏻MDADA AWE: ♥️ Awe 18 - 40 ♥️Sijali kazi, hata kama akiwa mvivu haina shida nachotaka awe na degree ya mahaba ♥️Alifundwa usichanani ♥️Awe flexible katika tendo yani hadi kuruka kichura aweze ♥️Awe mtu wa mitego ya kihisia hata wakati akiniletea chakula awe na kanga moko ♥️Awe mtu wa kazi yani...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mboga za majani zilizokaushwa. Anaefanya hii biashara tuwasiliane

    Natafuta mtu anaeuza mboga za majani zilizokaushwa. Kama unafanya au unamjua mtu anaefanya hii biashara naomba tuwaskiliane.
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke ambaye ana allergies na nyama ili nikinunua niwe nakula mwenyewe

    Natafuta mwanamke ambaye ana allergies na nyama ili nikinunua niwe nakula mwenyewe
  15. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta Wafugaji/Mashamba ya Kuku wa Nyama kwa Ajili ya Kununua kwa Bei ya Jumla (Dar es Salaam)

    Habari wakuu, Natafuta wafugaji au mashamba ya kuku wa nyama wanaouza kwa bei ya jumla. Mpango wangu ni kuanza kununua kuku takribani 150 kwa wiki hii ya kwanza, na kuendelea kuongeza kiwango hadi 200 au zaidi kwa kila wiki, kulingana na uhitaji wa soko langu. 📌 Vigezo ninavyohitaji: Kuku wa...
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina Degree ya sheria

    Mimi ni kijana wakiume mwenye Degree ya sheria, Naamini hapa Jamii forums Kuna watu wengi na wenye michongo, hivyo Naomba nitumie nafasi hii kuomba yeyote mwenye nafasi ya kazi either inayofanana na Sheria au tofauti basi anisaidie Nipo Dar es salaam Simu: 0779724159
  17. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kuongea nae kiingereza tu

    Natafu rafiki ambaye tutakua tunaongea kiingereza tu, ni kwajili ya kupractice english speaking , mimi nafanya kazi za uhandisi electronics hardware na sofware. im a man. karibu PM kwa mawasiliano zaidi
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta Nafasi ya kujitolea

    Habari za humu wakuu,,Mimi ni muhitimu wa shahada ya Taaluma ya Maendeleo (BA-DS) kutoka University of Dodoma mwaka 2022. Lengo la kuandika huu uzi ni kuomba connection ya nafasi kujitolea kwenye Taasisi za serikali au Taasisi binafsi,itakuwa vizuri ikiwa mkoa wa Mbeya hasa mbeya mjini...
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta wauzaji wa jezi za timu mbalimbali

    Habari.? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu natafuta wauzaji wajumla wa jezi za timu mbalimbali hasa jezi za msimu huu, yeyote mwenye kujua wapi naweza kupata namomba anisaidie..
  20. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke nipo serious

    Natafuta mke aliye tayari aje dm .vigezo awe mcha mungu .mweupe mwenye shape nzuri asiwe mlevi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…