natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba

    Mimi ni kijana wa umri miaka 28 mkazi wa Dar es salaam natafuta mchumba ambae ntafunga nae ndoa
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Usafi, House Boy

    Mimi ni kijana wa miaka 25 Natafuta kazi ya Usafi, House Boy. Elimu yangu ni kidato cha 6 pia nina cheti cha udereva🙏
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    ~
  4. JamiiForums Tanzania Ukweli ni lazima usemwe, natafuta mrembo wa kuzeeka naye. Mapungufu yangu haya Hapa

    Umri wangu ni miaka 45, Hali yangu ya kindoa ni mtalaka, watoto wanne, Kila mmoja na mama yake, na watoto wote wako kwa mama zao. Kazi nafanya, Hela napata, pombe nakunywa. Mambo ya mabebzi labda itokee tu, wana gharama sana na Mimi ni bahili sana. Mwanamke ninayemtaka awe na sifa zifuatazo...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta mke au mchumba

    Tafadhali naomba nijielezee kwanza: Jina langu naitwa mosses, dini yangu mkristo, mwili wangu wa kawaida wa kimazoezi na nina six pack, urefu wangu kawaida, rangi yangu maji ya kunde, uvaaji wangu smart, sivuti sigara wala sinywi pombe, sina mtoto wala sijawai kuowa, ninaishi dar es salaam...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi HSE officer

    Hello wana jamii Natafuta kazi ya HSE OFFICER nina cheti cha NOSCH 1 na cheti cha RISK ASSESMENT Email yangu ni: arielle_00@yahoo.com
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta laptop nina budget ya 200k

    Natafuta laptop used core 5 na nina budget ya 200k 255713520180 nipo dar ambayo anayo tuwasiliane
  8. T

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Natafuta mteja wa Muhogo wa Unga

    Habari, Nina Muhogo Mbegu Ya Mkombozi Tani 70, Zipo Tayari Kwa Matumizi Ya Kusaga Unga Wa Muhogo. Location Biharamulo Kagera. Tuwasiliane Kama Unauhitaji Au Una mteja. Kiasi Cha Chini Kuchukua Ni Tani 10. Wasiliana Na Mimi Kwa Email drcezzane@gmail.com ASANTE
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta Daktari wa tatizo la Kucha kuingia kwenye vidole vya Miguu

    Ndugu zangu kwema? Nina changamoto kubwa, sasa ni mwaka wa tatu toka 2022 kucha zangu za vidole gumba vya miguu zinachimba ndani na kunifanya vidole vyangu kupata vidonda visivyopona hivyo naombeni sana mtu anayemfahamu mtaalamu au daktari bingwa ama hospitali inayotibu hii changamoto niweze...
  10. JamiiForums Tanzania Tafuta marafiki wapya na wa ukweli kutoka nje ya eneo ulilopo

    Tafuta Marafiki wa Ukweli - Nje ya Eneo unapoishi. Habari JamiiForums Ninafurahi kutafuta marafiki wa ukweli kupitia mtandao huu wa Jamii Forums. Mimi naitwa Jumanne, ninaishi Katoro lakini pia nawakaribisha wale ambao wako nje ya Katoro. Nina hamu ya kujenga urafiki na watu wapya...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu/ taasisi ya kunikopesha tshs laki mbili na nusu, nitalipa 340k ndani ya miezi minne.

    Nashukuru kwa michango, nilikuwa nahitaji taarifa fulani za kina kutokana na maoni ya wadau through jf. Mbarikiwe wapendwa.
  12. JamiiForums Tanzania Nina changamoto ya usikivu hafifu. Natafuta kazi; ikiwa ya kutengeza sofa itanifaa zaidi

    Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana wamiaka 24 kwasasa, elimu yangu ni kidato cha nne ambapo nilifaulu vizuri ila nilishindwa kuendelea na masomo kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo kutosikia vizuri. Baada ya kumaliza shule mwakav2015, kuanzia 2017 nilianza rasmi kujifunza kutengeneza sofa...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta Rafiki wa Benaco Ngara Kagera

    Kichwa cha habari cha husika! Hamna vigezo awe tu binadamu
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi wa kike mtu mzima

    Nina miaka 55, mfupi 5 7, mfanyabiashara, naishi Dar, Nina watoto wakubwa, wanaishi kivyao na kwa mama yao. Nahitaji mpenzi wa kike tupendane. Maswali zaidi uliza inbox tafadhali
  15. JamiiForums Tanzania Dereva natafuta ajira.

    Naitwa james patrick..nina miaka 29,elimu yangu ni form four pia kwa sasa naishi kunduchi..natafuta kazi ya udereva wa magari makubwa na madogo ambayo nina uzoefu nayo kwa muda wa miaka 12 sasa..nipo tayal kwa udereva wa aina yoyote ile ndani na nje ya mkoa wa dar..kwa mwenye kuhitaji dereva...
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta Toyota IST ya kununua

    Habari wakuu. Mwenye gari IST anaye uza tafadhari tuwasiliane.
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Ndugu zangu natafuta mke wakuoa sifa awe muislam elim yoyote awe mikoa jiran na arusha.umri kuanzia 21 mpaka 30.mim sifa zangu ni muislam umri 33 ninaish arusha nimejiajiri.aliyetayar karibu pm
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta kijana wa kuchoma nyama

    Habari za kazi wakuu, poleni na hongereni kwa majukumu ! Ninatafuta kijana wa kiume anayeweza kuchoma kuku mida ya jioni, malipo ni Tsh 5000 kwa siku kwa kuanzia it means inaweza kuongezeka mbeleni. Akiwa mkazi wa wilaya ya Kinondoni itapendeza. Kazi ni jioni tu kuanzia saa 11 hadi saa 3...
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga single self (Mbeya town)

    Habari za wandugu! Naombeni msaada wakuu. Kama kuna yeyote anayeweza kunipatia msaada wa chumba kizuri hapo mjini mbeya, pasiwe mbali na Mtaa wa mahakama Kuu. (Sehemu ya bajaji moja hadi maeneo ya Open University itapendeza) Ninatanguliza shukrani zangu za dhati kabisa.
  20. JamiiForums Tanzania Kwenye msitu wangu kuna black mamba/ koboko natafuta njia za kumwangamiza bila kuleta madhara kwenye jamii

    Jf salaam🙏 Ni muda sasa tangu aanze kuonekana huyu nyoka hatari koboko na inasemekana wapo wawili. Taarifa zilianza kunifikia kutoka Kwa wazee wangu maana huo msitu ukweli sio wangu ni wa mzee ila kaniruhusu kufanya shughuli zozote za kujiingizia kipato. Mara kadhaa amekuwa akionekana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…