natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta bloggers wa Mwanza kwa ajili ya mentorship

    Wakuu natafuta bloggers waliopo mwanza kwa ajili ya mentorship ya vipengele mbalimbali. Panapo majaliwa tutakua tunapeana kazi
  2. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ufundi magari

    Habari za mda huu Naitwa Denis manase mmi Ni fundi wamagari nipo Arusha natafuta kazi hususan Ni ufundi wa magari naweza kutengeneza Magari kama -Toyota _Mistubish _subaru _tata _nk Kama Kuna mtu Ana huitaji wa fundi au company nipo tayari napatikana kwa number 0616484807
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta mwalimu wa martial art

    Habari, wakubwa mimi kijana wa kiume 31 miaka. Naomba kwa mtu anayeweza kuwa mwalimu wangu wa ngumi, au kuniunganisha na mwalimu wa martial art, awe anapatikana manispaa ya kigoma ujiji. Nilikuwa na ndoto hii kwa muda mrefu ila sikuweza kuitimiza ijapokuwa umri umeenda niko tayari...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu masomo ya English na Geography

    Asalaaam alekyum. Apewe sifa yesu. Mimi ni mwalimu wa masomo la Kiingereza na Geography. Ninauzoefu wa kazi miaka 6. Ninauwezo mkubwa wa kumuongoza mwanafunzi vizuri mpaka akaelewa pasipo kukariri. Asante
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta Soko la Alozera

    Wapendwa poleni sana na majukumu ya kikazi. Mimi ni Mjasiriamali ambaye nimejikita haswa kwenye Biashara ya Mazao. Kwa sasa natafuta Soko la Alozera, kama unahitaji takuuzia kwa Tsh. 5000 bei ya jumla, asanteni.
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote

    Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana wa kitanzania ,mwenye nia ya kufanya mabadiliko kwa kuleta chachu ya maendeleo kwa kushiriki kulipa kodi na kufanya majukumu mengine kama raia Changamoto yangu ni kama vijana wengine wa kitanzania tuliozqliwa kwenye wimbi la umaskini kukosa hata mitaji ya...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta Duka La Dawa Linalouzwa

    Habari wana JF, Natafuta duka la dawa linalo uzwa Ambalo lina kila kitu. Location iwe center kidogo ambapo kuna mzunguko wa biashara. Mkoa ni Mbeya pamoja na Songwe. Mawasiliano;0757915171
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta mpendwa. Iwe katka mahusiano, urafiki, ujamaa, udugu n.k

    alie tayar kua kati ya hvo juu hapo naomba ancheki dm ila mm ni mwanaume so natafuta mwanamke kutokana hiko kchwa cha.habar hapo juuu ni yoyote yule ila mwanamke kwa umri wowote ule alie tayar katka hayo yalyo juuu
  9. JamiiForums Tanzania Niko serious natafuta mchumba

    Habari JF, Mara nyingi humu ndani mtu akiandika kitu anaonekana hayuko serious, Juzi nimeweka Uzi apa nimesema kuwa nahitaji mchumba lkn watu wakatania tania tuu sikupata hata mumoja, Kuna mumoja nikajaribu kumfata Pm nikamwomba tuwe marafiki tuu lkn hatujafika popote anadai kuwa yeye ni...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta hawa 'Grass cutter' hapa Tanzania

    Natafuta hawa viumbe niwafuge, naona wanaigeria wanakazana kuwafuga, nami nimevutiwa. Anaewajua jina kwa kiswahili anaweza anasema.
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    Assalamualaikum Wana familia ya jf. Nina ishi mbeya mjini. Natafuta mwanamke anayejitambua na mwenye uhitaji wa mume ili kujenga familia bora 🙏
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Natafuta mchumba ambae, anaye elewa maisha mvumilivu kwa kila Hali, mwenye hofu ya Mungu, mchapakazi ili tukiwa pamoja tujenge si sio kuvurugana. Umri wake 25-29 Nipo Kilimanjaro Moshi mjini, Nichek pm tuongee vizuri
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga

    Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kimara, isiwe mbali na barabara, mwenye nayo please naomba msaada
  14. JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta chumba kimoja cha kupanga self-contained Dodoma Mjini

    Kwema Wakuu, Natarajia kuwepo Dodoma mjini soon kufanya project itakayonichukua kati ya mwaka 1 mpaka mwaka 1 na nusu. Naomba wenyeji wa mji wanisaidie ABCs za kupata chumba kimoja cha kupanga self-contained chenye usalama na huduma za maji na umeme, kodi kwa mwezi etc Nicheki PM au unaweza...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Habari za wakati mabibi na mabwana!! Mimi ni kijana umri wa miaka 30 ,kwa moyo wa dhati na udhubutu naomba kuwafahamisha rasmi kuwa maisha ya ubachela yamenifikia kikomo nahitaji mchumba vigezo, Umri kuanzia 23-25 Elimu, kuanzia kidato Cha nne Hadi diploma Kazi -...
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta mbwa wa kufuga Mwanza (wakienyeji)

    Nipo mwanza mjini natafuta mbwa Bei iwe kitonga aisee sitaki mbwa wa kizungu. Rangi: Nyeusi itapendeza zaidi Tabia: Mkali sana Bei: Isizidi elf 20
  17. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Namshukuru Mungu mimi nilipata mume hapahapa JF ndoa tumefunga na nina mtoto mmoja na mume wangu siku nitaanzsha uzi hapa nlvomuadithia rafiki yangu n a yeye akanituma nmtumie maombi yake... Yeye pia ni MCHAGA single mama la mtoto 1 wa miaka 7 Baba mtoto wake hayupo kabisa Anatafuta mume...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta cooler box kubwa

    Habari wana jf natafuta coolerbox kubwa ni whatsap kama unayo 0712698246 iwe kama hiyo.
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba

    Mimi ni kijana wa umri miaka 28 mkazi wa Dar es salaam natafuta mchumba ambae ntafunga nae ndoa
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Usafi, House Boy

    Mimi ni kijana wa miaka 25 Natafuta kazi ya Usafi, House Boy. Elimu yangu ni kidato cha 6 pia nina cheti cha udereva🙏
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…