natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke

    Mimi nikijana wa 33yrs natafuta mwanamke wa kumuowa
  2. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimesomea Uandishi na Utangazaji wa habari

    Habari zenu watanzania wenzangu. Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma hivyo natafuta kazi ya uandishi na utangazaji wa habari. Pia Hata kwa kazi ya kujishikiza huku nasubiri cheti, nipo dar es salaam wilaya ya ilala, ukonga. Kazi ya dukani hata mashuleni nafanya. Asanteni 🙏
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta anaeweza kutengeneza au wanapouza aina hii ya majiko

    Hii ni nusu oven https://youtube.com/shorts/Cq65cJXrEDc?si=OCHus-xjbSdVyx65
  4. JamiiForums Tanzania NATAFUTA DLDM YA KUNUNUA, DAR ES SALAAM

    Habari, Natafuta Dldm ya kununua offa yangu 2.5 Hadi 3 Mil Mauzo kwa siku angalau iwe 25k Hadi 30k kwenda juu DUKA LA DAWA MUHIMU
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta Caterpillar la kusafisha shamba jipya (pori)

    Wakuu natumai mu-wazima wa afya, Natafuta Caterpillar la kuvunja shamba. Shamba lipo mkoa Pwani (km 160 kutoka Dar). Ningependa kujua gharama ya kukodisha, kusafirisha na kama Kuna gharama zingine
  6. R

    JamiiForums Tanzania Bado natafuta kazi

    Wakuu nipo hapa tena mbele yenu bado natafuta kazi sehemu yeyote ile viwandani na sehemu nyiginezo naamin kupitia jukwaa hili mtanisaidia ombi langu wenye connection sehemu mbali mbali naombeni mnisaidie kwa hili sichagui kazi japokuwa nimesoma.
  7. JamiiForums Tanzania NATAFUTA NAFASI YA INTERNSHIP BSC CHEMISTRY

    habarini Wana jf. mimi ni kijana wa miaka 23 nasoma bsc chemistry,Mwenge catholic university natalajia kumaliza chuo mwezi wa nane mwaka huu(2024). hivyo basi natafuta sehem ya kufany internship iwe kiwandan au migodoni kote nafany as quality controller, lab scientist and chemist. mwenye kujua...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta msimamizi wa shamba la mifugo na kilimo

    Habari wana jamvi, kama ilivyo heading hapo juu. Natafuta mtu ambaye yupo serious, committed, experienced and devoted; aje awe manager wa shamba. Shamba lipo Namtumbo Ruvuma. Note: 1. Shamba ndio linaanzishwa 2. Lita include mifugo kama kuku wa kienyeji, Bata na mbuzi. 3. Mradi wa kilimo...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Msaada natafuta huu wimbo

    Habari za Jumapili wadau, naomba mwenye wimbo jina lake unaitwa NITUME MIMI BWANA kuna mapadre sijui ndo wameimba, ila ni wanaume pekee ndo wameuimba, Mwenye nae auweke tu hapa niuchukue maana huko google kote hakuna pa kuichukua zaidi tu upo YouTube na mi sitaki, nataka tu ukae kwenye simu...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi. Mm ni videographer, photographer, graphics designer na content creater

    📷📷
  11. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke(mchumba)

    Natafuta Mchumba wa kike Mimi nina miaka 25 Sifa Umri 27-20 Elimu form 4-Degree Makazi-Dar es salaam(Wilaya ya ubungo) KAZI yeyote tu Anicheki kwenye email ebrahalwatan@gmail.com
  12. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta shared office - Kinondoni

    Habarini. Wazoefu wa shared office niko na startup yangu, hivyo niomena ni bora nipate shared office kwa miezi hii ya mwanzo kuliko kupanga office nzima maana gharama zitakuwa kubwa. Hivyo naombeni wazoefu wa shared office mnipe ABC zake.
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta karatasi kubwa za kaki za kujaradia na bahasha kwa bei ya Jumla

    Habari wakuu ,title inajitosheleza
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta namba ya msaidizi wa Makonda.

    Kuna utapeli mkubwa unafanyika na serikali ipo kimya. Tena utapeli wa kutumia idara za serikali. Nina ushahidi wote wa namba za wahusika. Naomba mwenye namba ya msaidizi wa Makonda ili nimtumie ushahidi wote na nyaraka za kufoji. Tumepeleka taarifa polisi tangu February 2024, ila utapeli...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta Roommate

    Mtu yeyote aliepo dar anaefahamu sehemu ambapo Kuna room kali tuchange, tulipie, tuishi ?
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva mkoa wa Ruvuma

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ,ninaomba kazi ya udereva,mkoa wa Ruvuma kwenye mashirika binafsi.Nina vigezo na uzoefu wa kazi wa miaka mitano, nawasilisha nakala hii kwenu kwaajili ya kupata fursa,Asante na Mungu awabariki.
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta jina la huu wimbo sauti kama ya ben poul hivi

    Sauti kama ya ben pol hivi. Ni wimbo wa mapenzi nakumbuka kiitikio Beby so faaa beby so sofaa
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kujitolea, nina shahada ya Uandishi wa Habari

    Habari, Mimi ni mvulana natafuta nafasi ya kujitolea shirika lolote Nina degree ya Journalism nipo mkoa wa Iringa
  19. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habarini wanajukwaa nipo mbele yenu natufuta kazi yeyote ambayo itaniingizia kipato au kama kuna mtu mwenye connection akaniunga kazi zilipo naomba anisaidie. Nina diploma ya procurement and logistics location nipo dar es salaam.
  20. JamiiForums Tanzania Nanunua Google play console

    Nanunua Google Play Console bei kuanzia laki 5 hadi milioni moja na laki 5 , iwe na angalau mwaka mmoja, na app hata moja ndani, No: 0718474600
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…