natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta Data Collectors Wilaya ya Iramba Mkoa wa Singida

    Habari, Nina kazi ya kukusanya data kwa wakulima wa alizeti katika Wilaya ya Iramba Mkoa wa Singida. Natafuta jumla ya vijana sita waliomaliza degree lkn hawana ajira kwaajili ya kukusanya data katika maeneo mbalimbali ya Wilaya hiyo. NOTE: MUHUSIKA AWE ANAPATIKANA WILAYA YA IRAMBA Malipo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Laptop, bei isizidi 600,000

    Natafuta Laptop Bei isizidi 600,000 Iwe Toshiba, dell, hp au mackbook. Iwe na angalau sifa zifuatazo Ram 8GB STORAGE - SSD angalau 200 gb Generation 8+ Bluetooth, webcam, HDMI port LAZIMA Ukubwa wa Kioo uwe 20+ kubwa na kuendelea Chaji angalau masaa 3 ISIWE YA WIZI isiwe na kipengele...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta Story book

    WADAU natumai wote hamjambo, shida yangu hapa mweye kuwa na pdf ya MWENE'S ROUGH DAY (story book) pls aiweke hapa
  4. JamiiForums Tanzania Mimi ni mteknolojia wa maabara za hospitali, natafuta Kazi

    Ninatafuta kazi, Mimi ni mteknolojia wa maabara za hospitali niliyesajiliwa na baraza la HLPC nina leseni hai na nipo tayari kufanya kazi popote Tanzania. Natanguliza shukrani🙏
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta business partner (only serious person)

    Hello Wanajamvi…… Nimekuwa na jitihada za kufungua biashara ya bucha la kisasa la samaki ambalo ndani yake kutakuwa na duka dogo la Cash-point (mobile money & internet banking), nje mitungi ya gesi. Vitu vifuatavyo tayari ninavyo (angalia picha…) Frem ya kisasa Leseni ya biashara Mashine ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya safety officer

    Habari wana jamii, Naomba kwa yeyeto mwenye connection ya kazi ya Health, Safety and Environment (HSE) popote aniunganishe. Nina Degree ya Environmental Planning and Management pia nina NOSHC I, OHS Risk Assessment zote kutoka OSHA pamoja na Computer Certificate. Kwa yeyeto anayeweza...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta Mwanasaikolojia

    Habari WanaJF, Hatimaye nimepata ugonjwa wa kusahau vitu. Natafuta mwanasaikolojia anisaidie namna ya kuondokana na changamoto hii. Imefikia hatua nasahau vitu vya muhimu kama kula na kuoga. Natanguliza shukurani zangu za dhati. Jiwa Hassan
  8. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza

    Habari ya wakati huu. Nimeleta mrejesho kwa kipindi ambacho nimekuwa na uhitaji wa mwenza na nikaposti humu. Lakini waliokuja pm ni wababa waume za watu na wengine wanakuja for funny tu, wakihisi hii ni sehemu ya kula kucheza na kuondoka. Wakati Niko seriously katika Jambo hili na Nina uhitaji...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta POS za kununua za benki ya NMB na CRDB

    Naomba kujua kama kuna mtu anauza posi ya nmb na crdb anitafte nataka tufanye biashara maana nazihitaji kwa uharaka sana.
  10. JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta chumba kimoja chakupanga kiwe self contained Arusha-Njiro

    Wakuu habari za majukumu ,natafuta chumba cha kupanga kiwe self contained, kiwe na jiko na pia mazingira yenye usalama kwa maeneo ya Arusha-Njiro road kikipatikana mpaka maeneo ya kontena itakua vyema zaidi kwa bajeti ya 80,000-100,000.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Wasifu wangu; JINSIA; Me UMRI; 24-26 ELIMU; Bachelor of business administration MAKAZI; Dar- kigamboni Naombeni mwenye mchongo wa kazi yoyote halali anisaidie nikakomboe cheti changu chuoni kuna kiasi flani cha ada nadaiwa.
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta Toyota Premio

    Wana JF Nahitaji Toyota Premio Model mpya Engine size CC 1450 Iwe ya Silver au nyeupe rangi nyingine pia sio mbaya Namba DZ au Namba E. Mwenye nayo aje tuzungumze kwenye comments./Inbox Pia mwenye Toyota Rush anicheck. Samahanini sana Madalali nawapenda sana wapiganaji wenzangu...sio mbaya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta heka kumi za kulima mkonge

    Habari zenu wakuu, Jamani mwenye connection ya mashamba anisaidie, nataka kama heka kumi kwa ajili ya kulima mkonge, maeneo ya Tanga au Morogoro, Yanayouzwa kwa bei rafiki Asante
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta betri hizi

    Wakuu nani anaweza kunisababishia nikajua bei ya betri hizi. Na nazitolea wapi kabla sijaingia mzigoni mwenyewe huko kariakoo. Nb: niko mbagala muda huu
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kuifanyia service printer

    Kazi ya haraka kesho tarehe 24. Printer inajam kila baada ya kuprint page chache. Aina ni Hp Canon 404. Location. Dar es salaam ubongo. Please DM me with your quotation
  16. E

    JamiiForums Tanzania Nimesoma kozi ya Mawasiliano kwa Umma, natafuta kazi

    Habari zenu watanzania ndugu zangu Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma hivyo natafuta kazi ya uandishi na utangazaji wa habari, call center au afisa uhusiano wa umma Pia Hata kwa kazi ya kujishikiza huku nasubiri cheti, nipo Dar es salaam wilaya ya Ubungo,kimara.Asanteni
  17. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta anayenunua korosho kwa jumla. Zipo kilo 15. Kilo moja 15000. Nipo dar Nicheki 0620 239 355

  18. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari la kukodisha

    Habari za leo wakuu, Natafuta gari dogo, binafsi, isiwe zaidi ya cc1400, kukodisha kwa mizunguko ya Dar es salaam weekend hii. Dereva ni mimi mwenyewe. mwenye nayo nicheck whatsapp 0688180839.
  19. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta roller blade (kiatu cha matairi)

    Habari zenu wakubwa, Natafuta ni wapi naweza pata roller blades (viatu vya matair) za kununua either dukani au kama kuna mtu anacho na anakiuza tunaweza fanya biashara Mimi nipo mwanza kama kuna mtu pia anafahamu bei zake naomba msaada tafdhari ahsanteni.
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta Mpenzi

    Hope mko poa! Jamani natafuta mpenzi wa kuwa nae,. Nyumbani Kanda ya ziwa ila nipo Dar kimasomo! I'm a man of 25 yrs Maswali mengine niulize ntakujibu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…