natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba

    Namtafuta mchumba 1 Hodi naleta maombi, ya uchumba Hapa niiweke kambi, na kulimba Nile za maziwa tambi, nina sumba Namtafuta mchumba, ajilani 2 Barua hii iwazi ,isomeni Na awe yangu saizi, mleteni Wajulisheni wazazi, dalihini Namtafuta mchumba, ajilani 3 Rangi sitazichagua, auswadi Na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mshirika wa kuanzisha biashara Mwanza pekee

    Husika na kichwa hapo juu Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 40 ni mfanyanya biashara hapa mwanza, nahitaji mtu mwenye mtaji wa kuanziasha biashara ya pamoja. Mimi tayar nachumba cha duka natafuta mtu mwenye Nia ya pamoja, kutokana na chumba kilipo kinafaa sana kama Kuprint tishet mabango...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza wa maisha

    Nimekuwa nikilitafakari jambo hili kwa muda sasa kuhusu ni nini maana ya kweli linapokuja suala la kumpata mwenza wa maisha. Sio kuhusu uzuri, umri, au mambo ya muda mfupi. Ni kuhusu kujenga kitu cha kudumu na chenye maana. Ninachotafuta ni mtu mwenye maadili thabiti, moyo wa upendo, ukomavu wa...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta chumba single self,moshono arusha

    Habari zenu wadau,hasa wakazi was Arusha. Naomba msaada mwenye kujua,natafuta single self budget 80k isizidi 100k maeneo ya moshono,nikipata nyumba ikiwa mpya,ina geti itakuwa POA zaidi
  5. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha majumbani

    Habari mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu UDSM natafuta kazi ya kufundisha majumbani (tuition), kuanzia shule ya msingi mpaka kidato cha sita masomo ni English, kiswahili na History kwa mawasiliano zaidi 0785935414, ahsante.
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta crate za Soda Pepsi na Coke

    Natafuta crate tupu za Soda kampuni ya Pepsi na Koka
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nyumba Zanzibar

    wadau, hasa wanaoishi Zanzibar naomba msaada wenu, Nitakuwa Zanzibar kikazi kwa mwaka mmoja kuanzia mwezi wa pili. Natafuta Nyumba ya kupanga 1 Bedroom ikiwa master room ni vyema zaidi, Sitting room na jiko. Kama itakuwa ngumu kupata basi walau 1 master bedroom, sitting room na jiko...
  8. JamiiForums Tanzania Wakuu Natafuta ajira au mchongo wowote wa kufanya

    Wakuu bado sijapata mchongo kama kuna mchongo wowote au ajira me bado natafuta ni kijana wa miaka 22 nishafanya kazi sehem tofaut tofaut pia nnaufanis wa quality na marketing pia kwa sasa natafuta ajira yoyote kama kuna mchongo bandarin au sehem yoyote ya mauzo au kazi yoyote ila me niko tayar
  9. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta ardhi Lindi

    Nina shida na ardhi ya Lindi ambayo haijawahi limwa kama heka kumi hivi mwenye info anisaidie
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, Vipimo na viwango wa viwandani, pia Quality assurance na calibration of Measuring instruments

    Habari Member wa Jf Kwa Majina naitwa Deo Mariwa (24 years) nina degree ya vipimo na viwango ( Metrology and Standardization) Ninaomba mwenye connection ya kazi au mwenye kutoa ajira katika category ya manufacturing; Pia nina uzoefu katika field zifuatazo -Calibration of measuring...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba/ mwanamke

    Nimefuatilia post za wadada walio wengi wanaofanya biashara, wakiandika huku love connect wanasema wao ni wamachinga. Mnaweza kuwa mnajinyima fursa kwani kuna wanaume wanataka mwanamke strong ambaye pengine anaweza kusimamia au akiongezewa Nguvu kiasi ataweza kuchanja mbuga, sasa ukisha sema...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nipo dar es salaam

    Mimi ni binti wa miaka 24, nina degree ya Information systems Management. Natafuta kazi nina ujuzi wa computer (word, power point na excel). Mchapakazi, msikivu na ninaependa kujifunza. Utanipata kwa email hii: kimishalilian@gmail.com. Asante.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwanamke wa kuzaa nae tu!

    Nina 25 years, nimeajiriwa ni mrefu, mweupe kiasi nahitaji mwenyewe sifa zifuatazo: 19 to 32 years Mweupe na beautiful Mrefu kiasi Sio mnene wala mwembamba sana Mwenye dimpoz Awe tayari kushiriki tendo Mwenye kujua kulea mtoto Nitamtunza kila kitu kuanzia ujauzito mpaka mtoto akifikisha 3...
  14. JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZI YA UANDISHI WA MAKALA

    Habari wakuu, Mimi ni mwandishi wa makala mwenye uzoefu mkubwa katika kuandika maandishi yenye ubora wa hali ya juu kwa lugha zote mbili yani Kiswahili na Kiingereza. Nimejikita zaidi katika sekta ya utalii, safari, michezo, kamari na masuala ya kijamii, huku nikitumia mbinu za kisasa za SEO...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya uhasibu naombeni msaada wenu

    Hello naitwa jenipha natafuta kazi ya receptionist naombeni msaada wenu 0713776534
  16. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta wanunuzi wa madini ya IOLITE

    Natafuta wanunuzi wa madini ya iolite ambayo yamechongwa tayari (cut/faceted iolite).
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimesoma Human resources

    Habari ya Jumapili wana JF. Natafuta ajira/Kazi nimesomea Human resources Kwa level ya degree. Nipo tayari kufanya Kazi mkoa wowote Kuhusu Mimi -Mchapa Kazi -Mtu wa kutoa matokeo -Na mbunifu. Pamoja na kuwa nimesomea human resources Ila ndani yake naweza kufanya Kazi Kama, Marketing officer...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga zanzibar

    Habari wakuuu, Natafuta chumba cha kupanga ambacho hakipo mbali sana na michenzani mall, Zanzibar. Chumba kiwe master na bajeti yangu ni kisizidi laki moja kwa mwezi. Anayekifahamu au ambaye anaweza niunganisha na dalali naomba anisaidie. Ahsante
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta mke mwenye sifa hii muhimu

    Umri kuanzia miaka 22. Elimu form four na kuendelea. MUHIMU awe ana uzoefu wa kulima kwa jembe la plau linalovutwa na ng'ombe. Angalia picha kwa ufafanuzi zaidi.
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta Capacitor ya 9uf 450v

    Nimeshindwa kupata Capacitor ya 9uf 450 vac kwa ajili ya Washing Machine, madukani Kariakoo zinazopatikana ni 10uf 450vac au 8uf 450vac, wapi naweza pata hii ya 9uf 450 vac?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…