natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta perfume konki budget 50K

    Wale watu wa perfume uwa tuna code zetu tunapasiana. Mimi nimekwama kidogo so natafuta perfect ya isizidi 50K ya kiume inayonukia kishefa. Ukinitajia jina na location ya kuipata nitafurahi. Isiwe ya kupima wala rasasi au smart collection. Karibuni
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta Line za mabando

    Mabando ya mitandao ya Voda Tigo Airtel Halotel Kama una hizi line weka bei nikucheki
  3. A

    JamiiForums Tanzania NINA SHAMBA EKARI 15, LIPO MBEYA- CHIMALA. NATAFUTA MTU WA KUUNGANISHA NAE NGUVU TUFANYE KILIMO CHA ALIZETI.

    Kilimo cha umwagiliaji kinawezekana pia kwakua shambani kuna miti inayotoa maji mwaka mzima. 0625012562
  4. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya kufanyia Bolt/ Uber iwe dar au dodoma

    Mimi ni dereva wa tax mtandaoni nina leseni yenye daraja c nina acount zote bolt, uber, little ride na farasi. Nina uzoefu wa kazi hii, gari ikiwa ya mkataba au hesabu Mawasliano +255767630088
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta Kaz ya udereva wa binafsi au tx mtandano

    Ndugu jama na marafik nipo mbele yenu kuomba Kaz ya udereva Nafanya kazi ya udereva -gar ya nyumbani -gar ya tasisi yoyote -gar ya tx mtandao Uber bolt Nina uzofu wa mwaka Moja na nusu sasa Naomba ushirikiano wenu kwenye kulifanikisha hili
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya cashier or customer service nipo jijini Dar es salaam

    Hello naitwa jenipha Nimemaliza degree ya uhasibu chuoo kikuu cha Dar es salaam natafuta kazi naombeni msaada wenu 0713776534
  7. JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZI-NINA UZOEFU WA ZAIDI YA MIAKA 8.

    Habarini Wana jukwaa. Nimekuja mbele Leo kutafuta connection, Network ya kazi. Nina uzoefu wa miaka 8 kazi za Administration, procurement and logistics. Nina uzoefu nmefanya kazi kwenye Mashirika na pia kwenye sekta binafsi. Nipo tahari kufanya kazi mahali popote. Kwa Maelezo zaidi pamoja na...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habarini za muda huu, nina umri wa miaka 26, jinsia me, napatikana mwanza, nipa hapa kutafuta kazi, mimi ni clinical assistant (CA) Nina kila kitu, leseni hai na vyeti vya taaluma, nina experience ya kazi kwa muda wa miezi 8 nikiwa dispensary, natanguliza shukurani
  9. 3

    JamiiForums Tanzania Natafuta madini ya graphite

    Natafuta anayeuza madini ya graphite hapa TZ. Nataka anayeuza kwa kilo na sio kwa tani Ani pm namba yake. Mi nipo dar
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mke

    Natafuta mke , Naitwa jose nina miaka 27 natafuta mke mweny miaka kuanzia 20-25
  11. 3

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba asiye na uwezo wa kupata watoto

    Habari ya kwenu. Natafuta mchumba wa kuoa mwenye vigezo hivi. Mwenye umri miaka 40 kwenda juu Jinsia mwanamke Mkristo Asiye na uwezo wa kuwa na watoto Mwenye tabia nzuri. Ukiwa na tabia mbaya hatutadumu kwenye mahusiano. Anayejaza vigezo hivyo Ani PM namba yake
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta suruali zenye Mtindo huu

    Habarini wakuu! Nimekuwa mpenzi wa suruali za aina ya american jeans/cadet Naomba mwenye kufahamu zinauzwa wapi anisaidie Sehemu nilipokua nanunua mwenye duka alifunga biashara.
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kujenga nae maisha

    Nina uhitaji wa mwanamke umri usiozidi miaka 30. Awe na uwezo wa kusimamia biashara, asiwe single Maza, nipo serious. Karibuni
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta coster 17 za kukodi kwa ajili ya shule mkataba mwaka mmoja

    Habari. Tunatafuta gari aina ya coaster ziwe gari 17 pamoja na hiace moja kwa ajili ya kuwachukua wanafunzi shuleni na kuwarudisha nyumbani. Hivyo basi tunahitaji kampuni moja yenye kuweza kumanage huu mkataba ambayo itakuwa na uwezo wa kuwa na gari zote hizo 17 na hiace 1. Mkataba ni mwaka...
  15. JamiiForums Tanzania Jamani natafuta kazi ya UPISHI Nimechoka kukaa nyumbani

    Jamani hali ngumu, Mwenye uhitaji wa Mpishi wa kupika vyakula mbalimbali hebu tupeane connection. Nimesoma Hotel Management pale DDC Kariakoo na kufanya kazi sehemu mbalimbali. Nyumbani kunachosha sana. Mnataka tufe na njaa au? Niko Dodoma mjini. Hata kama wataka kupikiwa nyumbani kwako...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari 3 za kubeba kontena kwenda Zambia

    Habari Natafuta gari 3, trucks za kubeba 20ft container toka hapa dar es salaam mpaka Lusaka, Zambia. Kontena zipo ICD Nyerere Road. Payment : 50% advance payment after loading Mawasiliano 0692595127
  17. JamiiForums Tanzania Nina shahada ya sheria, natafuta kazi.

    Habari wana JF Nimesugua benchi kwa muda sasa. Natafuta ajira. Elimu yangu ni shahada ya sheria. Kazi sio lazima iwe ya kisheria. Tafadhali mwenye kuguswa naomba tuwasiliane kwa email moderncentury5@gmail.com kwaajili ya CV yangu. Asanteni sana!
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta dereva Uber/Bolt

    Natafuta dereva mzoefu wa bolt/ uber Awe Dar es salaam Mzoefu na awe na account ya bolt/uber Nicheck inbox
  19. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu yenye free WiFi Dar es Salaam, nayoweza kufanya online meeting

    Natafuta space ambayo kuna utulivu na kuna unlimited internet Dar es Salaam. Iwe coworkspace ya kulipia au naweza kukaa kama mteja wa vinywaji lakini nitaenda na laptop yangu kwa ajili ya kufanya online meeting. Naomba suggestions.
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza (Mchaga) wa maisha. Ninaishi hapa Dar es Salaam

    Habari wanajamii, natumaini mnaendelea vyema. Mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 38, naishi hapa Dar es Salaam. Natafuta mwenza wa maisha mwenye malengo ya dhati na uhusiano wa muda mrefu. Mimi ni Mkristo(Lutheran) ninapenda na ninathamini Mahusiano ya kuzingatia Heshima, Upendo wa Dhati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…