natafuta mpenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Natafuta mpenzi awe single mother

    Sharti uwe na watoto kuanzia 3 kwenda mbeleeeeée. Ooh my god njoo pM
  2. P

    Natafuta mpenzi jinsia ya KIKE

    Natafuta rafiki wa kike, kabila yoyote, kuanzia miaka 40-50. Dini yoyote, mfanyabiashara au mwajiriwa. Naishi Dar. Nina miaka 50, mwanaume, urefu wa kati, maji ya kunde. Msukuma na Mjita. Mzaliwa wa Dar. Mfanyabiashara. Karibu atakayependezewa. Tafadhali naomba dharau, dhihaka na utani vikae...
  3. M

    Natafuta mpenzi serious awe Dar around Bunju. Napenda wanawake wanene yani vibonge haswaa

    Mm ni kijana natafuta partner au fvck mate. Awe mnene kibonge na awe around Dar. Akiwa bunju itapendeza zaid. Anicheck 0620345330. It’s for pleasure
  4. S

    Natafuta mpenzi

    Natafuta mpenzi Jinsia yangu Me Umri 33 Makazi dar Mpenzi ninayemtaka awe anaishi dar pia. Umri wowote
  5. Natafuta mpenzi kwa waliopo kigoma

    Habari za mida wapendwa, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 nipo Kigoma mjini natafuta Binti wa umri kati ya 22-25 ambaye badae tukikubalia nitamuoa
  6. Natafuta Mpenzi

    Hope mko poa! Jamani natafuta mpenzi wa kuwa nae,. Nyumbani Kanda ya ziwa ila nipo Dar kimasomo! I'm a man of 25 yrs Maswali mengine niulize ntakujibu
  7. Kuna mtu anatafuta mke yupo serious

    Kanitumia hivi HAbari dada naitwaa f natafuta mke wakuoa awe umri kuanzia 22 mpaka 25 ., awe maji yakunde , mrefu wastani, asiwe mnene wala mwembamba sana . Awe anaishi dar , awe anafanya kazi Awe yupo tayari kuwa mke. Ila asiwe mchaga. Muhitaji ni mwajiriwa , mkristo Ni mpenda kanisa . Mrefu...
  8. Natafuta mpenzi

    Mschana au mwanamk3
  9. D

    Nahitaji mchumba wa kike anaejielewa, umri wangu 25 nimejiajiri. Hata akiwa ananizidi umri sio mbaya, awe anajielewa tu

    Awe anajielewa, muonekano wa kawaida tu ila ukiwa mzuri wa sura itapendeza zaidi.
  10. S

    Natafuta mpenzi, awe anaishi Dar

    Mimi ni mwanaume. Naishi dar. Umri ;32 Rangi :Black. Dini yangu -muslim Natafuta mpenzi awe na sifa hizi Awe anaishi dar. Asiwe serious sana (Awe charming) Umri 20-35. Dini yoyote sibagui. Aliyeridhia aje inbox.
  11. Natafuta mpenzi wa kike mtu mzima

    Nina miaka 55, mfupi 5 7, mfanyabiashara, naishi Dar, Nina watoto wakubwa, wanaishi kivyao na kwa mama yao. Nahitaji mpenzi wa kike tupendane. Maswali zaidi uliza inbox tafadhali
  12. N

    Natafuta mpenzi

    Jina: John Kazi: religious Makazi: Dar na Zanzibar Umri: 34 Natafuta mwanamke wa kuingia naye kwenye mahusiano akiwa na maisha yake itapendeza zaidi. Sijachagui dini, kabila, Wala rangi cha muhimu upendo. Asinitegemee sana maana sina kikubwa cha kumpa zaidi ya upendo na Muda wangu. Kwa Aliye...
  13. Natafuta mpenzi, baadaye mke

    Habari, Mimi ni mkazi wa Dar es salaam Umri - 33.6 Kazi - Ajira/biashara Dini - Mkristo Elimu - Masters Rangi - mweusi na mrefu kiasi Mtoto - Sina mtoto Natafuta binti Umri - 24 hadi 29 Kazi - Sio lazima Elimu - Form 4 na kuendelea Dini - Ikipendeza mkristo dhehebu lolote ila mcha Mungu sana...
  14. Natafuta mpenzi (KE)

    Kama header inavyojieleza,mimi ni kijana wa miaka 25 asili yangu ni Mnyakyusa lakini makazi yangu rasmi ni Dar. .Elimu:Degree .Kazi: Nimejiajiri,nina duka la simu. Natafuta mwanamke kwa ajili ya kuwa kwenye mahusiano serious. Umri kuanzia miaka 19-26. NB; Uwe Dar. PM kwa ajili ya kupeana...
  15. Mwanaume, natafuta mpenzi

    Mimi ni mwanaume, umri miaka 24 natafuta mpenzi awe mzuri mweusi au mweupe, umri wowote. Akiwa Dar itapendeza.
  16. M

    Natafuta mpenzi wa kuifaurahia Dunia pamoja

    Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 28, natafuta mwanamke serious ambaye twaweza kuwa wapenzi. Ninaishi Dar. Napenda huyo mwanamke awe na vigezo vifutavyo; Umri: 22-30 Elimu : yoyote Rangi : yoyote Location: :Dar Asiwe mwanafunzi wa chuo. Aliyeserious ani pm nitampa mawasiliano yangu.
  17. K

    Natafuta mpenzi girl friend atakaye nielewa

    ...
  18. Natafuta Mpenzi wa kike Mwenye uwezo Kipesa (Financialy Stable)

    Sifa za nimtakae (Mwanamke) Vigezo vyake : Dini : yoyote ile sijali Mtoto : Akiwa nae asizidi mmoja Kazi : Awe mfanyabiashara/Muajiriwa vyovyote ila Ki uchumi awe vyema (Akiwa Mfanyabiashara ningefurahi zaidi) Umri : 25-35YRS Umbo : Asiwe mnene (BONGE) awe wa kawaida Rangi : Yoyote Elimu ...
  19. Natafuta mpenzi wa malengo

    Kwa kifupi kuna mengi ambayo nimefikiria mpaka kuandika Andiko hili Kama utaona kuna binti au linakufa wewe mwanamke basi pm yangu iko wazi Na ni serious Kwa kifupi Mimi ni kijana umri miaka 28, ninaishi katika moja ya wilaya mkoani mbeya Nimeajiriwa kampuni binafsi na pia ninajishughulisha na...
  20. Natafuta mpenzi sahihi wa kuanza nae mahusiano imara na bora

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…