Akiwa na mtoto au watoto amezaa ni vizuri.
Akiwa aliachika katika ndoa na angalau alipewa taraka itapendeza zaidi.
Asiwe chini ya miaka 35 na asifike 55.
Dini yake yoyote aendelee nayo.
Mi situmii pombe na yeye ajitathimini.
Awe ni mnene wa shep au awe na mzigo.
Awe anaishi Dar au jirani...
Awe na sifa zifuatazo:
Umri 20-25
Muislam
Mweupe
Mwenye elimu yeyote
Mchapakazi
Mkazi wa Dar es salaam
Umri wangu 26
Nmejiajiri fundi AC
Naishi Tegeta
Njoo pm kma upo tayari
Habari zenu wakuu. Najitokeza kwenu mimi ni kijana wa kiume umri miaka 27. Ninaishi Dar es Salaam. Ninatafuta mchumba wa kike mwenye maambukizi ya virusi lakini awe anatumia ARVs. Mambo mengine tutaelezana PM. Dini si muhimu sana kwangu.
Mimi mwenyewe siishi na maambukizi ieleweke.
Dira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.