naona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini na upinzani kuhamasisha haki sio uchochezi wala vurugu ni mwanzo wa ukombozi

    Kila mtu anajua kuwa viongozi wa dini ni watanzania na bado ni wapiga kura, kwahiyo ni haki yao kuhamasisha uchaguzi wa haki. Kila mmoja anajua upinzani ni chama halali cha siasa Tanzania kilichosajiliwa kihalali hivyo kuhamasisha haki na mabadiliko ya uchaguzi ni haki yao hiyo sio suala la...
  2. JamiiForums Tanzania Naona muda wa kula viporo vyetu sasa umewadia. Karibuni ndugu zangu.

    Ndugu zangu wapendwa; naomba kuchukua nafasi hii muhimu kabisa, kuwakaribisha kwenye viporo vyetu. Hakika vitaanza kuliwa kuanzia keshokutwa tarehe 02/05/2025. Na kila baada ya siku 3, kiporo kingine kitaliwa hadharani. Lengo la huu uzi ni kutaka tu kuwakaribisha kushiriki kwenye hayo matukio...
  3. JamiiForums Tanzania Ulishawahi tuma message ndefu yenye maumivu makali ukajibiwa " SAWA ". Ulichukuwa uamuzi gani?

    Ulishawahi tuma message ndefu yenye maumivu makali ukajibiwa " SAWA ". Ulichukuwa uamuzi gani?
  4. JamiiForums Tanzania Kwenye jeshi letu upande wa JKT naona dalili za uchawa umeshafika na mambo mnayofanya

    Leo nimeona JKT wamezindua ZOO kwa ajili ya utalii na kuanza kusifia royal tour raisi kwa kufikiria haraka tu unaona kabisa watu wanafanya kufurahisha muhisika. Mimi nilitegemea kuona jeshi likizindua viwanda vya teknolojia,vilimo vipya pamoja na zana kubwa. Yani leo mfano irani jeshi lao...
  5. JamiiForums Tanzania Kama Mkristo Naona Uislamu Hautatoboa Hii Karne Kuelekea Karne Ifuatayo: Simu na Wi-Fi Vinachangia Kudidimiza Uislamu Zaidi ya Vita Dhidi ya Makafiri

    Kama ningekuambia miaka 15 iliyopita kwamba simu janja na Wi-Fi vitachangia kudhoofisha Uislamu kuliko hata mashambulizi yote ya historia kutoka kwa Wakristo waliowahi kuitwa "makafiri," ungeweza kudhani ni mzaha. Lakini leo, kama Mkristo ninayeangalia mwenendo wa ulimwengu, siwezi kupuuza...
  6. JamiiForums Tanzania Picha: Naona Mjadala umekua mkubwa, sasa tumalize ubishi..

  7. JamiiForums Tanzania Mimi ni mpenzi wa nyimbo za taarab, kwasasa naona kama imekufa

    Mara ya mwisho ku peak ilikua 2011, taarab ilikua juu sana. Ila baada ya pale naona imepotea, nina miaka mingi sijasikia hit song ya taarab. Whyyyy, hizi amapuano sijui singeli sijawai zielewa hata. Bring back taarab.👌👌
  8. JamiiForums Tanzania Naona kama ni fedheha kwa msomi kukaa bungeni muhula mzima bila kuteuliwa waziri japo sio lazima wala muhimu na jimboni pakiwa pakavu tu hakuna kitu

    Yaani watu wa kawaida tu bungeni wanafanya kazi nzuri kwenye majimbo yao, wanafanya kazi nzuri wanapopewa dhamani serikali kuu, wanahamishwa kutoka wizara moja kwenda nyingine, huku wasomi na ubobevu wao wakishindwa hata kua na ushawishi wa kua wenyevikiti wa kamati za bunge, na jimboni pake...
  9. JamiiForums Tanzania Binafsi nikiona mtu Personality yake imemezwa na ushabiki wa Simba na Yanga huwaga napata mashaka na IQ yake

    Unakutana na Mtu anaamka asubuhi akifika tu kwenye kijiwe cha kahawa au mgahawani lazima itakuwa ndio mada atakayodiscuss kwanza kuliko kingine chochote na bora ingekuwa vitu concrete katika timu yake ya aidha simba au yanga bali utakuta ni udaku Akitoka kwenye kijiwe hicho cha kahawa akasogea...
  10. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM tujipange naona vijana wameamua agenda yao ni 'No Reforms, No Election'

    Jana katika kipindi cha MALUMBANO YA HOJA iliyohusu NINI NAFASI YA VIJANA KWENYE UCHAGUZI 2025. Kwa kweli vijana walisema mengi kuhusu mustakabali wa nchi yetu kuelekea uchaguzi wa 2025. Kwanza waligusia Tume Huru ya Uchaguzi na wakasema kwa uwazi kuwa Tume hii si huru. Pili walisema kuwa ili...
  11. JamiiForums Tanzania Chief GodLove ulikuwa huwajui Wakenya naona sasa utawajua kwa Nguvu yao ya Kimtandao. Pole kwa Kufungiwa TikTok Account yako

    Kuna siku nilikuja na Uzi hapa JamiiForums wa kuulizia huyu Chief GodLove ni nani ukafutwa haraka sana na sijui kwanini.
  12. JamiiForums Tanzania Justin Bieber dogo anasubiribkifo tu naona kama kadata

    Huyu dogo alikuwa bonge Moja la msanii ila Sasa hivi naona madawa yashampeleka puta naona anasubiri kifo tu sababu hata ngoma mpya hamna kashazeeka na madawa kipi. Kipo nyuma Kwa huyu dogo mwenye sauti ya kipekee kwenye muziki.
  13. JamiiForums Tanzania Naona sera ya CHADEMA, No reform No election ni ngumu sana

    Nimeona sugu ameitisha press, na kuwaambia waandishi wa habari kwamba atagombea ubunge 2025 October, Naona hii italeta mpasuko mkubwa ndani ya Chama, wanachama wengi wanaona kama Wana nafasi ya kuingia bungeni 2025, lakini maono ya viongozi wao wanaona ya kwamba hata kama wakiingia ulingoni...
  14. JamiiForums Tanzania Naona ndoto yangu kumiliki ndege yangu binafsi ikizama

    Sio kunguru wala bundi ni ndege aka aeroplane kwa lugha ya kihaya Hivi wakuu kweli nishindwe kumiliki hata hutu tundege tudogo tunapitaga hapo juu hadi unaona ngondi za suka anakanyagia klachi kwa chini😭😭😭 Kwani vinauzwa shingapi hivi wajameni? nikiingia hapo crdb nikope sivuti kamoja...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Naona kama DSTV TANZANIA MMEWAZOEA WATEJA WENU................

    Sianzi na salam sababu ya jazba ............hivi hawa mbwa wanajikuta nani?? Yaani mmelipwa pesa na huduma mmekata.........mnadhania pesa ni ya mababa zenu??...........hii kampuni sio international bora hata mngeweka ofisi yenu tandale ................huduma kwa wateja namba haifanyi...
  16. JamiiForums Tanzania Naona sasa uchawa umezidi hapa nchini. Nashauri serikali ya CCM ianze kugawa tuzo za machawa

    Kulikua na haja gani mheshimiwa chawa kuvaa nguo ya aina hii? Hakika Anko Magu alituingiza choo cha kike.
  17. JamiiForums Tanzania Naona 500 ndiyo sarafu pekee imebaki mtaani

    Sijaona sarafu nyingine. Hata vitu kununua bei zinapangwa kuanzia 500. Labda viwili miatano au vitatu 1000. Ni ishara ya mfumuko wa bei?
  18. JamiiForums Tanzania Mzee mmoja alikuwa haudhurii misiba leo kafariki, kinachoendelea hapa naona ni msiba wa familia tu

    Mzee mmoja amefariki na M/Mungu alimjaalia kweli enzi za uhai wake mali kweli kweli za kutosha, katika kujumuika na nzengo Mzee hakuwa na historia ya kuhudhuria misiba ya wengine na hata kushiriki tu hakuwa anafanya hivyo enzi za uhai wake kabisa na hakuwa anajali. Sasa ya Mungu mengi bwana leo...
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya Wife kuniweka Lockup naona kama natengenezewa mazingira ya ku react nichukue hatua kali

    Wakuu heshima kwenu. Poleni na majukumu. Ndugu yenu numerudi tena kuwajuza yale yanayoendelea kunisibu, maana najua hapa wamejaa watu wenye upeo wa kushauri, kutia moyo ,kuonya, kukufungua jicho upate alert na wengine weeengi sana. Wiki kadhaa zimepita toka nilete mikasa yangu na mazonge ya...
  20. JamiiForums Tanzania Naona Kocha wa Fountain Gate kaamua kuwatafutia Simba Hili.

    Kwa kuwaambia Wachezaji wake kipindi Cha pili wafunguke mwanzo mwisho.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…