Nanyumbu is one of the six districts in the west of the Mtwara Region in southern Tanzania.
The 2016 population of Nanyamba was projected at 158,425, from 150,857 in the 2012 census.
Mimi ni mmoja wa walimu waliopata uhamisho katika Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu, mkoani Mtwara. Uhamisho wa kwanza ulifanyika mwezi Desemba 2023 kwenda shule mpya za Mkapa Wasichana Sekondari na Rukumbi Sekondari. Baadaye, mwezi Julai 2024, kulikuwa na uhamisho mwingine kwenda shule za...
Kuna changamoto katika Nanyumbu District Council inayohusu ucheleweshaji wa malipo ya gharama za uhamisho kwa watumishi, hususan walimu wa sekondari. Hali hii imekuwa ikileta usumbufu mkubwa kwa wahusika kutokana na mazingira ya kazi na maisha wanayokutana nayo baada ya kuhamishwa.
Uhamisho...
Anonymous
Thread
malipo
malipo ya uhamisho
nanyumbu
ucheleweshaji
uhamisho
walimu
NANYUMBU YAZALISHA DHAHABU ZA BILIONI 1.28, SERIKALI YAHIMIZA UCHIMBAJI ENDELEVU
Wilaya ya Nanyumbu, mkoani Mtwara, imeanza kunufaika na rasilimali zake za madini baada ya Serikali kuthibitisha kuwa madini ya dhahabu yenye thamani ya shilingi bilioni 1.28 yamezalishwa wilayani humo katika...
Wilaya ya Nanyumbu, mkoani Mtwara, imeanza kunufaika na rasilimali zake za madini baada ya Serikali kuthibitisha kuwa madini ya dhahabu yenye thamani ya shilingi bilioni 1.28 yamezalishwa wilayani humo katika kipindi cha miaka minne (2020–2023).
Hayo yameelezwa leo Mei 20 2025 bungeni jijini...
MNEC wa CCM Taifa, Ndugu Joseph Peneza, amechangia milioni 2.5 kusaidia ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Nanyumbu. Akiwa mgeni rasmi kwenye Baraza la Jumuiya hiyo, Peneza pia alishiriki shughuli ya kuchimba msingi wa nyumba hiyo.
Katika kuunga mkono jitihada za...
Hivi karibuni tatizo la kukatika kwa umeme mkoa wa Mtwara limekuwa kubwa na kero kwa wananchi.
Mkoa wenye gas asilia na makaa ya mawe lakini tatizo la umeme limekithiri. Najiuliza wakazi wa Mtwara wameongezeka kiasi kwamba Tanesco wanazidiwa au tatizo nini.
Umeme unaweza kukatika zaid ya...
Anonymous
Thread
changamoto
kero
kero ya umeme
mkoa
mtwara
nanyumbu
tatizo
tatizo la umeme
umeme
Fursa ya Kuanzisha Viwanda vya Kuchakata Mazao ya Karanga, Ufuta na Alizeti - Kata ya Likokona, Nanyumbu
Serikali kupitia Kituo cha Uwekezaji (TIC) inaendelea kutangaza fursa za uanzishwaji wa viwanda vya kuchakata mazao ikiwemo mazao ya karanga, ufuta na alizeti.
Haya yamebainishwa bungeni...
Dar es Salaam. Mbunge wa Nanyumbu (CCM), Yahya Mhata amemweleza Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu changamoto ya kukatika kwa umeme katika wilaya ya Nanyumbu pamoja na gharama kubwa ya kuunganisha umeme.
Mbunge huyo ameeleza hayo leo Jumapili Septemba 17, 2023 wakati wa ziara ya Rais Samia katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.