nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kosa la usaliti: Nani mwenye Makosa Rafiki au Mkeo? : VIDEO

    Ngosha kasalitiwa na Mke wake, kulingana na tukio linavyoonekana ni kwamba hata Mtoto si wake.. Analalama kwa uchungu sana.. KATAA Ndoa wanachukua points 3 za wazi. Inaonekana Binti pia hana aibu kabisa.. (Jeuri). Mbaya zaidi hasira za mtu aliyesalitiwa (Ngosha) anazihamishia kwa Mke msaliti...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nani chawa zaidi

    Tlaatlaah na ChoiceVariable Piga kura yako
  3. JamiiForums Tanzania Hili ndilo limethibitisha kati ya Simba na yanga nani mkubwa

  4. H

    JamiiForums Tanzania Kama watu walitokana na Adam na Hawa, je viumbe wengine walitokana na nani?

    Hapa napo Waafrika wameshindwa kabisa kujiongeza kabisa ili kufahamu ukweli wa chanzo au asili ya MTU. HILI swali jibu lake huwa ni simple sana kama watu,kuku,miti,samaki,mbwa,simba,nk wapo na kila mmoja ana maajabu yake inamaana kuna nguvu iliyosababisha wawepo ambayo ni MUNGU. Tatizo watu...
  5. JamiiForums Tanzania Waislamu wanaamini Yesu wao atakuja kuhukumu binadamu, je atafanya hivyo kama nani na mamlaka yapi

    Huyu Yesu wa waislamu huwa wanasema alikua mtu wa kawaida tu bila uungu wowote na kwamba ni nabii, hao hao kwenye kitabu chao wanasema Yesu wao huyo atakuja kuhukumu binadamu, kama tujuavyo dunia ni kubwa ina mabilioni ya watu, yaani nabii mmoja atahukumu vipi hawa mabilioni ya watu au hata...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanadamu ni nani?

    Hakuna jambo lililoumiza akili za Watu kwa miaka mingi kama Mada hii. Kwa karne nyingi mwanadamu amekuwa akihangaika sana kutaka kufahamu yeye ni nani. Hata hivyo kumekuwa na majibu tofauti yanayoelekeana, na leo hii nimeamua kukufahamisha. Nitaenda kukufundisha mwanadamu ni nani kwa kutumia...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi ni nani aligundua kuwa kumbi kumbi wanaliwa..

    Hizi njaa hizi!!! Etii hawa kumbi kumbi wanaoruka saa hivi hapa ndio jamii moja na tunaokula vijijini mle ambao hadi mvua iwe kuubwa ndiowanatoka? Hawa wa mjini hadi kwenye balbu za umeme usiku wanarukia rukia je nao wanaliwa?
  8. JamiiForums Tanzania Money Penny ana bonge la wowowo, ivi mume wake nani huyu mama?

    Kuna mahali nimekuta mtu ameniandika hivi Like why? Mmeniona wapi? Wowowo gani tena? Nyiee me mke wa mtu msiniandike andike plz, Wowowo kwiyoo?
  9. JamiiForums Tanzania Wapi nitapa huduma ya usafirisha mizigo kutoka South Africa to Tz

    Naomba mawasiliano nahitaji mzigo kutoka South Africa kuja Dar,nani anielekeze wapi nitapa huduma hii.
  10. JamiiForums Tanzania Hawa waganga nani anawapa namba zetu za simu?

    Naamini wahanga wa sms za kugangwa mnazipata. Hawa waganga wa kienyeji nani anawapa namba za simu maana wanahisi kila mtu ni muumini wao wanatuma sms kila wakihisi umepata mshahara
  11. X

    JamiiForums Tanzania Hivi nyinyi wadada mnaopost picha mkiwa viwanja mnakula bata na mitoko ya gharama hizo picha huwa mnapigwa na akina nani?

    Tukizungumzia hasa mitoko ya dating. Inafahamika wengi wenu huwa mnapigwa foto na washikaji zenu ila cha ajabu huwa hamuwapost, mnajipost wenyewe tu. Jiulize kwa nini mwanamke hampost mwanaume wake hata kama kuna picha ya pamoja walipiga wakiwa dating? Hapa ndio ujue wanawake ni matapeli...
  12. JamiiForums Tanzania Huyu ni mchezaji wa zamani, je ni nani?

    Lete majibu, huyu mwanasoka ni nani?
  13. JamiiForums Tanzania Kosa lilikuwa la nani hapa?

    Siku moja baada ya kutoka kibaruani, kuna mtu aliniita Bar ya hapo jirani na ofisini kwetu nikaenda hapo tukawa tumekaa nikaagiza chakula nikawa nakula, kuna ndugu yangu akaniambia anakuja kwahiyo nikamwambia apitie hapo kama vipi tuondoke wote, sasa mimi nikawa napiga stori na huyo mbaba...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu (BoT) Arusha nani anailinda hii taasisi inayoitwa IVOJ inayotoa mikopo maeneo ya Kilombero!

    Kuna taasisi ipo pale Kilombero jijini Arusha jengo la Summit Centre inaitwa IVOJ inatoa mikopo. Taasisi tajwa ni zaidi ya kausha damu, riba ni kubwa sana, ukichukua Milioni moja unarudisha zaidi ya Milioni moja na laki 8. Mbaya zaidi na kinachodhalilisha wamekusanya kadi za benki za hao wateja...
  15. JamiiForums Tanzania Kati ya mwanamke na mwanaume, nani huathirika zaidi ikitokea ndoa imevunjika?

    Kati ya mwanaume na mwanamke, nani hupitia maisha ya tabu zaidi ndoa inapovunjika? tukitazama hali halisi ya maisha ya Watanzania, ukweli unauma: wanawake wengi wanakosa uhuru wa kiuchumi! Mwanamke wa Kitanzania analelewa kuamini kuwa mwanaume ndiye "mkombozi wake" kifedha. Matokeo yake...
  16. JamiiForums Tanzania Haji Manara nani kakudanganya kuwa Karia kusema Yanga SC "wakaendelee na Sinema zao" ni Kudhalilishwa au wana Filamu nchini / duniani wametukanwa?

    Kwa tuliosoma vyema Lugha na Mbinu za Lugha kwa hakika tumekushangaa sana kwa jinsi Haji Manara ulivyoishupalia hii Kauli ya Rais wa TFF Wallace Karia aliposema kuwa Yanga SC wakaendelee na Sinema zao kama wamechoka Kucheza Mpira. Na najua wapo wana Yanga SC Wapumbavu nao watakuwa wamekuunga...
  17. JamiiForums Tanzania Uchumba wa zamani nani anaukumbuka? Wa miaka ya 80 mpaka 2000?

    Sis: " Mdogowangu, zamani sisi tukiwa kwenye uchumba, kuanzjq miaka ya 80 mwisho waliishia mwaka 2010. Wanaume walikuwa wana upendo sana, walikuwa wanahudumia wachumba zao wakike au girlfriend zao sana Tulikuwa tunapewa hela jaman, saluni, wengine mapaka magari, na nyumba unaonyeshwa hapa ndio...
  18. JamiiForums Tanzania Swali kwa Waziri wa Katiba na Sheria: Nani amechakachua ibara ya 3(1) ya Katiba ya Kiswahili ya Tanzania ya 1977?

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro Mheshimiwa Waziri, Nimeshangazwa na ombi la baadhi ya makuhani kwa Rais Samia wakitaka awape nafasi za ubunge wa kuteuliwa kutokana na kofia zao za kidini. Nataka kulipinga ombi hili kwa kutumia hoja inayosindikizwa na ushahidi usiokanushika...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Kama Magufuli alikuwa dikteta, je nyie ni nani?

    Naomba kuuliza swali moja. Kelele tulizipiga sana kuwa Magufuli hayati ni dikteta na hakuwa anafuata sheria. Je, CCM ya sasa na ile ya hayati ina tofauti gani? Naomba tusitoe mapovu bali tujadili kwa hoja
  20. H

    JamiiForums Tanzania Kati ya Yesu/Muhamad na mababu, mabibi au wazazi wa Waafrika nani zaidi na wanaostahili kuabudiwa?

    Habari, Nia aibu kuona leo hii Waafrika wanawakana MABABU /MABIBI zao kwa kigezo cha yesu wa biblia na muhamad wa biblia wakati walioanzisha biblia na quruan bado wanaenzi tamaduni zao kwa kuwaenzi na kuwaabudu yesu/adam na muhamadi. Ebu WAAFRIKA jitafakarini kwa akili zakulishwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…