Namungo Football Club is a Tanzanian football club based in Lindi, Tanzania. The club currently plays in the Tanzanian Premier League, the highest league in the Tanzanian football league system.
Assalamu Alaykum.
Kheri ya EID EL FITR wana jf wote leo itachezwa mechi kali kati ya NAMUNGO FC watakaoikaribisha SIMBA SC katika uwanja wa ILULU mkoani LINDI majira ya 10:00 jioni.
Kwa masimulizi mubashara ya mtanange huu wa kukata na shoka baki katika uzi huu.
EID MUBARAK...
Kwa aina ya Complacency iliyoko Yanga SC kwa sasa endapo tu Namungo FC wataitumia vyema Kwanza kwa Kuwahesabia Yanga SC, kucheza kwa Nidhamu na Mikakati, wakiacha Utoto na Upuuzi ambao Wachezaji wengi wakicheza na Vilabu vya Simba na Yanga hua wanao, wakicheza Kitimu, Wakijiamini na Kupambana...
TFF tambueni kuwa wakati nyie mkijifanya kuwa mna Akili tambueni kuwa kuna Watanzania wenye Akili kuwazidi halafu ni Wajanja kuliko nyie.
Kwahiyo Matajiri wa Yanga SC wamewashawishi kwa kila namna huku wakiwapa chochote kitu ili muwapangie Mechi kabla ya kukutana na Simba SC ili Kocha wao Mkuu...
Mara nyingi mpira ni mchezo wa wazi Sana Kama timu yako ni mbovu basi ni mbovu tu usitafute kichaka cha kufichia madhaifu yako, leo tena Coastal Union imelambishwa mchanga na namungo goli 3 kwa 1, walipofungwa na yanga wakasema wamehujumiwa sasa na leo wamehujumiwa?
Wameshindwa kurekebisha...
Leo majira ya saa mbili na robo usiku kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Simba Vs Namungo katika nusu fainali ya pili ya Mapinduzi Cup. Tujumuike wote hapa muda ukifika
nimeita kinyaa kwa sababu ya maamuzi yenye kinyaa.
Bila aibu...refa anaamua penati kabisa hata akili ya mtoto mdogo inakataa. Sidhani kama ni hakuona ukweli wa namna beki alivyocheza....refa hakua mbali na tukio... Hata kama refa alisubiria tukio hilo si kwa kwa uwazi ule.
Azam Tv wamewekeza...
Mimi nishaweka sawa mkeka wangu mnyama Kama kawaida yake ataendelea alipoishia penalt ya 4 leo inapatikana ikishindikana kuna mtu anakula umeme tunashindaa bila jasho, ivyo vitu ndo mwokozi wetu kwa sasa mtatusameh kwakweli tunapozidiwa uwa tunakula mpaka Majani🤣🤣🤣🤣
Wengine kwa Mpira wenu Mbovu na Matokeo mabaya sasa tumeshakonda na tukiona Soka zuri, la Kitabuni, linalovutia la Yanga SC na Ushindi wao mfululizo ndiyo Hasira zinatupanda na Machungu kutuzidia Mioyoni na Rohoni.
Wachezaji wa Simba SC ukomo Wetu wa Kuwavumilia umeshafika Kikomo na leo Ole...
Ikumbukwe hadi sasa TFF (Tanzania) tuna points 27.5 huko Caf zililizowezesha nchi kuingiza teams 4 yaani simba ana 24, namungo 2.5, utopwenga 1
Simba ni ya 15 kwa sasa ,namungo ni ya 60 hivyo biashara kiingia makundi atalamba points zake 2.5 na kumfikia namungo kwenya nafsi ya 60 huku mabingwa...
Katika hali isiyo ya kawaida, kuna tukio linaonyesha mwamuzi akiungana na benchi la ufundi la Namungo kushangilia goli ambalo Steve Nzigamasabo wa Namungo aliitanguliza timu yake mbele. Bila shaka ni mwamuzi wa akiba (fourth official), na nadhani ni suala la kibinadamu tu, alijisahau na...
Ligi kuu Tanzania bara inaendelea leo kwenye mchezo ambao Namungo ya Lindi inaikaribisha Yanga Sc kutoka viunga Jangwani na Twiga. Mchezo huu unachezwa katika uwanja wa Majaliwa ulio mkoani Lindi. Magoli yote ya pande mbili bado yamenuna.
=======
00' Mwamuzi apuliza kipenga kuashiria mwanzo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.