nampenda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Ana mpenzi wake, ila na mimi nampenda sana. Nifanyeje?

    Jamani yaani kila ninapomuona huyu mdada, nachanganyikiwa sana. I really love her, sitanii ila nilipomtupia maneno matamu akaniambia ana jamaa yake sasa mimi SIKUBALI nataka kumpindua jamaa. What can i do? Nipeni mbinu kama huna pliz nenda threads zingine.
Back
Top Bottom