namibia

Namibia ( (listen), ), officially the Republic of Namibia, is a country in Southern Africa. Its western border is the Atlantic Ocean; it shares land borders with Zambia and Angola to the north, Botswana to the east and South Africa to the south and east. Although it does not border Zimbabwe, less than 200 metres of the Zambezi River separates the two countries. Namibia gained independence from South Africa on 21 March 1990, following the Namibian War of Independence. Its capital and largest city is Windhoek, and it is a member state of the United Nations (UN), the Southern African Development Community (SADC), the African Union (AU), and the Commonwealth of Nations.
Namibia, the driest country in Sub-Saharan Africa, was inhabited since early times by the San, Damara and Nama people. Around the 14th century, immigrating Bantu peoples arrived as part of the Bantu expansion. Since then, the Bantu groups, the largest being the Ovambo, have dominated the population of the country; since the late 19th century, they have constituted a majority.
In 1878, the Cape of Good Hope, then a British colony, annexed the port of Walvis Bay and the offshore Penguin Islands; these became an integral part of the new Union of South Africa at its creation in 1910. In 1884 the German Empire established rule over most of the territory, forming a colony known as German South West Africa. It developed farming and infrastructure. Between 1904 and 1908 it perpetrated a genocide against the Herero and Nama people. German rule ended in 1915 with a defeat by South African forces. In 1920, after the end of World War I, the League of Nations mandated the administration of the colony to South Africa. It imposed its laws, including racial classifications and rules. From 1948, with the National Party elected to power, South Africa applied apartheid also to what was then known as South West Africa.
In the later 20th century, uprisings and demands for political representation by native African political activists seeking independence resulted in the UN assuming direct responsibility over the territory in 1966, but South Africa maintained de facto rule. In 1973 the UN recognised the South West Africa People's Organisation (SWAPO) as the official representative of the Namibian people; the party is dominated by the Aawambo, who are a large plurality in the territory. Following continued guerrilla warfare, South Africa installed an interim administration in Namibia in 1985. Namibia obtained full independence from South Africa in 1990. However, Walvis Bay and the Penguin Islands remained under South African control until 1994.
Namibia has a population of 2.6 million people and a stable multi-party parliamentary democracy. Agriculture, herding, tourism and the mining industry – including mining for gem diamonds, uranium, gold, silver, and base metals – form the basis of its economy. The large, arid Namib Desert has resulted in Namibia being overall one of the least densely populated countries in the world.

View More On Wikipedia.org
  1. Namibia yapunguza kodi ya mafuta kwa 50%

    Serikali ya Namibia kupitia Waziri wa Nishati na Madini, Modestus Amutse wamepunguza kodi ya Mafuta kwa asilimia 50 ili Makampuni yasipandishe bei ambapo itaumiza Wananchi, Amutse ametoa tangazo hilo tangu Machi 27 ambapo unafuu wa Kodi utadumu kwa miezi mitatu wakati ambao wanasikilizia hali ya...
  2. IShowSpeed asitisha Tour yake Nchini Namibia

    Nyota wa YouTube kutoka Marekani, IShowSpeed, amefutia ratiba ya ziara yake nchini Namibia kama sehemu ya safari yake ya “Speed Does Africa”, baada ya mamlaka za anga kushindwa kutoa vibali vinavyohitajika kwa wakati, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Namibia. Ziara iliyopangwa kufanyika...
  3. Hivi yule mama wa Namibia naye alituma salamu za pongezi?

    Yaani namaanisha kama mwanamke mwenzake alituma Salam za pongezi . Au ndio ile wanawake hawapendani?
  4. Namibia yatoa somo la nidhamu ya fedha. Je, wamejiandaa na changamoto za kuathiri akiba ya fedha za kigeni?

    Namibia imekuwa mfano kwa jinsi nchi inavyoweza kuonyesha nidhamu ya kifedha kwa vitendo. Hatua ya hivi karibuni ya serikali ya Namibia kulipa deni la Eurobond lenye thamani ya dola milioni 750 imeweka rekodi kama ulipaji mkubwa zaidi wa deni katika historia ya taifa hilo. Kwa hatua hiyo...
  5. Msaada Mtanzania Anayeishi Namibia.

    Habari za wakati huu wanajukwaa? Naomba kupata mawasiliano ya Mtanzania anayeishi nchini Namibia,Kuna jambo la muhimu naomba kumshirikisha ili niweze kupata ushauri stahiki. Kama yupo yeyote hapa,tafadhali naomba tuwasiliane kwa Direct Message (DM). Naomba kuwakilisha.
  6. Waziri Kombo ashiriki Maadhimisho ya Miaka 35 ya Uhuru wa Namibia, Atoa Wito wa Umoja kwa Maendeleo ya Afrika

    Waziri Kombo ashiriki Maadhimisho ya Miaka 35 ya Uhuru wa Namibia, Atoa Wito wa Umoja kwa Maendeleo ya Afrika Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki katika Maadhimisho ya Miaka 35 ya Uhuru wa Namibia, ambapo ametoa wito kwa...
  7. L

    Ushirikiano wa masuala ya bahari kati ya Namibia na China umepata maendeleo makubwa

    China ni nchi kubwa inayoendelea ambayo imekuwa na ushirikiano wa karibu na nchi nyingine zinazoendelea, zikiwemo za Afrika. Ushirikiano huu unajumuisha sekta mbalimbali ikiwemo elimu, uchumi na biashara, utamaduni, ujenzi wa miradi mikubwa ya miundombinu, na pia mabadilishano ya watu na watu...
  8. Dar ilipaswa kuwa jiji linalotoa Wabunge vichwa sana ila hali ni tofauti na Majiji mengine ilimwenguni

    Majiji makuu mengi hasa Africa huwa yana Wabunge moto sana na hii ni kwa sababu huwa ndio kitovu cha upinzani na pia ndio kumejaa Wasomi na watu waelewa wenye information zote. Ila sasa njoo Dar ambako Jiji lina Wabunge Vilaza sana kuzidi hata huko mikoani, mtu kama Talimba eti ni Mbunge...
  9. Namibia: Waziri wa kilimo afukuzwa kazi kwa tuhuma za ubakaji msichana wa miaka 16

    Waziri wa Kilimo wa Namibia, Mac-Albert Hengari, amefukuzwa kazi baada ya kutuhumiwa kumbaka msichana mwenye umri wa miaka 16 miaka mitano iliyopita. Kwa mujibu wa polisi, Hengari alikamatwa siku ya Jumamosi baada ya kudaiwa kujaribu kumhonga mlalamikaji, ambaye sasa ana umri wa miaka 21, ili...
  10. Marais A/Kusini, Namibia, Zambia Botswana hawakuhudhuria mazishi ya Papa Vatican. Tuna la kujifunza?

    1. Marais kadhaa wa wanachama wa SADC (Botswana, Zambia, Namibia , Afrika Kusini) wapo bize nchini mwao wakipambania wananchi wao wawe na maisha Bora. 2. Badala ya kwenda kuteketeza mamilioni kwa safari ambazo hata Balozi zao waliopo Rome wangeweza kuwakilisha.
  11. Namibia yawa taifa la kwanza Afrika kuwa na Serikali ya mfumo jike

    Rais wa Namibia, makamu wa Rais na mawaziri wa wizara nyeti zikiwemo za fedha, mambo ya nje, mambo ya ndani, usalama na uhamiaji wote ni wanawake!
  12. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah mara

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah mara baada ya kuhutubia hafla ya uapisho iliyofanyika katika Ikulu ya nchi hiyo Windhoek tarehe 21 Machi, 2025. Mhe. Rais Nandi-Ndaitwah ni Rais wa...
  13. B

    Interview with President Joseph Kabila Kabange in Namibia

    March 2025 Windhoek, Namibia EXCLUSIVE MAHOJIANO : NA JOSEPH KABILA RAIS MSTAAFU WA CONGO DR https://m.youtube.com/watch?v=kX6AYffI1Hc Kama Mwandishi nataka kufahamu Baada ya miaka 18 ya kutumika kama rais wa DR Congo na baadaye kustaafu, mh. Joseph Kabila umepotea sana je nini kinaendelea...
  14. Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi ashiriki mazishi ya Dkt. Sam Nujoma

    Picha mbalimbali zikimuonesha Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akishiriki shughuli ya mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Namibia, Baba wa Taifa hilo na kiongozi wa mapambano ya kupata uhuru wa nchi hiyo, Dkt. Sam Shafiishuna...
  15. L

    Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi Aongoza Ujumbe wa CCM katika mazishi ya Baba wa Taifa la Namibia

    Ndugu zangu Watanzania, CCM inaendelea kuonyesha ni kwanini ni chama kiongozi Barani Afrika, inaendelea kuonyesha ni kwanini imeendelea kuwa chama cha mfano na cha kuigwa Barani Afrika, inaendelea kuonyesha ni kwanini inapendwa na kukubalika ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, inaendelea...
  16. TANZIA Rais wa kwanza wa Namibia Sam Nujoma amefariki akiwa na umri wa miaka 95

    Hatimae miongoni mwa true freedom fighters ameitwa kupumzika usiku wa kuamkia tarehe 09/02/2025 akiwa na umri wa miaka 95. Tusalimie Nyerere, Mugabe, Mandela na wengine, waambie Waongee na Kaguta Museveni aachie Vijana Hili hapa tangazo la Tanzia = Tangazo la Kifo cha Rais wa Kwanza wa...
  17. J

    Kampuni ya Telecome nchini Namibia imeshambuliwa na wadukuzi

    Kampuni ya simu ya Telecom inayomilikiwa na serikali ya Namibia imeshambuliwa na wadukuzi na kusababisha uvujaji wa taarifa nyeti za wateja. Vyombo vya habari vya ndani vimeripoti kuwa wadukuzi waliiba karibu taarifa 500,000 ikiwa ni pamoja na taarifa binafsi na za kifedha za wizara, maafisa...
  18. Wapinzani wa nchini Namibia walalamika juu ya wizi wa kura kwenye uchaguzi wa Namibia. Wasema ushindi wa SWAPO ni haramu

    Dkt. Panduleni Itula, mgombea urais wa chama cha Independent Patriots for Change (IPC), ametangaza kuwa chama chake hakitakubali matokeo ya uchaguzi mkuu unaoendelea, akidai kuwa kuna kasoro kubwa katika mchakato huo. Akihutubia mkutano na waandishi wa habari mchana huu, Dkt. Itula alieleza...
  19. Rais mpya wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah aliishi kwa miaka 6 Dar es Salaam miaka ya 1980’s. Mwalimu Nyerere alikuwa akimuita “Mama wa SWAPO”

    Rais wa kwanza mwanamke Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah Namibia imepata Rais wa kwanza mwanamke, hatua kubwa katika historia ya taifa hilo. Safari yake ya kuwa mwanamke wa kwanza katika mambo ya kisiasa haijaanzia hapo alipo. Mwaka 2017 alichaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa SWAPO, akiwa mwanamke...
  20. Rais Samia ampongeza Rais Mteule wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah, kufuatia ushindi wake wa kihistoria

    Rais Samia ametoa pongezi za dhati kwa Rais Mteule wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah, kufuatia ushindi wake wa kihistoria katika uchaguzi mkuu wa Namibia wa mwaka 2024. Kupitia ujumbe wake, Rais Samia amesema, "Kwa niaba ya Serikali na Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, natuma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…