naibu waziri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Katimba: Kamilisheni Miradi kwa Wakati Kuharakisha Tija kwa Wananchi

    MHE. KATIMBA - KAMILISHENI MIRADI KWA WAKATI KUHARAKISHA TIJA KWA WANANCHI Naibu Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba (Mb) amemtaka Mkandarasi na Mtaalamu Mshauri anayetekeleza Mkataba wa Ujenzi wa miundombinu inayoratibiwa na mradi wa TACTIC wilayani Kahama Mkoani Shinyanga...
  2. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kilimanjaro: Naibu Waziri Ummy Nderiananga apiga kura Kiriche katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mbunge wa Viti Maalum ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga ameungana na wananchi wa Kitongoji cha Kiriche kupiga kura mapema leo Novemba 27, 2024 kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa katika Kata ya Makuyuni, Kitongoji cha Kiriche...
  3. JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyewahi kuwa Naibu Waziri Mambo ya Ndani, Jaji wa Mahakama Kuu na Mbunge wa Ifakara, Edward Anthony Mwesimo afariki dunia

    Moja kati ya manguli ambaye amehudumu katika mihimili yote ya dola, amepumzika. Ni Mh. Jaji Mstaafu Edward Anthony Mwesiumo. Alikuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, katika nafasi hiyo aliwahi "kukwaruzana" na Mwalimu Nyerere baada ya kukataa "maelekezo" kuhusu jalada nyeti lililokuwa mbele...
  4. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga: Kiasi cha umeme kimeongezeka katika gridi ya Taifa

    Mbona kama tunaendelea kupangwa sana tofauti na uhalisia. Ukiangalia umeme bado katika baadhi ya maeneo mengi sana umeme umekuwa wakukatika sana. Mfano mimi ninapokaa umeme siku mbili mfululizo unakatika asubhi unarudi jioni kama jana umekatika zaidi ya mara 4 ====================== Naibu...
  5. JamiiForums Tanzania Wazabuni na wakandarasi mnayoidai serikali mtasubiri sana, Naibu Waziri Fedha asema wanahakiki wakipata pesa watalipa

    Tatizo la Kutokulipwa wakandarasi na wazabuni nchini limekuwa sugu nchini ambapo leo bungeni wabunge wameihoji serikali ni lini watawalipa watoa huduma hao wanaoidai serikali kwa kuwa kitendo cha kutokulipa kuna sababisha kudora uchumi Mbunge Viti Maalum Asia Alamga Ccm, yeye alihoji ni lini...
  6. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Katimba: Ujenzi wa Soko la Mwanga na Katonga Utaimarisha Mazingira ya Biashara Kigoma

    NAIBU WAZIRI KATIMBA: UJENZI WA SOKO LA MWANGA NA KATONGA UTAIMARISHA MAZINGIRA YA BIASHARA KIGOMA Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawaka za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mhe. Zainabu Katimba amesema ujenzi wa Soko la Kisasa la Mwanga na Soko la Samaki la Katonga mkoani Kigoma utaleta tija...
  7. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri: Mahitaji ya Maji Dodoma ni Lita Milioni 149, uzalishaji ni Lita Milioni 79

    Naibu Waziri wa Wizaya ya Maji, Mhandisi Kundo Mathew amesema moja ya changamoto ya uhaba wa maji iliyopo Jijini Dodoma ni kuwa uhitaji wa huduma hiyo ni Lita Milioni 149 kwa siku wakati uzalishaji ni Lita Milioni 79 sawa na Asilimia 52. Amesema Serikali ina mpango wa kuongeza visima maeneo...
  8. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga: Vijiji vyote Newala vimefikiwa na umeme

    Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Vijiji vyote 76 vya Jimbo la ya Newala Vijijini Mkoa wa Mtwara vimefikiwa na huduma ya umeme kwa umbali wa Kilometa 1. Kapinga ameyasema hayo leo Oktoba 29, 2024 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mhe. Maimuna Mtanda Mbunge wa Newala...
  9. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kihenzile: Serikali Inalenga Kuboresha Miundombinu Yote Nchini

    NAIBU WAZIRI KIHENZILE: SERIKALI INALENGA KUBORESHA MIUNDOMBINU YOTE NCHINI Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile, amesema lengo la Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, ni kuboresha miundombinu yote nchini, ikiwemo ya uchukuzi, ili kuongeza ufanisi katika...
  10. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kigahe: Wajasiriamali Wapewe Elimu ya Kurasimisha Biashara

    NAIBU WAZIRI KIGAHE: WAJASIRIAMALI WAPEWE ELIMU YA KURASIMISHA BIASHARA Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe amezitaka mamlaka za Serikali zinazosimamia sekta ya biashara nchini kutoa huduma bora na kuwalea wajasiriamali ili waweze kufanya uzalishaji wenye tija na kuongeza...
  11. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri, Mwanaidi Khamis: Tuondokane na matumizi ya nishati isiyo safi kulinda afya zetu

    Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mwanaidi Khamis ametoa rai kwa jamii kuondokana na matumizi ya nishati zisizo safi ili kulinda afya zao. Khamis ameyasema hayo Jijini Dodoma wakati akihamasisha wananchi kuachana na matumizi ya nishati isiyo safi na kuanza...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo hana msaada kwa Nay Wa Mitego?

    Nimefuatilia sakata la Ney wa Mitego na BASATA toka limeanza sijaona kabisa Naibu Waziri akiwa na msada wowote kwa msanii husika. Nini shida, sheria gani aliyovuja Ney kwa wimbo wake wake Nitasema?
  13. JamiiForums Tanzania Wiito kwa Godwin Mollel Naibu waziri wa Afya: Nenda Jimboni kwako watoto wanaugua magonjwa ya tumbo kisa kuuziwa maji yasiyo safi na Salama

    Katika jamii zetu, huduma za afya ni msingi wa maisha bora. Hata hivyo, tatizo la maji safi na salama linazidi kuwa changamoto kubwa kwa wakazi wa maeneo mengi, ikiwemo kijiji cha Karansi, Kandashe, Lekrumuni, na Ndinyika. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Siha, anapaswa...
  14. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu Doto Biteko acha unafiki wewe unaacha lini siasa?

    Tanzania na Afrika kwa ujumla tumekuwa na tabia na tatizo sugu la viongozi wetu kuwa na tabia ya unafiki, ubinafsi, uroho wa madaraka," what they preach is contrary what they are doing" Watanzania tuamka sasa tabia za namna hii tuwe tunazikemea hadhalani, hawezekani kiongozi yeye kaacha taaluma...
  15. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Katimba: Trilioni 11.5 Zimetumika Miradi ya Maendeleo Kigoma

    NAIBU WAZIRI KATIMBA: TRILIONI 11.5 ZIMETUMIKA MIRADI YA MAENDELEO KIGOMA Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema takribani sh. Trilioni 11.5 zimetumika katika ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayoendelea kuunufaisha na kuufungua kiuchumi Mkoa wa Kigoma ndani...
  16. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Katimba awaagiza Wakurugenzi na Waganga Wakuu kutekeleza maagizo ya Rais Samia

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amezitaka halmashauri nchini kufuata maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kutenga wodi maalum ya watoto wachanga na wanaozaliwa kabla ya wakati(njiti) ili kupunguza vifo vya watoto...
  17. JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko: Tuvumiliane na kuheshimiana kama watanzania

    Mamia ya Wakatoliki Wamiminika Uwanja wa Uhuru Kongamano la Ekaristi Takatifu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewaasa Watanzania kuishi kwa kuvumiliana, kuheshimiana na kupendana kama ilivyoagizwa na vitabu vya Mungu. Dkt. Biteko amesema hayo leo Septemba 15, 2024...
  18. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Dkt. Biteko akutana na Balozi Mpya wa Uingereza Nchini

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko Septemba 6, 2024 jijini Dodoma amekutana na kufanya mazungumzo na balozi mpya wa Uingereza nchini. Marianne Young. Lengo la mazungumzo hayo likiwa ni kujitambulisha kwa balozi huyo pamoja na kujadili masuala ya kipaumbele ya ushirikiano...
  19. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Katimba: Serikali Itaendelea Kutenga Fedha ya Kukarabati Barabara Korofi Nchini

    NAIBU WAZIRI KATIMBA: SERIKALI ITAENDELEA KUTENGA FEDHA YA KUKARABATI BARABARA KOROFI NCHINI Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Zainab Katimba amesema Serikali itaendelea kutenga fedha ya ukarabati wa barabara korofi nchini zilizoathiriwa na Mvua za El - Nino...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Kuna Mbwa Mpumbavu anabwekea maendeleo yetu

    Rais Samia alitoa kauli hiyo wakati alipo muomba Naibu waziri wa Sanaa na michezo maarufu kama Mwana Fa kuimba mashairi wakati akitaka kuanza kuongea na wana Zanzibar katika uzinduzi wa Suluhu Sports Club. katika sehemu aliyoimba Mwana FA ambaye ni Naibu Waziri wa Sanaa na Michezo alisema "mbwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…