nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtia nia nafasi ya Urais CHADEMA: Cha kwanza nikishinda Urais nitabadilisha mfumo wa talaka. Nitahakikisha talaka haimuumizi mwanaume!

    Wanaume mpo? Kuna huyu mgombea wa nafasi ya Urais huko CHADEMA, Romanus Mapunda amesema kuwa kama akishinda kuwa Rais atabadilisha mfumo wa kupeana talaka. Mapunda amesema kuwa atabadilisha mfumo wa talaka kwamba usimuumize mwanaume. Amesema kuwa mfumo wa uliopo wa kugawana 50/50 na mwanamke...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Waasi wa M23 watamani kufika Kinishasa, Je ipi nafasi ya Tanzania kuinusuru DRC Congo isihanguke

    Waasi wa 23 wanasema lengo lao ni kufika Kinshasa na kuiangusha serikali ya Tshisheked, je wataweza. JE IPI nafasi ya Tanzania km nchi yenye nguvu ya kijeshi afrika mashariki na rafiki wa kiuchumi na Congo.
  3. JamiiForums Tanzania JWTZ, tulindieni heshima yetu yalindeni maslahi yetu DRC-Congo

    Afande G. Mkunda Ni muda wako wa kulinda historia na heshima ya muda mrefu iliyowekwa na watangulizi wako Yanayoendelea DRC hatuwezi kuyaacha yaendelee, Sisi kama MABABU wa ulinzi na ukombozi katika ukanda wa east na south Africa ni fedheha kuona mgogoro huu unaendelea na Sisi tumekaa tuu bila...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chawa wanasema 2025 wanaenda na mama, ingawa hawajui wanaenda wapi

    Wakishapewa mikopo na bahasha wanaongea tu none stop. Kila mtanzania anaepata nafasi ya ulaji anabadilika moja kwa moja. Kila mmoja anaangalia tumbo lake hata kama litakost wengine. Pesa ya kuwapeleka wasanii dodoma ipo ila kuweka gloves za wazazi kunifungulia hakuna. Chawa wamekua kirusi...
  5. JamiiForums Tanzania RC wa DSM Chalamila ajiuzuru haraka sana hio nafasi ya ukuu wa mkoa wa DSM

    Ni aibu ufafanuzi wake kuhusu clip inamfunua akikebehi maskini hasa wagonjwa wasio na uwezo kiuchumi kujigharamia , lugha yake ya mwili katika kujitetea hauji katika ukweli awamu hii Chalamila amekamatika tena ajiuzuru ama afukuzwe haraka sana amevimbiwa,. Huyu mtu pumbavu wa kutupwa...
  6. JamiiForums Tanzania Maamuzi ya kiume na nafasi ya mwanaume kwa sasa ndani ya familia zetu

    Hello jamiiforum Ni jumapili ya mwisho wa mwezi wa Kwanza mwaka 2025. Kumekucha kupambana,siyo mapambano ya kazi za kimwili,pengine ni mapambano ya kuridhisha nafsi na roho zetu. Huko makanisani kumejaa leo,wapo wanaotafuta wenza,wapo wanaotaka kuonana na mchungaji ili kunusuru ndoa zao,wapo...
  7. JamiiForums Tanzania Kinana mwenye miaka 76 kastaafu na Wassira mwenye miaka 80 kachukua nafasi

    Ukistaajabu ya Musa hakika utayaona ya Filauni! Kinana (76Yrs) kampisha Mzee Wassira (80Yrs) kwenye nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM.
  8. JamiiForums Tanzania John heche anatosha kuwa raisi lissu mpe nafasi huyu mtu

    Huyu ni makamu wako mpe nafasi awe mgombea wako wa uraisi halafu wewe tulia kunywa juice ya embe naamini ccm inaenda kuanguka kupitia huyu mwamba sijaona Cha kuizuia chadema kama wakimsimamisha John heche
  9. JamiiForums Tanzania Kumsimamisha Mh. Samia kugombea nafasi ya urais kutapelekea CCM kushindwa uchaguzi

    CCM wakimsimamisha mh Samia apeperushe bendera ya CCM kwa nafasi ya urais kutapelekea CCM kushindwa katika uchaguzi huo na wapinzani watachukua nchi kirahisi maana mh watanzania bara wengi hatumuelewi na mbaya zaidi hata wana CCM wenzake hawamuelewi ndio maana wengi wameshaanza kumkataa mapema...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu anamwogopa nani kugombea nafasi ya Urais kupitia chama?

    Kitendo cha kujipendekezea jina lake lipite ni wazi samia kuna mtu au watu anawaogopa. Itakuwa makamba? Au akina nani wengine? Luhaga Mpina hapana huyu hakuwa na issues kwenye UraHis. Watu wanajiuliza woga wake umetokana na nini? Na wanaenda mbali zaidi kuona kuwa inaonekana hajiamini na kuna...
  11. JamiiForums Tanzania Watumishi mnanaotaka kugombea nafasi za kisiasa zingatieni taratibu za kiutumishi”

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka watumishi wa umma wanaohudumu chini ya ofisi yake kutojiusisha na shughuli za siasa kama ambavyo Sheria, Kanuni na Taratibu za utumishi wa umma zinavyoelekeza. Waziri Mchengerwa ametoa...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watumishi mnanaotaka kugombea nafasi za kisiasa zingatieni taratibu za kiutumishi - Mhe. Mchengerwa

    WAZIRI MCHENGERWA: Watumishi mnanaotaka kugombea nafasi za kisiasa zingatieni taratibu za kiutumishi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka watumishi wa umma wanaohudumu chini ya ofisi yake kutojiusisha na shughuli za siasa kama...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atashinda kwa 95%, Samia atakuwa nafasi ya nne.

    Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, na Tundu lissu akawa mgombea urais, Lissu atashinda kwa 95%. Bitozo atashika nafasi ya nne. Ushindi wa Urais wa Tundu Lissu ni UHAKIKA kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atachukua nafasi ya kwanza kwa 95%. Bitozo ataambulia 1%. Watu wengi mno...
  14. JamiiForums Tanzania Washabiki wa Man Utd, ipi inafaa zaidi Kwa nafasi ya LWB?, Kumrudisha Alvaro kutoka Benfica (18mln) au anunulie tu Dorgu (40mln)?

    https://youtu.be/23QtRyNYoyY?si=NeqYAKxzKpR9T93K https://youtu.be/jG1nesE5JKM?si=h_STHh1C1f7sIBiM
  15. JamiiForums Tanzania NAFASI YA KAZI UALIMU.

    Wanahitajika walimu wa masomo yafuatayo; 1. BOOK-KEEPING/ ACCOUNTANCY na COMMERCE - ngazi ya shahada ( Awe amesoma ualimu au Course za uchumi na Account Lakini mahiri wa kufundisha 2. PHYSICS-MATHEMATICS awe amesomea ualimu au shahada ya Engineering na mwenye uwezo wa kufundisha masomo hayo...
  16. JamiiForums Tanzania Wana CCM wapewe nafasi ya kuwania kiti cha Urais kisha Kura zipigwe. Kile kilichofanyika ni dhulma

    Mpo Salama! Wapo watu walitaka na wanatamani kuwa sehemu ya watakaotumia Haki Yao ya kikatiba kuwania Tiketi ya Urais kwa Njia ya CCM. Hata kama Wana CCM hao ni wawili au Mmoja. Wanahaki ya kufanya hivyo. Watu wote waungwana, watu wote wenye AKILI, watu wote wenye kupenda haki, watu wote wenye...
  17. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya usafi wa mazingira

    Kazi ya kusafisha mazingira Huu ni Mradi maalum kwa ajili ya kampeni ya USAFI WA MAZINGIRA & AFYA YA JAMII Mshahara ni lak 3 kwa mwezi ukifikia lengo la kampuni Kazi inahitaji mtu mwenye bidii na kujituma 0718408733 hii namba ni Whatsapp tu usipige Nafasi hizi ni bure kabisa usikae nyumbani...
  18. JamiiForums Tanzania Timu iliyoshika nafasi ya tatu Ligi Kuu msimu uliopita ndiyo imebaki kimataifa

    Simba ndiyo timu pekee ya Tanzania iliyobaki kwenye mashindano ya CAF. Msimu uliopita Simba ilishika nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu ya Tanzania nyuma ya Yanga na Azam. Jee Simba inahujumiwa kwenye Ligi au kimataifa huwa inabahatisha tu?
  19. W

    JamiiForums Tanzania Wakati kocha wa Yanga anasingizia ligi ya Tanzania haina ushindani baada ya kutolewa makundi, Simba yupo Nafasi ya sita CAF Ranking,

    Orodha ya vilabu bora africa baada ya hatua ya makundi
  20. JamiiForums Tanzania Gabriel Geay achukua nafasi ya tatu Marekani leo

    Mwanariadha Gabriel Gerald Geay amefanikiwa kushika nafasi ya tatu katika mashindano ya Houston Half Marathon kwa kilomita 21 (21K) huko Texas, Marekani kwa muda wa dakika 59:18 muda wake bora na kwa taifa pia
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…