Kwa majina
Naitwa Deo Nicomedi
Ninaomba kwa mwenye connection katika ofisi za wakala wa vipimo (weight and measure Agency) au makampuni binafsi ya vipimo na viwango anisaidie wakuu nipate nafasi ya kujifunza kazi yoyote/ au kibarua nitashkuru sana
Nina Bach. In Industrial metrology&...
Tulia, spika wa Bunge la JMT, amekuwa mstari wa mbele katika kutetea na kulinda utekaji na mauaji ya wakosoaji.
Mara mbili, wabunge waliomba Bunge lijadili utekaji na mauaji ya wakosoaji, lakini Tulia, kama spika wa Bunge la JMT, alizizima hoja za wabunge hao, na kuzuia kabisa zisijadiliwe...
Wewe kama raia una wajibu wa kuhakikisha unadumisha uhuru,amani na umoja katika nafasi mbalimbali ili kuimarisha huduma za kijamii na kiuchumi.
Kama raia unatakiwa kudumisha uhuru,amani,umoja na kulinda rasilimali za nchi
Ikiwa raia hatalinda hatotekeleza wajibu huo basi anaweza kushtakiwa...
Tunafurahia ushenzi? Na hao mnaotaka wawe wastaarabu wakiuitikia wito wa kishenzi basi hakutokua na nafasi ya kuukaribisha ustaarabu tena.
Msitake wajivike ustaarabu ushenzini. Regardless ya kiwango cha ushenzi watakachokionesha kama muitikio wa ushenzi waliooneshwa..
UShenzi haufurahiwi...
Kuna jamaa angu kaniambia eti gaming board of Tanzania ishawatumia watu email na kuwapigia kuwa wamepata kazi?
Je humu jf kuna mdau yeyote aliyefanya oral ambae kapigiwa na hao jamaa? maana utaratibu wao wa recruitment unashangaza sana.
Habari tulizozipata zinaeleza kwamba kiongozi mmoja wa ngazi ya juu ilifikia mahali akasema waziwazi, kwamba yeye siku zote amejitahidi sana kuwa mcha Mungu, na asingeweza kuendelea kuwa sehemu ya uongozi ambao ulifikia hatua ya kuhalalisha kufanya maovu ya kiwango hiki kwa kudai ni kwa ajili ya...
Maisha yanabadilika kila kukicha na biashara ra mitandao zinabadilika pia, hii ni kutokana na watu kutafuta kilichobora zaidi. Kwa siku za hivi karibuni watu wamegundua kua kuunga bando kila siku kwaajili ya kuingia mtandaoni inakua haisaidii kama ambavyo ingemsaidia mtu mwenye wifi au fiber...
Naongea kwa experience ya Lowassa,Sumaye na Nyarandu.
Haya mambo ya kuwachukua watu wakati wa uchaguzi hapana Kama wanakuja wakae benchi kwanza hata nafasi ya kugombea nafasi yeyote wasipewe.
Kwanini kwa sababu baada ya uchaguzi uwa wanaanza kashifa za kijinga na kukigawa chama!! Na mwisho...
Job Title: Teacher
Subjects and Academic Qualifications:
Business Studies & History or Geography: Diploma or Bachelor Degree
Science/Information and Computer Studies & Physics or Mathematics: Diploma or Bachelor Degree
Textile Teacher: DSCT Level 3 (from Matron Training Centre)
Teaching...
MAPADA SOAP LTD
NAFASI: Mtu wa Mauzo na Masoko
IDADI: Nafasi moja (1)
MAHALI: Kitunda, Mzinga Block 19 – Dar es Salaam
MAPADA SOAP LTD inatangaza nafasi ya kazi kwa mtu mwenye uwezo wa kufanya kazi katika kitengo cha mauzo na masoko. Tunahitaji mtu mwenye bidii, ubunifu, na uelewa mzuri wa...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, ametoa agizo la kujazwa kwa nafasi zote zilizoachwa wazi na viongozi waliojiondoa kwenye chama hicho, ili kuimarisha uongozi na kuendeleza kampeni yao ya "No Reform, No Election".
Agizo hili limetolewa leo Alhamisi Mei 15 mjini Bariadi wakati wa mkutano wa...
Naomba tulioongelee hili swali, ikiwa we ndo admission officer pale muhimbil (MUHAS) imebaki nafasi Moja tu Kuna mwenye division one point three ya PCB na mwenye GPA ya 5.0 ya clinical medicine utamchagua nani kuingia kwenye kozi ya MD na taja sababu.
Uzi tayari
Nikiwa Rais wanafunzi wa form four waliopata div 4 na zero wataenda VETA kwa udhamini wa serikali, na watapata ujuzi ambao anagalau utawasaidia kwenye maisha yao
Vyuo vya veta vitaboreshwa na kuwa vya kisasa na maabara za veta zitaboreshwa maradufu ili wahitimu wakitoka wawe compentent
Rais Samia Suluhu Hassan ameiomba Wizara ya Mambo ya nje, Wizara ya Mambo ya Ndani na vyombo vya ulinzi na usalama kuchukua hatua za haraka kwa wanaotumia mitandao na teknolojia vibaya, akikemea pia wingi wa wanaharakati kutoka nje ya nchi wanaojaribu kuingilia mambo ya ndani.
Rais Samia...
Halmashauri Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) imemteua Benson Kigaila kuwa Makamu Mwenyekiti mpya wa chama hicho.
Kigaila ambaye alikuwa akiunda kundi la G55 lililoanzisha harakati na kwenda kinyume na uongozi wa sasa wa Chadema, ametangazwa leo kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya...
Ni wakati sasa jamiiforums ibadilishe muonekano wa app na kuongenza features ili kuendana na wakati ilikujiweka nafasi nzuri ya ushindani
Ili kuoata watumiaji wapya
Habari ndugu mfugaji! 👋
Tunatengeneza App ya kusaidia wafugaji kama wewe kufuatilia chakula cha kuku, chanjo, matumizi na kupata faida zaidi 💪🐓
Tunaomba tusaidie kutengeneza App bora kwa ajili yako kwa kujibu maswali kadhaa kwenye fomu hii 👇
📋 Bonyeza hii Link kujaza fomu ...
Shikamooni wakubwa zangu, habari za kazi pia vijana wenzangu. kwa jina naitwa meshack ni muhitimu wa chuo cha taifa cha usafirishaji Dar es Salaam. natafuta kibarua au kazi kabisa.
Elimu yangu ni degree ya usafirishaji na logistiki kwa ujumla naweza nikafanya kazi kama afisa usafirishaji yaani...