nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi kwa Aliyesoma Education

    Ajira kwa aliyesoma Education (kozi yoyote yenye education) nafasi 4. Eneo la Kazi, Prime School Dar es Salaam. sifa Awe mkazi wa Dar es Salaam. Elimu ya cheti, diploma au degree. Awe amehitimu kati ya mwaka 2024 au 2025. Jinsi ya kuomba: Andika ujumbe kwenda WhatsApp namba 0653 250 566...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Makalla: Watia nia nafasi za Udiwani ni zaidi ya 27,000 na Ubunge ni zaidi ya 10,000

    Amos Makalla alipoulizwa sababu za kupeleka mbele mchakato wa uteuzi ameeleza kuotokana na namba kubwa ya watu walioomba nafasi hizo ngazi ya udiwani na ubunge. Ameeleza kuwa waliotia nia udiwani ni zaidi ya 27,000 na Ubunge 10,000.
  3. JamiiForums Tanzania Watu wenye maono na utafiti wa kina kama Polepole wanafaa kutuongoza katika nafasi ya Rais

    Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Nilimsikiliza jana Polepole, ni wanaccm wachache sana wanaweza kuchambua mambo kama yeye, na nathubutu kusema kwa dhati kabisa, hata Rais Mama Samia hawezi na hatoweza kufanya hayo. Wala hawezi kuweka mdahalo na Polepole. Ningependa siku moja hawa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje Rostam Aziz akapewa nafasi kuwakilisha sekta Binafsi kwenye siku muhimu !?

    Rostam Aziz ni Mfanya biashara mkubwa .Pengine ndiye Mfanyabiashara mkubwa aliyewahi kuingia kwenye siasa kwa kiwango cha juu.Mohamed Dewj pia anaweza kuingia katika orodha hii.Tofauti yao ni kuwa Rostam amekuwa akiingia katika Sayansi ya Siasa kimkakati zaidi. Katika Hali hii ya ushiriki wake...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kuna Maisha baada ya Elimu, Diploma una chance kubwa kupata ajira baada ya chuo, Form 6 ni shortcut lakini ni ngumu sana kupata ajira baada ya chuo

    Kila mwaka idadi ya wanafunzi wa kidato cha sita inaongezeka sambamba na ufaulu. Mwaka huu pekee, zaidi ya wanafunzi 125,000 wamepata sifa za kujiunga na masomo ya shahada ya kwanza (Degree), Kati ya hawa, wanafunzi wanaoweza kujiunga na vyuo kwa mikopo au kwa kujilipia wanakadiriwa kufikia elfu...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Polepole kufukuzwa CCM; nafasi yake kuchukuliwa na Mbowe

    Dar es Salaam: Habari za chinichini zinapenyeza kuwa uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) upo mbioni kumfukuza na kumfuta uachana Mh Balozi Humprey Polepole na pia kumuondolea hadhi ya ubalozi. Hayo yanajiri wakati mwanachama huyo nguli wa CCM akiitisha mkutano na waandishi wa habari kwa njia ya...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Tangazo la ajira Relief Family Home Organization (RFHO - NGO)

    POSITION ACQUIRED. a person has been found for the position of the advertised jobs
  8. JamiiForums Tanzania Nafasi za Internships na Volunteer

    Kama unasoma kozi yoyote ya afya (health-related course) na unatafuta Internship Opportunities, ingia hapa: 🔗 Link: LinkedIn Fursa hii inafaa kwa: i. Wanafunzi wa mwaka wa mwisho (Final year students) ii. Wahitimu wapya (Recent graduates) iii. Wataalamu wenye uzoefu wa miaka 2–10 katika sekta ya...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Nimepata nafasi ya kwenda kwenye conference UK, Je nifanyeje niweze kubakia huko mazima?

    Habari wanajukwaa! Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Nimepata nafasi ya kwenda nchi za ufalme wa united kingdom(Uingereza) kwa ajili ya mkutano wa kidini kupitia shirika la huko Uingereza.. Ila sasa me nilitaka nikifika nifanye utaratbu wa kuomba kibali cha kuishi na kufanya kazi huko. Je...
  10. JamiiForums Tanzania Wana ccm ni muda wa kuamka kupambania chama hizi surprise za watu kupewa nafasi out of nowhere big no

    Hello wana Jamii, Niende kwenye Mada/ Kero. Nauliza maswali Kwa hawa viongozi wetu wa Chama hivi Wana- CCM mnawachukuliaje ? Kuna watu wanakula Upinzani wakiona hakuna Maisha wanakimbilia CCM na inaonekana wana bahati Sana kuliko Wana CCM wenyewe maana wakifika wanapewa vyeo na nafasi za...
  11. JamiiForums Tanzania Nafasi za ajira Graduate Trainee

    https://www.instagram.com/p/DMEPZRUiiaQ/?igsh=bHhiY3dzaTF5NGFy
  12. JamiiForums Tanzania Je,Ni nafasi zipi kubwa Humphrey PolePole amewahi kuzishika kama Kiongozi

    Wakuu, Ni nafasi zipi kubwa Humphrey PolePole amewahi kuzishika? Mimi najua tu ni Kiongozi Mahiri, Mwanasheria na Mwanadiplomasia.
  13. JamiiForums Tanzania Dokezo: Nafasi ya Mbunge na Diwani katika Maendeleo ya Tanzania

    Katika mfumo wa kisiasa wa Tanzania, Mbunge huchukuliwa kama mwakilishi wa wananchi bungeni kwa lengo la kushiriki katika uundaji wa sheria na usimamizi wa serikali. Hata hivyo, kwa miaka mingi kumekuwepo na mwelekeo unaoonesha kwamba baadhi ya wabunge wanapewa majukumu yanayopita mipaka ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania NAFASI YA KAZI: Kusimamia Akaunti kwa Kutumia Robot (Kazi ya Ofisini - Dar es Salaam)

    Natafuta vijana wenye umri kati ya miaka 20 hadi 28 kwa ajili ya kusimamia akaunti za biashara kwa kutumia mfumo wa roboti (robot) katika mazingira ya ofisi iliyopo Kinyerezi Mwisho, Dar es Salaam. ✅ Robot tayari ipo, kazi yako ni kuingia kwenye akaunti, kufuatilia maagizo ya robot, na...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Crystal palace aikosa nafasi ya kushiriki Europa ,Huku Bongo kuna mtu ana mkono katika timu 8

  16. H

    JamiiForums Tanzania Nafasi za ualimu home tuition

    Tunahitaji walimu wa Cambridge curriculum kwaajiri kufundisha home schooling. Pia mtaaalamu wa music and keyboard Note: kabla hujaomba tafadhali hakikisha wewe ni expert wa Tangazo tulilotoa 1.Mwalimu wa Biology Advanced level Cambridge curriculum. 2.Mtaaalamu wa music and keyboard kwa kila...
  17. JamiiForums Tanzania Mpe nafasi huyu, nakuhakikishia hatakuangusha

    NAOMBENI NAFASI YA KAZI YA CUSTOMER SERVICE AGENT KWENYE SECTOR YOYOTE... AU *FRONT OFFICE AU CALL CENTER...SEKTA YOYOTE ILE... Ikiwa sector ya TOURISM AND HOSPITALITY nayo sio mbaya... NAOMBENI TAFADHALI...* CONNECTION NA EXPERIENCE VINANIKOSESHA KAZI KILA NIKIOMBA SEHEMU... ILA...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri , Sisi watu weusi mambo ya uongozi hatuyawezi tukubali nafasi kama Rais , mawaziri na makatibu wawe ni wazungu .

    Wakuu . Mimi nimetembea duniani kote USA UK France German N.k Tukubali tu kuwa sisi watu weusi mambo ya kutawala nchi hatuyawezi Ila tunachoweza ni kuwa chini ya utawala wa MTU Fulani . We are not organized Angalia nchi Kama Venezuela haina , Gas , haina mafuta Ila ni moja ya richest...
  19. JamiiForums Tanzania Wallace Karia hapaswi kurejea katika nafasi yake baada ya kuonyesha failure na upendeleo wa wazi katika sakata la derby

    Ukisema maendeleo kidogo yaliyopatikana katika soka la Tanzania limechangiwa na Wallace karia, ninapinga.Maendeleo ya soka nchini kwa kiasi kikubwa yamechangiwa na wadau wa michezo wakiwemo wafadhili, ambao kwa namna moja ama nyingine nina uhakika wallace karia hajachangia au kama amechangia ni...
  20. JamiiForums Tanzania FIFA - CAF World Cup Ranking, Top 10 clubs

    Source; FIFA Rankings
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…