nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Katibu UDASA: Dkt. Kaijage aliniambia Mkipata nafasi msaidieni mke wangu

    Katibu Mkuu wa UDASA, Dk. Dominicus Makukula, amesema wakati alipomtembelea Dk. Melikisedeki Kaijage, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) anayekabiliwa na kesi ya ugaidi, alitoa ujumbe mmoja muhimu. Kwa mujibu wa Dk. Makukula, Dk. Kaijage alisema: “Mkipata nafasi, msaidieni mke wangu.”...
  2. O

    JamiiForums Kenya Kenya Yaibuka Nafasi ya Pili Dunia Katika Mashindano ya U20 Oregon

    Mashindano ya Dunia ya Riadha kwa wanariadha walio chini ya miaka 20 yaliyofanyika Eugene, Oregon, Marekani, ikimaliza nafasi ya pili kwenye jedwali la medali. Timu Kenya ilijikusanyia medali 11—dhahabu 4, fedha 3 na shaba 4—ikifuatiwa na wenyeji Marekani waliotwaa medali 24. Kenya pia ilikuwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Usifanye kosa la kutoa nafasi ya Mungu kwa ajili ya kumpendezesha bosi

    Mungu siku zote hatabakia kuwa Mungu na nafsi yake ni yakwaza hana mbadala Yusufu akiwa kwa potifa alikutana na mtihani kati ya kuchagua kumpendezesha mke aa potifa au kumpendezesha Mungu, na Yusufu akachagua kumpendezesha Mungu Tumekuwa na changamoto kwa watumishi wa sekta binafsi au serikali...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu wa lugha, ipi ni sahihi kati ya "aliyemaliza nafasi ya pili, mshindi wa pili au mshindwa wa pili"?

    Hii ni kwa wataalamu wa lugha au mwenye uelewa wa hili, kwani nimekuwa nikisikia lakini sijajua lipi ni sahihi. Mtu anayemaliza mashindano katika nafasi ya pili anapaswa kuitwaje? Je, ni “mshindi wa pili,” “mshindwa wa pili,” au “aliyemaliza nafasi ya pili”? Wataalamu wa lugha, lipi ni sahihi...
  5. JamiiForums Tanzania Anachofanyiwa coy mzungu na comedian aliowapa nafasi kwenye platform yake ni ishara ya tenda wema nenda zako

    Wengi wetu tunamfahamu Coy Mzungu, CEO wa Cheka Tuu. Tukirudi nyuma kwenye historia ya stand-up comedy Tanzania, record zinaonyesha kuwa marehemu MC Pilipili alikuwa miongoni mwa waanzilishi muhimu wa stand-up comedy nchini. Lakini ni Coy ambaye alikuja kuipa industry hii nguvu mpya kupitia...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi (SALES)

    Nafasi za kazi kwa watu wa SALES wenye uzoefu wa miaka miwili Tunapatikana Dodoma, tuma Cv yako kwenye email hii: valerianabiseco176@gmail.com
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi: Accountant

    Tunahitaji Accountants wenye uzoefu, Waliopo Dodoma watapewa Kipaumbele. Ofisi zetu zipo Dodoma. Tuma CV yako kwenye Email : valerianabiseco176@gmail.com
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi: Accountant

    Tunahitaji Accountants wenye uzoefu, Waliopo Dodoma watapewa Kipaumbele. Ofisi zetu zipo Dodoma. Tuma CV yako kwenye Email : valerianabiseco176@gmail.com
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi kwa Wahasibu wenye uzoefu Dodoma

    Tunahitaji Accountants/wahasibu wenye uzoefu. Waombaji waliopo Dodoma watapewa kipaumbele, kwa kuwa ofisi zetu zipo Dodoma. 📩 Tuma CV yako kupitia: valerianabiseco176@gmail.com
  10. JamiiForums Tanzania Vijana mkipata nafasi ya kuji attach kwenye royal family, Usirudi nyuma

    Vijana wenzangu mjitahidi sana kuyaelewa maisha. Maisha ya duniani yana formula na hii formula ndio inawafanya baadhi kufanikiwa na kuwa mbele. Ni muhimu pia wakati una date angalia familia na utulivu wa huyo mdada. Kuna vijana watatu miaka ya hivi karibuni wameonesha maturity kubwa mno ...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya Mpishi imetangazwa na Ubalozi wa Ubelgiji, mwisho wa maombi ni 21 Agosti 2026

    Tunatafuta Mpishi kujiunga na timu yetu 🇧🇪🇹🇿 📌 Tarehe ya kuanza: Oktoba 2026 📍 Mahali: Dar es Salaam Sehemu kubwa ya ukarimu wa kidiplomasia hufanyika mezani😋. Makazi ya Balozi wa Ubelgiji yanatafuta mpishi wa kuendesha jiko, milo ya kila siku, hafla rasmi, na menyu zinazowaridhisha wageni na...
  12. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi

    Tuna nafasi za Kazi Mbalimbali, uwe na uzoefu usiopungua Miaka 3 kwenye kila Nafasi. 1. Logistics Manager-Dodoma 2. Trucks Engine Mechanic-Dodoma 3. Big Truck Driver-Dodoma 4. Driver-Dar es Salaam 5. Accountant CPA-Dodoma 6. Social Media Manager-Dar es Salaam Utapigiwa simu, Tuma CV yako...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Aliyemtuhumu Heche kula hela za CHADEMA aomba radhi, Baraza la Wazee Lushoto wamsamehe na kumrudisha kwenye nafasi yake ya ukatibu

    Aliyemtuhumu Heche akiomba radhi"Narudia kuomba msamaha tena kwa viongozi wote walio hapa, kwa Makamu Mwenyekiti. Na imani nimekosea. Basi kama pale nilipokosea na nimeamini nimekosea, naomba anisamehe. Viongozi wote naomba mnisamehe. Nitakuwa wa kwanza kumwalika ziara Makamu Mwenyekiti aje...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba muongozo namna ya kupata nafasi ya ndugu yangu kujiunga na elimu secondary pale kibaha secondary.

    Wakuu, nina ndugu yangu ambaye anamaliza la darasa la saba mwaka huu, kama ndugu tumeona tumtafutie shule ambayo haitakuwa mbali sana na makazi yetu. Ni mtoto yatima Jibu likaja ni kibaha secondary, huyu kijana anasoma pale olympio primary, sasa kimbembe kimekuja ni namna gani tunaweza kupata...
  15. JamiiForums Tanzania Nipo kanisani, huyu Askofu kila mada anayotoa leo naona ananilenga mimi, nikipata nafasi nachomoka hapa

    Kwanza sadaka sitoi Huyu bwanah anatoa maandiko huku ananikodolea macho nafikiri atakuwa ameelekezwa tu namtu anipige vijembe Kaanza na mada za ugomvi na kupigana , anazungumza huku ananitolea macho japokuwa nimekaa nyuma ila ananitolea macho mpaka huku alafu ana macho makali kinoma yaani...
  16. JamiiForums Tanzania TANGAZO LA NAFASI YA KAZI

    FUNDI SANIFU WA UMEME (ELECTRICAL TECHNICIAN) Tunatafuta Fundi Sanifu wa Umeme mwenye ujuzi na uzoefu wa kufanya kazi za umeme katika majengo makubwa ya biashara, viwanda na nyumba za makazi. Sifa za Mwombaji Awe na Cheti cha Ufundi (Certificate) au Diploma ya Umeme kutoka NACTVET (zamani...
  17. JamiiForums Tanzania Ukipata nafasi ya kukimbia Africa kimbia mbio zako zote

    Usiwashangae wamorocco kuvamia Spain, zaidi ya wamorocco 3000 wameingia Spain Kwa kuvuka bahari, licha ya Morocco kufahamika Kwa mazuri yake, ni Moja Kati ya nchi ambayo ni tofauti na nchi zetu wamepiga hatua na wametuacha mbali kidogo, lakini watu Kila siku wanazama baharini wakitafuta maisha...
  18. JamiiForums Tanzania Unafikiri nani ana afadhali kupewa nafasi ya kuongoza CCM Tiketi ya urais 2030 kati ya hawa? Piga kura

    Unafikiri nani anaafadhali kupewa nafasi ya kuongoza CCM Tiketi ya urais 2030 kati ya hawa? Piga kura. Watakaoshika nafasi Tatu za juu. Itahesabika wanaushawishi hasa katika mtandao wa JF. Kwa wale wa CHADEMA na vyama vingine nanyi mnaweza kuchagua kama nilivyosema mwenye afadhali kadiri ya...
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ODM Yasaka Nafasi ya Naibu Rais, Yamuunga Mkono Oparanya kwa Uchaguzi wa 2027

    Chama cha Orange Democratic Movement (ODM) kimeongeza shinikizo la kutaka nafasi ya Naibu Rais katika uchaguzi mkuu wa 2027, huku baadhi ya viongozi wake wakimuunga mkono Waziri wa Ushirika na Maendeleo ya Biashara Ndogo na za Kati, Wycliffe Oparanya, kuwa mgombea mwenza wa Rais William Ruto...
  20. V

    JamiiForums Tanzania Nafasi nyingi za kazi mpya ajira portal usiache kuomba

    Ukipata changamoto ya kuomba kama kusahau password, email nk tuwasiliane kwa 0792715343
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…