nafasi za uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Lissu akihoji bungeni kuhusu wanajeshi kuteuliwa na kuwania nafasi za Uongozi kupitia CCM

    Maneno ya Tundu Lissu bungeni Jun 19, 2015 wanajeshi wanapewa vyeo serikali na Jaji Augustino Ramadhani kuandaliwa kuwa Rais wa awamu ya tano.
  2. N

    Mbinu za CCM tu ndizo zitakazomuwezesha Mangungu na genge lake kushinda tena nafasi za uongozi Simba

    Kwa mujibu wa katiba ya Simba viongozi wote wa kuchaguliwa wanafika ukomo mwezi huu mwishoni. Hadi sasa wanasimba hatuoni dalili yoyote ya uchaguzi tukimaanisha hakuna kamati iliyotangazwa kwa mujibu wa katiba kuendesha zoezi hilo kuanzia hatua za awali ambazo ni kutangazwa tarehe ya uchaguzi...
  3. F

    Kujazana familia ya Samia kwenye nafasi za uongozi wa nchi ni uthibitisho wa kukosa maadili ya kiongozi

    Samia amejaza wanafamilia yake angalau 7 kwenye nafasi za ubunge wa kuteuliwa na uwaziri. Wapo wengine wengi katika nafasi za chini kidogo, ni wengi. Jambo hili linadhihirisha kuwa Samia hana maadili ya kiuongozi na hajali anayoyafanya mbele ya macho ya Watanzania. Jambo hili ni hatari kwa...
  4. R

    Dkt. Jingu: Wanawake wapewe nafasi za Uongozi si kwa sababu ni wanawake ila kulingana na uwezo wao

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. John Jingu, amewataka viongozi wanawake chipukizi kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika kuchukua hatua madhubuti na kuleta mabadiliko halisi katika safari zao za uongozi ‎ Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati...
  5. MamaSamia2025

    GE2025 Ni sahihi kwa ndugu na watoto wa wanasiasa kuwania nafasi za uongozi kama wana vigezo

    Kabla ya kuwalaumu wanasiasa kwamba wanawabeba ndugu au watoto wao kwenye nafasi za kisiasa au serikalini jiulize kama wanaobebwa wana sifa na vigezo kuwepo kwenye nafasi hizo. Binafsi ninakubali kwa 100% kuwa kubebana kupo ila iwe kwa wenye sifa tu. Mimi sisemi kuwa viongozi wetu wajaze ndugu...
  6. K

    GE2025 Kuwashambulia viongozi wetu waliopo na wastaafu kwa watu wao wa karibu kugombea nafasi za uongozi kwa jamii ni kuwakosea adabu

    KUWASHAMBULIA VIONGOZI WETU WALIOPO NA WASTAAFU KWA WATU WAO WA KARIBU KUGOMBEA NAFASI ZA UONGOZI KWA JAMII NI KUWAKOSEA ADABU Na: Alex Msama 🇹🇿 : Agosti 1, 2025 Katika jamii inayozingatia misingi ya haki, utu na utawala wa sheria, ni jambo la aibu na la hatari kuanzisha dhana potofu...
  7. R

    PreGE2025 Shaweji Mkumbula: Tusilazimishe uongozi ni mipango ya Mungu

    Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Shaweji Mkumbura, ametoa wito kwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kujitokeza kwa wingi kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2025, akisisitiza kuwa nafasi pekee isiyopaswa kuwania ni ya Urais ambayo tayari...
  8. K

    PreGE2025 MNEC Mlao: Vijana tujitokeze kugombea nafasi za uongozi - tusiwe wabeba mabegi ya viongozi

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Mlao, ametoa wito huo kwa vijana kote nchini kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi za uongozi badala ya kubaki kuwa watazamaji au “wabeba mabegi” wa viongozi waliopo madarakani. Akizungumza leo Juni 14,2025 katika...
  9. Allen Kilewella

    Hizi ndizo sifa za kugombea nafasi za uongozi TFF, Karia kakosa ipi?

    Zifuatazo ni sifa za wagombea ndani ya TFF. 1. Awe raia wa Tanzania. 2. Awe na kiwango cha elimu kisichopungua kidato cha nne (Cheti cha Elimu ya Sekondari). 3. Awe na uzoefu wa uendeshaji Mpira wa Miguu uliothibitishwa wa angalau miaka mitano. 4. Asiwe na hatia yoyote ya kosa la jinai na...
  10. Waufukweni

    PreGE2025 Wakili Mpanju: Wanawake mjitokeze kugombea nafasi za uongozi kwenye Uchaguzi Mkuu

    Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Makundi Maalum, Wakili Amon Mpanju amewataka wanawake kujitokeza kwa wingi kwenda kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi mkuu utakafoanyika mwaka huu. Akizungumza katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani...
  11. W

    PreGE2025 Mjumbe UVCCM Geita, Sagayika awataka Vijana kuacha kubeba mabegi ya wagombea

    Hao vijana wenyewe wanaopewa ushauri huu ndiyo kwanza wako busy na uchawa === Ikiwa imebaki miezi minane kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, vijana wametakiwa kuacha tabia ya upambe na kubeba mabegi ya wagombea badala yake wagombee nafasi mbalimbali. Msingi wa hoja hiyo iliyotolewa leo...
  12. Waufukweni

    PreGE2025 Heche: Hatutatoa nafasi kwa kuangalia uchawa

    Makamu Mwenyekiti wa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amesema chama hicho kitashirikiana na kila mwanachama na yeyote mwenye nia ya kufanya nacho kazi bila kuangalia aliwaunga mkono yeye au Mwenyekiti wa sasa Tundu Lissu katika kipindi uchaguzi. Akizungumza leo...
  13. Tlaatlaah

    Tetesi: Huenda uchaguzi wa CHADEMA wa taifa ukaahirishwa hadi baada ya uchaguzi mkuu october 2025

    Inasemekana, barua inayelezea kinagaubaga sababu mahususi za msingi za kuahirishwa kwa uchaguzi huo wa ndani Chadema, tayari imewasilishwa na kupokelewa kwenye taasisi mahususi, inayohusika na masuala ya vyama vya siasa nchini. Haijafahamika bado ikiwa wajumbe wahusika wa uchaguzi huo wa...
  14. didy muhenga

    Vijana na nafasi za uongozi Marekani

    Wanajamvi kuna suala la USA kutowaamin vijana kwa upande wangu nimeshuhudia masenators wengi ni wazee ha hata viongozi mbalimbali wa mataasisi na hata pia cabinet secretaries na member of house of Representatives. Je ni kweli USA haimini ktk vijana ktka masuala ya uongozi?
  15. Thabit Madai

    PreGE2025 LGE2024 Mitazamo chanya ya wanaume juu ya wanawake kushika nafasi za uongozi

    Na Thabit Madai, Zanzibar Zanzibar ya sasa inashuhudia mabadiliko makubwa katika ushiriki wa wanawake katika uongozi, ikilinganishwa na enzi za zamani. Kwa mara ya kwanza tangu mapinduzi ya 1964, wanawake wanashikilia nafasi muhimu, ikiwa ni pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi na Naibu Spika wa...
  16. Suley2019

    PreGE2025 LGE2024 Ni wakati sasa wanawake waache kuwa wapambe wa wagombea na badala yake wawe washindani katika nafasi za uongozi

    Katika kampeni nyingi za kisiasa nchini Tanzania, imekuwa kawaida kuona wanawake wakichukuliwa kama wapambe wa wagombea badala ya kuwa wagombeaji wenyewe. Wanawake wamekuwa wakipewa majukumu ya kushangilia, kupiga vigelegele, na kutoa kauli kama “umepitaaa baba,” bila kuangalia sera au kubaini...
  17. N

    PreGE2025 LGE2024 Kwa namna gani Katiba za vyama zinatoa fursa kwa Wanawake kufikia 50/50 katika nafasi za uongozi?

    NA MARYAM HASSAN WAKATI dunia ikiendelea kupaza sauti juu ya ushiriki na ushirikishwaji kikamilifu wa wanawake katika nafasi mbali za uongozi, Zanzibar haipo nyuma katika haraakati hizo. Kupitia Chama cha Wandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA-ZNZ) na wadadu wengine wamekuwa wakiendelea...
  18. Waufukweni

    LGE2024 Barwan Salum: Walemavu watolewe hofu na wahamasishwe kuwania nafasi za uongozi

    Tanzania ni taifa ambalo katika miaka kadhaa nyuma lilikumbwa na mauaji makubwa ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) haswa kipindi cha uchaguzi kilipokuwa kinakaribia. Licha ya matukio hayo mwaka 2010, historia iliandikwa na Barwan Salum baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge wa jimbo la Lindi...
  19. Waufukweni

    PreGE2025 LGE2024 Vyama vya Siasa ongezeni uwakilishi wa Wanawake kwenye nafasi za uongozi

    Wakuu nawasalimu. Kama taifa tupo katika kipindi cha uchaguzi Mkuu na Serikali za Mitaa ambao umepamba moto kwa hivi sasa. Huu ndio wakati wa Vyama vya Siasa nchini kukuza ushiriki wa wanawake katika siasa na maamuzi. Kupata Taarifa na Matukio ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kila mkoa...
  20. Nyendo

    PreGE2025 Wanasiasa wanataka hadi kutoana roho wakitafuta madaraka ila wanasema siasa hailipi vijana mkajiajiri, kama ni kweli mbona hawaachani nayo?

    Nimepta kwenye nyuzi nyingi za wakati huu wa kuelekea uchaguzi na zile za zoezi la kujiandikisha unaona kabis namna Wanasiasa walivyo na uchu na madaraka, wanaonesha jinsi gani kuna fursa huko ndio maana hadi wanataka kutoana roho. Ila sasa wakitoka hapo utawasikia ooo Siasa hailipi, siasa...
Back
Top Bottom