nafasi za uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanasiasa wanataka hadi kutoana roho wakitafuta madaraka ila wanasema siasa hailipi vijana mkajiajiri, kama ni kweli mbona hawaachani nayo?

    Nimepta kwenye nyuzi nyingi za wakati huu wa kuelekea uchaguzi na zile za zoezi la kujiandikisha unaona kabis namna Wanasiasa walivyo na uchu na madaraka, wanaonesha jinsi gani kuna fursa huko ndio maana hadi wanataka kutoana roho. Ila sasa wakitoka hapo utawasikia ooo Siasa hailipi, siasa...
  2. Thabit Madai

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Vyama vya siasa, familia, jamii pande tatu zenye maoni tofauti kwa wanawake kushika nafasi za uongozi

    Na Thabit Madai,Zanzibar UONGOZI ni ushawishi, dhana na taaluma inayompa mtu madaraka ya kuongoza ili kuleta maendeleo katika eneo ambalo anataka kuliongozi, Juhudi za wanawake kuwa viongozi Zanzibar bado kitendawili kutokana kuwa wanawake hao wanakabiliana na changamoto nyingi kama...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dkt. Ananilea Nkya: Wanawake jitokezeni kuwania nafasi za Uongozi kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Ikiwa zimebakia siku chache kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Mwanaharakati wa haki za binadamu nchini, Dk Ananilea Nkya amasema kuwa zipo changamoto mbalimbali ambazo upelekea Wanawake kushindwa kuwania na kuchaguliwa kwenye kinyanganyiro cha uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Ametolea mfano...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanawake kushiriki kwenye nafasi za uongozi ni chachu ya wengine kufuata nyayo

    Katika ukanda wa Afrika Mashariki, Tanzania inaongoza katika kuimarisha ushiriki wa wanawake kwenye uongozi. Wanawake wanaochukua nafasi za uongozi wanatoa mfano bora kwa wenzao, wakionesha kuwa uongozi si wa wanaume pekee, bali ni haki ya kila mtu mwenye uwezo na dhamira ya kuleta mabadiliko...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nafasi ya ushiriki kwa Wanawake wa vijijini katika katika kuwania nafasi za uongozi uchaguzi wa Serikali 2024

    Wanajukwaa Kwema! Siku zinahesabika kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ambao unatarajiwa kufanyika November 27 mwaka huu nchini kote. Sasa swali la kujiuliza vipi muamko wa Wanawake wa vijijini kushiriki katika kuwania nafasi hizo ambapo mara zote kumekuwa na muhamko mdogo sana wa...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini wanawake huwa hawaoneshi nia ya kugombea nafasi za uongozi wa Serikali za mitaa?

    Katika kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu wa 2024, kumekuwa na hali ya muamko mdogo miongoni mwa wanawake kuonesha nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi. Hii inatokana na dhana potofu kuwa uongozi wa serikali za mitaa ni kwa wanaume pekee. Ni muhimu kufahamu kuwa nafasi...
Back
Top Bottom