nafasi ya kazi

  1. C

    Wadau nilikuwa naomba kazi nina kipaji cha upigaji picha na kushoot video lakini pia ninajua graphic designe

    Wadau nilikuwa naomba kazi nina kipaji cha upigaji picha na kushoot video lakini pia ninajua graphic designer Lakini pia nanvyo vifaa vyangu mwenyewe tayari kwa kazi Nina camera, na vifaa vyengine vya kupiga picha na kushoot video na pia nina vifaa vya kuedit picha na video pamoja na graphic...
  2. Kekule Wa Benzene Ring

    NAFASI YA KAZI UALIMU.

    Wanahitajika walimu wa masomo yafuatayo; 1. BOOK-KEEPING/ ACCOUNTANCY na COMMERCE - ngazi ya shahada ( Awe amesoma ualimu au Course za uchumi na Account Lakini mahiri wa kufundisha 2. PHYSICS-MATHEMATICS awe amesomea ualimu au shahada ya Engineering na mwenye uwezo wa kufundisha masomo hayo...
  3. stabilityman

    Nafasi ya kazi ya usafi wa mazingira

    Kazi ya kusafisha mazingira Huu ni Mradi maalum kwa ajili ya kampeni ya USAFI WA MAZINGIRA & AFYA YA JAMII Mshahara ni lak 3 kwa mwezi ukifikia lengo la kampuni Kazi inahitaji mtu mwenye bidii na kujituma 0718408733 hii namba ni Whatsapp tu usipige Nafasi hizi ni bure kabisa usikae nyumbani...
  4. 01-01-2025

    Ombi la nafasi ya kazi

    .
  5. A

    Nafasi ya kazi kwa dereva

    Habari wana JF Hongereni kwa kazi ya kujenga taifa Anatafutwa dereva mwenye leseni ya class C yoyote , kazi yake itakuwa itakuwa ni kuendesha basi la shule na majukumu mengine atakayopangiwa na mwajiri wake Vitu vinavyoitajika 1. Leseni daraja C 2. Elimu ya kidato cha nne na kuendelea 3...
  6. D Metakelfin

    Natafuta nafasi ya kazi ya kufanya usiku tu kuanzia saa 4 usiku hadi saa 12:00

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. Jinsia ni Me Mkoa : Dar es salaam. Kazi : yeyote iwe ya kutumia nguvu au akili Niko tayari Mawasiliano kwa sababu za kiusalama nisingependa kuweka hapa ila kwa pm tunaweza kuwasiliana zaidi
  7. Dr. Said

    Nafasi ya Kazi, Mtu wa Mauzo (Full-Time)

    Mahali: Kazi ya Mtandaoni (Remote) Kampuni: Online Profits Nafasi: Wakala wa Mauzo KUHUSU ONLINE PROFITS Online Profits ni kampuni ya e-learning inayolenga kusaidia wajasiriamali wanaotaka kuzindua na kukuza biashara zao mtandaoni. Programu yetu kuu inaitwa Online Profits University na inatoa...
  8. M

    Nafasi ya kazi ya afisa mauzo na masoko

    Habari, Tafadhali pokea kiambatishi chenye tangazo la nafasi ya kazi tajwa.
  9. Mrndumbarojl

    Nafasi ya kazi: Logistics Project Development Manager

    TRADESAFE LIMITED LOCATION: DAR ES SALAAM, TANZANIA POSITION: LOGISTICS PROJECT DEVELOPMENT MANAGER CONTRACT TYPE: 1-3 YEARS CONTRACT --- ROLE OVERVIEW TradeSafe Limited is seeking a Logistics Project Development Manager to lead the development, creation, and introduction of innovative...
  10. Mrndumbarojl

    Nafasi ya kazi: senior business and market intelligence officer

    TRADESAFE LIMITED LOCATION: DAR ES SALAAM, TANZANIA POSITION: SENIOR BUSINESS AND MARKET INTELLIGENCE OFFICER CONTRACT TYPE: FULL-TIME / PROJECT BASED --- ROLE OVERVIEW TradeSafe Limited is seeking an experienced Senior Business and Market Intelligence or Analyst Officer who will also serve...
  11. kante mp2025

    Kuomba nafasi ya kazi kwa aliyepata ajira serikalini kada ya maabara ya hospitali!!

    Kama heading inavojieleza hapo juu mimi ni mtaalamu wa maabara, mwenye stashahada nilijaribu kurusha ndoana kwenye ajira za utumishi nikala ndoige ya kichwa kwa kupigwa NOT SELECTED Sasa nimeona wanazengo wengi wakilamba asali kwenye pdf hizi za serikali hasa upande wa kada yangu ya maabara na...
  12. Nyaishozi College

    Nafasi ya Kazi: Radiographer anatafutwa

    Wanahitajika walio na Diploma au Degree ya Kwanza ya Radiography haraka. Wasilisha CV kupitia info@nyaishozicollege.ac.tz au tuma kwa Whatsapp 0745009792
  13. Nehemia Kilave

    Nafasi ya Kazi Pamba Fc

    Kazi kwenu wenye sifa
  14. BOB LUSE

    Nafasi ya kazi

    New executive Lodge available Vacancy,front desk, house keeping and food production. Ukonga Dsm.Contact 0756001053"
  15. Jamii Opportunities

    Head Chef at Karama Lodge September, 2024

    Job type: Full-time POSITION: HEAD CHEF Job Description: Control and direct the food preparation process and any other relative activities Construct menus with new or existing culinary creations ensuring the variety and quality of servings Approve and polish dishes before they reach the...
  16. Sirleh94

    Nafasi Ya Kazi

    Naitwa Salehe nimemaliza elimu ya Bachelor of Engineering in Civil 2024 (DIT). Pia ni Civil Technician mwenye uzoefu wa miaka zaidi ya mitatu katika kazi za ujenzi hususan ni Majengo. Kwa yeyote atakayehitaji mtu wa usimamizi wa kazi zake naomba tuwasiliane 0654224037.... Makazi ni Dar es Salaam.
  17. Top007

    Nafasi ya Kazi bakery

    Habari Nahitaji wafanyakazi wa bakery Eneo: Kibaha Kwa maelezo zaidi piga : +255 762 866 652
  18. PLOII

    Immediate Vacancy (01) Mwenge, Dar es Salaam

    Hello Tanzanians, Anahitajika Mdada mwenye uelewa na:- i) Stationery ii) WAKALA M-Pesa, Tigo Pesa, Halo-Pesa, Airtel Money. NBC, NMB etc... iii) Vinywaji (soft drinks) Kwa anaehitaji ani-DM, use Whatsup Number 0783075191. Mdada anatakiwa kufika Ofisini tarehe 2th September, 2024. Eneo ni...
  19. Pantomath

    Mlioomba Ajira Ualimu utumishi Angalieni status zenu

    Log in > Nenda my Application > Employer. Kuna watu washaanza kupangiwa sehemu za interview.... Interview ya kwanza(kuandika) utafanyia ulipoombea... Interview ya pili(Oral)utafanyia mkoa watakayokupangia wao.. Kama uliomba masomo mawili, Utashangaa Written ya hesabu na phy utafanyia hapa Dar...
  20. Erythrocyte

    Tangazo la Ajira ya Kuzika Maiti zisizotambulika latolewa Mkuranga. Hizo maiti zitakuwa zinatoka wapi?

    Bali kuna Maswali yanayohitaji majibu Pia soma:Maiti 69 zazikwa na Jiji la Dodoma baada ya kukosa ndugu
Back
Top Bottom