nabii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA, Halima Mdee na Esther Bulaya wajisalimisha kwa nabii Suguye, Waombewa na kupakwa mafuta ya " Mpenyo"

    Wabunge wa Chadema waheshimiwa Halima Mdee na Esther Bulaya jana walikuwa katika kanisa la WRM kwa mtume na nabii Suguye ambako waliombewa na kupakwa mafuta ya Mpenyo. Sasa ni wazi baada ya kupokea upako wa mafuta ya " mpenyo" wataweza kupenya mahali popote iwe bungeni, Ufipa au serikalini bila...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna yeyote anamfahamu huyu nabii David Stefano Mpanji wa Mbeya?

    Huyu bwana nabii anaitwa david Stefano Mpanji ana unguruma sana huko Mbeya na anapigwa sana vita na watumishi wengi wa mungu huku na yeye akiwa ni mrusha madongo mzuri kwa wenzake. Kanisa lake linaitwa GMCL pia ana radio ambayo pia inaitwa GMCL ambako huko ndio hubwabwaja sana na si kumhubiri...
  3. JamiiForums Tanzania Nabii Elia wa Upareni

    Katika muendelezo wangu wa kuwasakama watani zangu Wapare, leo nitamtambulisha mpare mmoja aliyekuwa kiboko ya wapare wenzie. Mpare huyu alijiita Nabii Elia (Eliya) wa upareni. Mtu huyu alikuwa ni wa kutokea pande za Usangi ila akahamia Same Kisiawani kwenye Milima pembeni ya njia ya...
  4. JamiiForums Tanzania VIDEO: Hii ya kutandika Biblia chini ili marehemu apite imekaaje, Mwenye uelewa na hili pitia hapa

    Sijapata jibu la moja kwa moja angalia hii clip ni fupi sana 00.42mins ukubwa wa 3.4mb so haiwezi kumaliza MB's zako.
  5. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    Wanabodi, Manabii wa Uongo na Tutawatambuaje? Kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo, tunayemwamini Bwana wetu Yesu Kristo, kabla hajapaa mbinguni, alituhusia kuwa "kutajitokeza manabii wa uongo, ambao watahubiri neno na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu". Wanafunzi wake wakamuuliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…