na wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Bila Rais Samia Kuingia Madarakani Vijana wengi sana wangeacha kwenda vyuo Vikuu na wengine Wangekuwa wanaishia kidato cha 4 Tu. Tunamshukuru Mama

    Ndugu zangu Watanzania, Ni ukweli ulio wazi kabisa kuwa Rais Samia ametoa ajira nyingi sana katika historia ya Taifa letu ndani ya kipindi kifupi cha Uongozi wake. Ni ukweli ulio wa wazi kabisa Kuwa Rais wetu Mpendwa kainua Matumaini ya vijana wengi sana kupenda shule na kuendelea na masomo...
  2. JamiiForums Tanzania Kiswahili Kigumu!: Kitu Kikiwa Chako Peke Yako, Ndio Chako, Kikiwa Chako na Wengine, Sio Chako, ni Chenu, ana Akiwa Mtu Sio Wake ni Wao!.

    Wanabodi, Lugha ya Kiswahili japo ni lugha rahisi na Kiswahili fahasa ni kigumu, na moja ya masomo magumu kupata alama ya A enzi zetu, lilikuwa ni somo la Kiswahili. Matokeo yangu ya form 4, nimepata A 2, ya somo la Siasa na somo la Kiswahili, hivyo mara moja moja, ikitokea kuna makosa madogo...
  3. JamiiForums Tanzania Mine me, Baba wa mbingu, Seran, Mshana Jr na wengine

    Habari za leo? Wapendwa ningependa kuwe na utaratibu wa member mmoja wa Jf labda kila alhamisi achaguliwe ili members wa humu tuwe free kumuuliza chochote na ajibu postive. Ishu binafsi ambazo zinaweza kumuanika uhusika wake anaweza asizijibu. NINGEPENDELEA TUANZE NA HAO TAJWA HAPO JUU MAANA...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nafungua Masikio Kumsikiliza Emmanuel Nchimbi, na Wengine Wooote wa Aina Hiyo Waliopo Huko

    "Ndugu" Emanuel Nchimbi kwa sasa hivi namchukulia kuwa ni mfungwa kama tulivyo wengine wote, waTanzania tusiofurahishwa na mwenendo na mwelekeo wa taifa letu ulivyo kwa sasa. Sina shaka yoyote, kwamba wapo wengine wengi huko huko aliko Nchoimbi ambao hawajapata ujasiri wa kusema, kama...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi ilikuwaje watu wakatafsri lugha wakati Kila watu walikuwa na lugha yao hawaelewani na wengine?

    Hili ni swali zito wakuu ilikuwaje watu wa zamani wakatoa tafsiri za lugha wakati Kila jamii ilikuwa na lugha yao hawaelewani na wengine 🤔
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kuna account za JF kama Mwashambwa zilifunguliwa zitumiwe na group la watu wanaolipwa kuandika propaganda au kukosoa thread au posts, sio member mmoja

    Kuna account humu JF zimefunguliwa na watawala kwa ajili ya kutumiwa na group la watu wanaolipwa kwa ajili ya kujibu, kukosoa, kukejeli nk thread ambazo zinatolewa ambazo zinaanika uobu wa serikali na viongozi wake. Kwa mfano, unakuta Tlaatlaa au Mwanshambwa sio mtu mmoja. Ni account ambazo...
  7. JamiiForums Tanzania Miaka 30 bongo flava wakati mashabiki wenu mkuwapata kwa mtindo kama ruge na wengine wangetumia

    Hii project ilitakiwa kuwa kwa jamii kuridisha shukrani kama wakongwe wa fiesta mkaleta matukio kama kila mlicho fanya,kukumbusha maduka ,watu kampuni. Hapa naona babu tale na cheo kesho sio mbali mtakuja kulia tukiwazika.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Neno Amina linatofautisha matamko ya Yesu na wengine

    Neno Amina linatofautisha matamko ya Yesu na wengine Maandiko, katika kitabu cha Ufunuo 3:14, yanasema, kama ifuatavyo: “Na kwa malaika wa kanisa lililoko Laodikia andika; Haya ndiyo anenayo yeye ‘ALIYE AMINA’, Shahidi aliye mwaminifu na wa kweli, mwanzo wa kuumba kwa Mungu”. Neno Amina maana...
  9. JamiiForums Tanzania Tofauti ya Wairani na Wengine

    https://youtu.be/m3fqRcRvPEw
  10. R

    JamiiForums Tanzania It is a pity BIG SHOTS in the government mnaona Tanganyika inateketea mnafurahi na your inner circles kwa vile mnàpata kilicho chema mifukoni?

    Ujumbe wangu ni huo! Unaeleweka na wala hauhitaji maelezo SAVE TANZANIA/TANGANYIKA
  11. JamiiForums Tanzania Kama likitokea vyombo vya ulinzi kupinduana tunaweza kukuta vyombo vya ulinzi vitakavyo pingana na wengine ni CCM.

    Mfumo waliofanya CCM ni kama vyombo vya ulinzi ndio wanaviongoza na vina wafuwasi wao ndani. Kuna mda unakuta mtu anakutamkia wazi kama sio mwana CCM hawezi kukuogopa sababu yeye ni polisi, gereza, usalama ,TAKUKURU, uhamiaji na JWTZ
  12. JamiiForums Tanzania Msigwa na wengine mnafaidika na mfumo au faida yenu ni ajira tu?

    Tunaweza kutofautiana kwenye masuala mengi ila linapokuja suala la uhai wa binadamu tunatakiwa kuongea lugha moja. Bado nazidi kuwashangaa waTanzania wenzangu waliokubali kuaminishwa na mfumo kwamba waTanzania waliuliwa barabani kama mbwa ni wahalifu na walistahili kuliwa kinyama...
  13. JamiiForums Tanzania Maandamano yaliyoanza leo ni mwanzo tu hayatakuwa na kikomo mpaka haki itendeke na waliopotea wapatikane

    Huu ni mwanzo tu
  14. JamiiForums Tanzania Matukio ya Polepole na wengine yananikumbusha A Grain of Wheat, novel iliyoandikwa na Ngũgĩ wa Thiong’o,

    Ni suala la muda tu mbegu itamea na tutavuna tusichoke
  15. K

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa DP world na wengine kwa Mama

    Yaani hiyo package wenyewe wanapata nini
  16. JamiiForums Tanzania Kumbikizi: Mengi alivovichua mafisadi papa wanaoitafuna nchi

    Polepole hajakosea, Marehemu Mzee Mengi huyu hapa. https://www.youtube.com/watch?v=aSNSXYBsV1M
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hatutaki Rais hajawahi kulinganishwa na wengine.

    Itakuwa ni akili Matope kama CCM itakubali Rais wao awe hajawahi kupimishwa ubavu na Makada wengine. Umakamu alipata kwa Jinsia, Urais alipata kwa Ajali na sasa Apate kwa kupewa tena, No hii haiwezekani
  18. JamiiForums Tanzania RIP Ali Kibao, na Wengine wote ambao hatujui wako wapi au nini kiliwakuta

    Mods naomba msifute uzi huu, sina maana ya kuchochea wala kukosoa bali kuonyesha kusikitishwa na matukio ya kupotea, kutekwa na kuuwawa kwa baadhi ya Watanzania huku baadhi yao tukiwa hatujui wako wapi hadi sasa. Tunawaombea wale wote waliotangulia, na ambao wapo mahali labda wametekwa (hatujui)...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wachezaji wanaotajwa kutemwa Simba SC dirisha hili la usajili, Ahoua, Manula, Ngoma, Mukwala na wengine

    Kuelekea msimu ujao, tetesi zasema Simba SC kufanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake. Kwenye dirisha hili la usajili, taarifa zinaeleza kuwa wachezaji kadhaa huenda wakaachwa au kuuzwa na klabu ya Simba SC. Orodha ya wachezaji wanaotajwa kuondoka ni kama ifuatavyo: MAKIPA: Aishi Manula...
  20. JamiiForums Tanzania Ukraine: Watatu wafariki na wengine wengi wajeruhiwa katika shambulio la Urusi Dnipropetrovsk

    Takriban watu watatu wameuawa na wengine kumi na wanne wamejeruhiwa leo Ijumaa hii, Juni 27, katika shambulio la anga la Urusi kwenye mji wa Samar, katika mkoa wa Dnipropetrovsk - katikati-mashariki - gavana wa mkoa ametangaza. Watu watatu wamepoteza maisha yao katika shambulio la adui. Watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…