Juzi nilipelekwa Buza, Kwa mara ya pili maana Buza NI kubwa Sana
Nikaenda kuulizia maana ya mparange sijui Kwa mparange nikapata maana nilicheka sana
Sijui mambo ya kiswede mambo ya Ambaruti
Basi akapita binti mwenye Shepu yake, babu mmoja akamwambia Yule binti, "Mariam nakuja huko huko...