mzigo mzito

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli: Leo nimetua mzigo mzito wa mahusiano

    Wasalaam Hii ni story ya kweli ambayo imetokea kwenye maisha yangu napenda nishare nanyi kisa hiki kifupi ili tujifunze na tuburudike. Mnamo mwaka 2019 nilimaliza elimu ya digrii katika chuo maarufu hapa daslam. Kutokana na hurka yangu ya kupenda kujumuika na watoto kwenye mambo mbalimbali...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kwa kiongozi huyu, Taifa litashuhudia maafa kila siku

    Pius Msekwa alipata kusema kumvumilia kiongozi mbovu kwa miaka mitano ni bahati mbaya sana kwa Taifa na huenda taifa hilo likazama shimoni milele lisiinuke tena. Pale ambapo taifa limepata ajali ya kuongozwa na kiongozi asiye na karama/karisma maafa ya kila mara na yanayoacha kumbukumbu mbaya...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Body language.. Facial expression vinatambulisha mzigo mzito aliobeba moyoni

    Macho yanaongea .. Sura inasema.. The guilty are afraid...! Yaliyomo moyoni mwa mtu akishindwa kuyadhibiti hujitambulisha kwa uwazi kwenye macho na taswira kupitia sura yake! Furaha Huzuni Fadhaa Sintofahamu Maumivu Uoga Uongo Ukweli Bashasha Kimuhemuhenk Hali zote hizi huweza kutambuliwa kwa...
  4. Setfree

    JamiiForums Tanzania Duh, kama hizi ndio faida za bia/pombe, basi akili zetu zinahitaji "reforms"

    Duh, kama hizi ndio faida za bia/pombe, basi akili zetu zinahitaji 'reforms'" Kaa siti ya mbele, nikusimulie vituko na mikasa ya kweli iliyosababishwa na wanywa bia/pombe, halafu ujibu swali langu: "vituko na mikasa hii ndio faida za bia/pombe?" SEHEMU YA KWANZA(I) Visa na vituko vifuatavyo ni...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuzaliwa ni mzigo!: mzigo mzito sana ambao hakuna aliechagua kuubeba

    Sitakaa kuja kulaumu mtu kwa njia ya maisha aliochagua maana hata kama asingechagua wangemchagulia tu. LIFE'S A B+++H AND THEN YOU DIE.
  6. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Umewahi kutana na mtu ambaye mawazo yake muda wote yamekaa kingono tu?

    Katika safari ya maisha, mara nyingi hukutana na watu wa tabia tofauti, kila mmoja akiwa na changamoto zake. Wapo watu ambao mawazo yao yanaweza kuelekezwa kwenye masuala maalum kama kazi, familia, au maendeleo binafsi. Lakini pia wapo ambao, kutokana na sababu mbalimbali, maisha yao huzungukwa...
  7. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Hawa wazeee wa Yanga watahazarishe naona watabeshwa mzigo mzito

    Hapo vipi. Kwa mpira waleo siwashauri yanga wawelete wale wazee uwanjani watakuja kuwasababishia kisukari na presha. Kwa mpira wa leo waliocheza Simba dhdi ya APR ilyoifunga Yanga juzi bao 3 kwa 1 naona Yanga watapasulia kama mayai pale uwanjani
  8. Equation x

    JamiiForums Tanzania Nimeutua mzigo mzito jana usiku

    Nilikuwa kwenye mahusiano na dada mmoja mrefu (aliyenizidi), mwenye shepu yake. Kusema kweli, amejaliwa kwa kiasi fulani. Nimekuwa naye kwenye mahusiano kama miezi miwili hivi. Changamoto aliyokuwanayo, ili awe na hisia na wewe inabidi uwe mwepesi wa kutoa hela pale anapohitaji. Nimepambana...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Feminism imewaongezea Wanawake mzigo mzito zaidi kuliko walivyotarajia

    Anaandika, Robert Heriel Angalizo; lugha itakayotumika inaweza isiwe nzuri. Hivyo Kama ni mwepesi WA mihemko basi unashauriwa kuishia hapahapa. Endapo utaendelea kusoma, na ukapata madhara yoyote ya kihisia au kisaikolojia basi sitakuwa sehemu ya lawama. Nafahamu ili familia ianguke basi Mama...
Back
Top Bottom