mzee

An honorific is a title that conveys esteem, courtesy, or respect for position or rank when used in addressing or referring to a person. Sometimes, the term "honorific" is used in a more specific sense to refer to an honorary academic title. It is also often conflated with systems of honorific speech in linguistics, which are grammatical or morphological ways of encoding the relative social status of speakers. Honorifics can be used as prefixes or suffixes depending on the appropriate occasion and presentation in accordance with style and customs.
Typically, honorifics are used as a style in the grammatical third person, and as a form of address in the second person. Use in the first person, by the honored dignitary, is uncommon or considered very rude and egotistical. Some languages have anti-honorific (despective or humilific) first person forms (expressions such as "your most humble servant" or "this unworthy person") whose effect is to enhance the relative honor accorded to the person addressed.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Asante sana Mzee Warioba, umeongea kile ambacho CCM imeshindwa kuongea

    Mzee Warioba ameongea mengi ambayo sasa yamenukuliwa mitandaoni Aliyoongea CCM ya sasa haina ubavu wa kuyaongea kwa vile sasa CCM si chama cha wananchi, bali viongozi ambao hawafai kuitwa viongozi. Dondoo muhimu Serikali inahusika na mauaji Waliouwawa ni wengi hata kuliko waliouwawa vita ya...
  2. JamiiForums Tanzania Mzee warioba mpaka sasa anaona ilikuwa sawa kwa watu kuivamia nchi nzima kuharibu mali za umma na watu binafsi bila idadi wala ukomo

    Mzee huyu amewahi kuwa Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kwa nyakati tofauti. Mzee huyu alikuwa kiongozi wa ngazi ya juu wakati watanzania wanaandika Katiba hii ya sasa na hata wakati wanaifanyia mabadiliko Katiba ili kuwa ya vyama vingi. Wakati wote huo alikuwa na sauti ya kutoa mapendekezo yake...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Najaribu ku figure out Mzee Warioba na Samia waliongea nini?

    Picha zilitoka juzi wakionekana Ikulu. Katika hali ya mauaji yale , kweli waliigusia? Samia alijibu vile vile kuwa nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi Mze Warioba alimshauri nini? Lets guess!
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku, ulimuuliza Samia kwanini anamfunga Lissu?

    Najua utasema kuwa kesi iko mahakamani tusiizungumzie. Kesi ya uongo kabisa hata "mjinga" wa sheria analiona hilo! Umezungumzia waliouawa D29?Wanatendewaje haki? Umezungumzia utekaji? Mauaji? Nepotism? Wizi wa kura? Bandari? Mbuga zetu? Rasilimali zetu kuuzwa kiholela in general....etc etc...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba, Tahadhari: Huwezi Kugeuzwa kuwa Jiwe la Chumvi

    Umesimama vyema kabisa katika kupigania maslahi ya taifa hili kila mara, lakini umepuuzwa na kudharauliwa na hao hao wanaotaka sasa uwe dodoki la kufuta uchafu. Umekuwa ni sauti pekee iliyosalia ikisikika kushauri na kuonya juu ya mwelekeo mbaya linakoelekezwa taifa hili bila ya kukata tamaa...
  6. JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, nukuu/maneno haya yametolewa na mzee Warioba?

    Wakuu Katika pitipita zangu nimekutana na hizi kauli ambazo zimetolewa na Mzee Warioba ni kweli?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku elewa kuwa, Ili mshindi apatikane, ni lazima shindano liwepo, Oktoba 29 ilikuwa siku ya mauaji ya halaiki

    Nakusalimu Mzee, Ulichokisema siamini kimetokana na umri wako kuwa mkubwa kwamba unapoteza uwezo wako wa kuchanganua mambo. Ukimuuliza mtanzania yeyote mbali na Hawa wauwaji kwamba siku ya October 29,2025 kulikuwa na tukio Gani kubwa nchini? Utajibiwa kuwa, October 29 ilikuwa siku rasmi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Mzee Warioba ana hoja au viroja?

    Mzee Warioba mimi namuona kama Mzee mnafiki mkubwa anaetaka kurekebisha makosa yake kupitia Samia, Rais mwanamke mzanzibari. Kuna wakati namuona kama mzee ambae watu fulani wanamtumia vibaya kutaka kufanikisha agenda zao. Mzee Warioba anaonekana amepiga U-turn kutoka kwenye mrengo wa Ujamaa wa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba alikuwa na ujasiri wa kumwambia Samia kuwa hapa ulikosea alipokutana naye jana? Fanya moja mbili tatu?

    Jaji Warioba alikutana na Samia jana. Hatukuia walizunhumza nini. But.most likely ni mauaji yaliyotokana na uchaguzi bandia. Najiuliza walizunhumza nini na alikuwa na ujasiri wa kumwambia matakwa ya wananchi na chanzo kikubwa cha machafuki hayo ya 29 1. Katiba mpya 2. Tume huru ya uchaguzi 3...
  10. JamiiForums Tanzania Shutuma kutoka kwa Mzee wa Kizanzibari kuhusiana na vijana wa Kizanzibari kuzidisha anasa za mapenzi zinazovuka mipaka zina ukweli?

    Shutuma hii inawapa watu wengi maswali wakijiuliza anasa kwa vijana wa Kizanzibari imekithiri kwa kiwango gani hata kufikia kupeleka malalamiko mitandaoni Je haya yasemwayo ni kweli vijana wa Kizanzibari wanayafanya? Binafsi nawachukulia vijana wa kizanzibari kama watu wapole na wanyeyekevu...
  11. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Siasa; Mzee mseveni anataka Kufia IKULU?

    Jibuni swali langu
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania ina mzee mmoja tu kwa sasa

    GT Huyu ndo mzee pekee ambaye anaweza kusimama na kusikilizwa Lakini siyo hawa.
  13. JamiiForums Tanzania POTOSHI Mzee Butiku: #D9 "Maandamano yapo tutake tusitake"

    https://twitter.com/HildaNewton21/status/1996865619875258696?t=kTtbk6cA19VvLqGt_NKA-A&s=19
  14. JamiiForums Tanzania Hivi mzee kikwete ametoa pole?

    Huyu mzee hivi katoa pole yoyote kwa wahanga wa October 29?
  15. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mzee wa Upako: Wanaosema Rais Samia anakosolewa sababu Muislamu, wamefilisika kimawazo. Wajibu hoja, wasiingize mambo mengine

    Mzee wa Upako Anthony Lusekelo amewataka wanaosema kuwa Rais Samia anakosolewa sababu ni Muislam, wajibu hoja na siyo kuleta mambo mengine ya udini. Ameongeza kuwa Udini ni mbaya na haufai kwenye nchi yetu, huko tumeshavuka Lusekelo amesema, katika kura 98% alizopata Samia kuna kura za...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mzee unapokwenda kumsikiliza mtu aliyedhulumu uchaguzi, je ni haki?

    Tunaishi katika dunia iliyojaa unafiki na kila aina ya mabaya, yaani kweli hawa wanaojiita wazee hawajui kama uchaguzi haukuwa wa uhuru na haki? Hawajui kama kila siku watu wanapotea na kutekwa lakini serikali haichukui hatua yoyote? Hawajui kama watu waliuwawa siku ya maandamano? Kama...
  17. JamiiForums Tanzania Kuuliza SI ujinga, mwanahenzi Suluhu Hassa ni mdogo wa Rais Samia Suluhu Hassani?au Samia aliolewa kutoka Kwa Mzee Awadhi?

    Kuuliza sio ujinga, Huyu Mwanahenzi saluhu Hassani aliyeteuliwa nafasi ya ubunge vijana, kutoka zanzibari kuingia Bara ni mdogo wa Rais wetu mpendwa? Au ni miongoni mwa watoto WA Rais ila alimzaa kwa mume mwingine aitwae Suluhu hassani? Kuuliza SI ujinga naomba kuelemishwa
  18. JamiiForums Tanzania Mzee wa Mawe hana hata mwezi mmoja tangu achaguliwe kuwa bosi eti kashawamisi jirani zake, Michezo

    Huyu hata wiki tatu hana ofisini. Anajifanya kuwamiss majirani zake, michezo hii. Kuna muda anajaribu kujifanya kama Banza Stone lakini hafit kwenye maigizo yake. Mwambieni abadili script bhana, anachuja mapema
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nasaha za Mzee Kamara Kasupa kwa Samia

    KUNA MAMBO YAKIPOTEA HAYAWEZI KUREJESHWA. “KWANINI SAFARI HII HALIPO TENA GOLI LA MAMA WALA SIMU YAKE?” Naanza na kuwauliza washabiki wa Simba na Yanga, imekuwaje safari hii kusiweko tena simu itokayo kwa MAMA, inayowatia moyo wachezaji na washabiki na viongozi, ikionyesha kwamba kuna...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mzee mmoja alinisimulia kuwa zamani Idara ya Usalama wa Taifa (special branch) ndio ilikuwa inampangia Rais nani awe kiongozi

    Mzee huyu ni marehemu. Alifanya kazi na mwalimu Nyerere. Alisema kila suala linalohusu kiongozi ni special branch. Ilikuwa ikimpatia rais taarifa za mtu yoyote anayefaa kuwa kiongozi. Leo hii hakuna special branch. Kuna Tiss. Sidhani kama wanafanya kama enzi za Nyerere. Wangekuwa wanafanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…