mzee wa upako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    PostGE2025 Mzee wa Upako: Wanaosema Rais Samia anakosolewa sababu Muislamu, wamefilisika kimawazo. Wajibu hoja, wasiingize mambo mengine

    Mzee wa Upako Anthony Lusekelo amewataka wanaosema kuwa Rais Samia anakosolewa sababu ni Muislam, wajibu hoja na siyo kuleta mambo mengine ya udini. Ameongeza kuwa Udini ni mbaya na haufai kwenye nchi yetu, huko tumeshavuka Lusekelo amesema, katika kura 98% alizopata Samia kuna kura za...
  2. Just Pray

    PostGE2025 Mzee wa Upako: Nimeumia sana waumini wangu walipoteza maisha Oktoba 29

    Antony Lusekelo maarufu kama Mzee waupako afunguka mazito baadhi ya waumini wake kupoteza maisha kwenye maandamano ya October 29. "Niwape pole sana watanzania hakuna mtu ambaye hajaguswa na jambo hili, mimi mwenyewe kuna wanaumini wangu walipigwa risasi Kimara"
  3. Waufukweni

    Mchungaji Anthony Lusekelo (Mzee wa Upako): Hata mimi sikuwahi kufikiria kama tunaweza kufika hapa tulipo

    Mchungaji Antony Lusekelo maarufu kama Mzee wa Upako atoa ujumbe wa pole kwa watanzania kwa mauaji ya mamia ya raia siku ya uchaguzi Oktoba 29 na 30 nchini Tanzania, anasema hata yeye hakuwahi kufikiria kama tunaweza kufika hapa tulipo. Soma: Mchungaji Anthony Lusekelo (Mzee wa Upako) akiimba...
  4. The Magnifico

    GE2025 Mzee wa Upako: Tumeitia doa nchi yetu, tuangalie wapi tumejikwaa turekebishe, huu sio wakati wa kulaumiana

  5. Waufukweni

    GE2025 Mchungaji Anthony Lusekelo (Mzee wa Upako) akiimba Kazi na Utu, Mwezi wa 10 tunatiki kwenye uzinduzi Kanisa la Mwamposa

    Mchungaji wa Kanisa la Gospel Revival Center, Anthony Lusekelo, maarufu kwa jina la Mzee wa Upako, akiongea kwenye Uzinduzi wa Kanisa la Mwamposa
  6. R

    Mzee wa upako: Wakionewa watu wengine mnakaa kimya, hayatuhusu, leo mmeguswa unalalamika

    Wakiguswa wengine mnakaa kimya hayawahusu. Leo ni kwako nadhani utajifunza kitu hapa chini: Martin Luther King Jr. > Quotes > Quotable Quote (?) “Injustice anywhere is a threat to justice everywhere. We are caught in an inescapable network of mutuality, tied in a single garment of destiny...
  7. Just Pray

    Mzee wa Upako aibuka, awaka serikali kufungia makanisa, asema 'vile mnavyowavumilia wakatoliki na hao muwavumilie vilevile'

    "Nataka niongee na serikali, isitufungiefungie makanisa, mbona katoliki hawafungagi jamani. Mnatuzalilisha mbona hamfungi katoliki. Tumesikia juzi katoliki wametoa waraka mzito wameamuru muwaachilie wafungwa sijui ni na nini, mbona hamuwafungii makanisa yao. Akina Bagonza sijui wanasema maneno...
  8. mdukuzi

    Mzee wa Upako yuko sahihi, ukiishi Dar es Salaam ukafa masikini wewe ni mjinga

    Wote mnaoishi Dar es salaam huku mnalia maisha magumu ni mafala,aliwahi kusema Anton Lusekelo mzse wa upako Ukipita barabarani ni foleni za magari lakini wewe huna hata pikipiki we ni Majumba yote jiji zima lakini huna hata kiwanja wewe ni ...... Jiji lina watu milioni sita,ukibuni product...
  9. Exogenous Factor

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Ubungo Riverside karibu kwa mzee wa Upako, Kibangu Ruge-SQM 2700

    Habari,ninauza kiwanja kilichopo wilaya ya ubungo, Kata Makuburi, kipo karibu na kwa mzee wa Upako. Karibu Km 1.5 kutoka Mandela road. Ni mwendo wa dk 20 kwa miguu kutoka kituo cha daladala ubungo riverside. Kiwanja kina ukubwa wa SQM 2700, kimepimwa, kina nyaraka za serikali ya mtaa (Hati...
  10. T

    KERO Barabara ya Ubungo makoka kutokea Riverside kupitia kwa Mzee wa Upako inaenda miezi minne mpaka sasa hakijamalizika

    Wakuu kwenye hii barabara ya kwenda Ubungo Makoka kupitia kwa Mzee wa Upako, kuna kipande kama mita 300 kinaongezwa kwa kiwango cha lami inaenda miezi minne mpaka sasa hakijamalizika. Jamaa wakijisikia wanafunga barabara hamna gari kupita, njia mbadala ni milimani na ndogo magari hayapishani...
  11. Mindyou

    Kauli 6 alizowahi kutoa Mzee wa Upako ambazo zilileta taharuki nchi, anajua kucheza na muda kufanya atrendi

    Habari za asubuhi wakuu. Siku ya jana, Mzee Wa Upako yaani Mchungaji Anthony Lusekelo alitengeneza headlines nchini kufuatia interview alyofanya na Jambo TV Online ambapo alizungumzia upepo wa kisiasa ulivyo nchini ikiwemo ishu za utekaji, ukosoaji unaendelea dhidi ya Rais Samia na mengineyo...
  12. Waufukweni

    Anthony Lusekelo atoa msimamo mkali sakata la Chadema Mbeya

    Katika kipindi hiki cha vuguvugu la kisiasa nchini Tanzania, sakata la kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa Chadema waliokusanyika Mbeya Agosti 11, 2024, lilizua gumzo kubwa. Mchungaji Anthony Lusekelo, maarufu kama Mzee wa Upako, naye hakuachwa nyuma katika kutoa maoni yake kuhusu...
  13. Mindyou

    Anthony Lusekelo: Mtu amechana tu picha ya Rais, ametekwa

    Wakuu habari za muda huu. Uwanja wa siasa Tanzania umeanza kuchangamka na hii ni baada ya mchungaji maarufu kutoka Tanzania, Anthony Lusekelo maarufu kama Mzee Wa Upako kugusia sakata la Shadrack Chaula (24) kushtakiwa kwa kuchoma picha ya Rais Samia. Anthony Lusekelo: Tuache nchi ipumue...
  14. J

    Anthony Lusekelo: Hamna msemaji aliyefikia kiwango cha Haji Manara

    Mtumishi wa Mungu Anthony Lusekero (Mzee wa Upako) amefunguka jana Septemba 4, 2024 kupitia Global TV na kueleza kuwa mpaka sasa hakuna Msemaji aliyefikia kiwango cha Haji Manara.
  15. dr namugari

    Mzee wa Upako na Dudu Baya mmelidharau bunge la Tanzania

    Leo sijui kumetokea nn kwenye mitandao Ya kijamii yaani clipu fupi fupi za mzee wa upako na dudu baya wakitema nyongo zao juu ya bunge hili la spika Tulia Mzee wa upako yeye alifika mbali kwa ssa hivi yeye hawezi kupoteza muda wake kulitazama bunge hili , kwani wabunge waliopo hawajui lolote...
  16. S

    Kiboko ya wachawi kafanyiwa zengwe. Kama serikali iko serious iwafungie Suguye, Dr. Sule, Mwamposa, mzee wa upako, n.k

    Mimi ni miongoni mwa watu wanaozichukia sana hizi huduma za watu binafsi za kidini. Kama kweli wana hizo nguvu za kuleta utajiri, kuondoa magonjwa n.k basi wote wakusanywe uwanja taifa waombee watanzania wote wawe matajiri na wapone magonjwa yanayowasumbua. Suguye anakusanya kucha na nywele za...
  17. C

    Mzee wa Upako ni mkweli sana; ukweli unaoogopwa na viongozi wote wa dini ya Kikristo

    Nimekuwa nikimsikia huyu mchungaji Lusekelo maarufu kama mzee wa upako akieleza baadhi ya kweli zinazoongewa kwa mihemko na Wakristo wanafiki wanaokuwa mahakimu kuhukumu wengine wanaodhani ni wadhambi kwa jinsi wanavyolisoma na kulielewa neno. Nakubaliana naye kuwa kunywa pombe sio dhambi...
  18. Twilumba

    Mzee wa Upako: Ukikuta Mwanamke hana Bikira huyo sio mke wako

    Hii imekaaje wakuu, mbona km tumeoa wake za watu?
  19. Kipenzi Changu

    Mzee wa Upako: Kuoa wake wengi sio dhambi, katazo ni propaganda

    Amesema katazo la kuoa wake wengi ni propaganda za wazungu ambapo wao wapo tayari wanaume waoane lakini sisi kuoa wake wengi waone kosa. Ameongeza siku ya mwisho mwanaume mmoja atakuwa na wake saba.
  20. Baba Kisarii

    Mzee wa Upako: Malofa hawataingia mbinguni

    Huyu mzee asaidiwe. Inaonekana wazi kuna pepo la uzushi limeweka kambi kwa ubongo wa wake. Hivi huko Dar hakuna nabii mwenye upako kama wa daddy wetu pale kisongo hemani achukue jukumu la kumfungua na kumuweka huru mzee wa upako? Manabii wa Dar hemu acheni uvivu, kuna mtu anahitaji msaada...
Back
Top Bottom