Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Joseph Butiku, amewataka Watanzania kukubaliana na uhalisia kwamba nchi tayari ina Rais aliye tayari kwa maridhiano.
Butiku ametoa kauli hiyo leo Machi 4, 2026, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Maridhiano (Maridhiano Day)...
Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), imewataka Watanzania kuendelea kushikamana na misingi ya Taifa, hususan katika kipindi hiki ambacho nchi inatafakari matukio ya vurugu za Oktoba 29, 2025 kupitia Tume iliyoundwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan.
Hayo yameelezwa jijini Dar es Salaam leo, Alhamisi...
Mzee Butiku anaongea muda huu na wazee jijini Dar es salaam.
Aidha alizungumza kuhusu hali ya kisiasa nchini, akigusia masuala ya demokrasia na nafasi ya vyama vya siasa.
• Alitaja hoja kuhusu zuio la CHADEMA, akieleza mtazamo wake juu ya uhusiano wa CCM na tukio hilo.
2. Hoja Zilizojitokeza...
Akizungumza leo Januari 22, 2026 katika Mkutanao na wazee wa jiji la Dar es Salaam, Mzee Butiku amesitisha mkutano huo kurushwa mubashara akiwataka waaandishi wa habari kuwapisha na kwamba watarejea baadae kusikiliza maazimio ya mkutano huo.
Kwa muda mrefu Mzee Butiku alikuwa anaheshimika ndani ya CCM na vijana kwa ujumla. Ndani ya CCM aliheshimika kama mmoja wa waasisi na mlezi wa vijana. Pia viongozi wa CCM walikuwa wakienda kwake kupata ushauri katika mambo mbalimbali ya kisiasa ndani ya chama chao.
Kwa vijana Mzee Butiku...
Kwa kifupi Sana HOTUBA Yako na ajenda zako zote ulizoongea na waandishi WA habari hakuna hata Gen Z wa CCM amekuelewa, hujagusia suala lolote kuhusu hatma ya Taifa hili kwa Hawa Gen - Z ambao wanakabiliwa na changamoto lukuki ikiwemo ukosefu wa Ajira huku ukishindwa kuwakemea watawala...
Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile amemshambulia kwa maneno Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mwalimu Nyerere Foundation, Mzee Joseph Butiku, akimtuhumu kuonesha chuki dhidi ya aliyekuwa Balozi Humphrey Polepole, ambaye hivi karibuni kumeripotiwa sintofahamu juu ya alipo.
Mchungaji Mwakipesile...
Kile kitendo cha kueleza kuwa alikuwa anafanya mawasiliano ya kila mara na Humphrey ni circumstantial evidence kuwa huyu mzee anajuwa wapi alipopelekwa Polepole.
Kama walijadili juu ya Polepole kupinga uchaguzi kufanyika bila reforms.Waliongea juu ya Poepole kuacha kazi sababu ya maovu ya CCM...
Taasisi ya Mwalimu Nyerere (Mwalimu Nyerere Foundation) imeandaa mkutano wa mazungumzo kuhusu amani, umoja, haki na maendeleo ya watu, mkutano unaotarajiwa kufanyika Alhamisi ya Januari 22 mwaka huu (2026)
Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam leo, Jumatatu Januari 19.2025...
Najua utasema kuwa kesi iko mahakamani tusiizungumzie.
Kesi ya uongo kabisa hata "mjinga" wa sheria analiona hilo!
Umezungumzia waliouawa D29?Wanatendewaje haki?
Umezungumzia utekaji? Mauaji? Nepotism? Wizi wa kura? Bandari? Mbuga zetu? Rasilimali zetu kuuzwa kiholela in general....etc etc...
Nakusalimu Mzee,
Ulichokisema siamini kimetokana na umri wako kuwa mkubwa kwamba unapoteza uwezo wako wa kuchanganua mambo.
Ukimuuliza mtanzania yeyote mbali na Hawa wauwaji kwamba siku ya October 29,2025 kulikuwa na tukio Gani kubwa nchini?
Utajibiwa kuwa, October 29 ilikuwa siku rasmi ya...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Mzee Joseph Butiku, amesema matukio ya vurugu, uharibifu wa mali na vifo vilivyoripotiwa wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, yameitumbukiza Tanzania katika hofu na kupoteza misingi ya amani ambayo taifa...
Mnaweza mkadhani mna TISS Taasisi ya kujivunia
Sasa Idara kama TISS ambayo ni Jicho la Nchi, imejaa Machawa,
Wenyewe, Utendaji kazi wao UNATEGEMEA NGUVU TU .
Yaan ni mpaka wamkamate MTU A, wampe Kichapo mpaka awaambie MTU B Yuko wapi.
Mnaóna ya OKTOBA 29, Tuliwakamata BILA wao kutarajia...
We are Coming !!... wee siulisaliti Polepole , mtoto wako alokuamini sana !!.
Sasa , Polepole ataishi, ila wewe Utaulipia Usaliti huo.
Unataka kujifanya wee ni Msuluhishi mzuri eehh kuzidi wasomi na Ma Prof wa Nchi hii?, Unapenda Uenyekiti ?? Uenyekiti wa malupulupu??
Sasa nakuhakikishia...
Heshima uliyojijengea miaka 85 ya umri wako umeiharibu ndaninya dakila 10 za press yako.
Ulaaniwe milele na Nyerere akupige kofi huko aliko.
Nyote semeni AMEN.
Mkikaa kimya wakati kijana wenu katekwa, ina maana mmemsaliti. Na huenda nyie ndio mmetoa taarifa za uwepo wa Polepole TZ.
Hasa mzee Butiku, Watanzania tunafikiri Wewe ndiye umemsaliti Polepole. Na kimya chako kinazidi kutu fanya tuendelee kuamini hivyo.