mwingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kama mwanamke haoni shida kuacha familia yake kuja kuishi na wewe mwanaume, Vivyo hivyo anaweza kukuacha na kwenda kuishi na mwanaume mwingine.

    Wakati unafurahia mke wako kuacha familia yake kuja kuishi na wewe, Ulisahau kwamba ana uwezo wa kukuacha hata na wewe. Ulileta hisia zako na mkeo akaleta hisia zake mkapendana na kuamua kuishi pamoja, ila ulisahau kwamba hisia huweza kuisha muda wowote ukaachwa mchana kweupe (in a day broad...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna ujinga mwingine hata kuuleta kwenye jamii unaona niujinga pia

  3. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, muda mwingine sisi wenyewe tunawapa nafasi maadui zetu watudhuru

    Habari za jumapili wadau? Tunaishi kwenye jamii ambazo hazipendi kuona wengine wakifanikiwa. Wengi wetu tumekuwa tukipenda kuweka wazi mipango yetu, hasa kwenye social network, WhatsApp, insta etc. Sijui lengo huwa ni nini? Kuwaringishia wengine au kuwahamasisha wengine. Nina mkasa wa rafiki...
  4. JamiiForums Tanzania Wardrobe ya Nama mbona wakati mwingine inakosa standards!

    Mimi Jidu ni mnazi wa Mama Samia, ila kwa safari ya Addis Ethiopia, wardrobe imekosa viwango. Wapambe wa mama mkoje lakini? Sare alizovaa mama hapa haziko Diplomatic na utafikiri anaenda kitchen party! Mjue kwamba mama ni kioo cha watanzania wote. Ref Daily News front page.
  5. JamiiForums Tanzania Muda mwingine unapokuwa unahitaj extra motivation chukua picha yako ya utotoni, then iangalie kwa kina huku uki-reflect kwa kina jambo linalokusumbua

    The goal haswa ni kukujenga katika upya maana utoto unafanania na una respresent mwanzo. Jiulize huyu dogo naemuona hapa angefanya unyama huu naotaka kufanya? Jiulize hivi huyu dogo namtendea haki kweli yeye na wale waliomlea kwa hatua hii ndogo niliofika? Jiulize hivi huyu dogo angejua kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Huu ni ufisadi kama ufisadi mwingine

    Wasalaam. Kuna taarifa kwamba ccm wamechukua baadhi ya mabasi ya yutong yalioagizwa kwa ajili ya jeshi la Tanzania na kuyapaka rangi ya kijani na kuwa mali ya ccm. Huu ni wizi km wizi mwingine ambao ccm wamekua wakiibia taifa hili. Pia wameenda mbali na kupora baadhi ya pikipiki za misafara na...
  7. JamiiForums Tanzania Wakati mwingine tunachukiwa na watu kwasababu hawakupenda tuwe hivi leo

    Wakati mwingine wanakuchukia kwasababu unavyopendwa na unakuubalika kwa watu au na mtu fulani hapo kazini/ofisini au ulipo Yawezekana kwasababu ya connection hizo ulizonazo na namna unavyoitwa kila mahala. Yawezekana wanakuchukia kwasababu ya kipawa, neema au uwezo ulionao mkubwa kiasi kwamba...
  8. JamiiForums Tanzania Wakati mwingine, wengine huchukulia wema na matendo mema kuwa ni haki yao na sio ukarimu kutoka kwako

    Mwanaume alikuwa na kawaida ya kumpa ombaomba mmoja Shilingi milion moja kila mwezi. Mtu huyo aliendelea kufanya hivyo kwa muda Sana.. Sasa Siku moja, akampa ombaomba shilingi laki saba na nusu pekee. Ombaomba yule alishangazwa na hilo, lakini akajisemea, 750,000 ni bora kuliko kukosa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, ni mwanamke gani mwingine anafaa kuwa Rais baada ya kupata mwongozo kutoka kwa Rais Samia?

    Wakuu nimeona Hawa Gasia - Mjumbe wa Kamati ya UtekelezajI UWT akieleza kuwa baada ya Rais Samia aje tena Rais mwanamke. Kupata taarifa na matukio kuelekea uchaguzi mkuu 2025 kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea...
  10. JamiiForums Tanzania Wizi mwingine wa mitandao ni makampuni ya simu kukata bando lako kwa kuhesabu SMS zilizoingia

    Kuna hili jambo limekuwa linanitatiza kwa muda mrefu. Mimi siyo mtumaji sana wa SMS, unakuta napata SMS 100 au zaidi katika bando la mwezi. Unashangaa mwezi haujafika wananiambia SMS zangu zimeisha wakaki najua kabisa sijatuma idadi hiyo ya SMS ndani ya muda huo. Njia pekee ya kufikisha...
  11. JamiiForums Tanzania SnapTube ni software nzuri Kwa watumiaji wa simu na waoenzi wakupakua videos za YouTube na mitandao mwingine ya kijamii.

    Habari, maelekezo hapo juu yanajieleza vyema. Wawezaipata app store.
  12. JamiiForums Tanzania Unatumia kwa muda gani gari unayomiliki kabla hujaiuza au kumwachia mtu mwingine?

    Wakuu unatumia kwa muda gari unayomiliki kabla hujaiuza au kumpa mtu mwingine? Je ni mwaka 1 au miaka 2, 3, 7, 10?
  13. JamiiForums Tanzania Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwa

    Wanabodi, Hii ni barua ya wazi ya mtu akimuandikia Dada yake. Japo Dada yake huyo ni mtu mzima, ameolewa na ana watoto, hivyo kwa watoto wake wanamwita Mama na ana wajukuu ambao wanamwita Bibi, lakini kwa sisi wa rika lake, wale watu wa 60s, huyu kwetu ni dada yetu mkubwa!, hivyo hili ni...
  14. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Chadema kwa viongozi wa kitaifa hautakua na amani, utagubikwa na vurugu na rushwa zaidi ya ule wa Bavicha na Bawacha, utahairishwa.

    Kwa hali ya uhasama ilipofikia baina ya wagombea wenyewe, lakini pia hali ya uhasama na uadui wa kweli kabisaa baina ya wafuasi wa wagombea uenyekiti wa Chadema Taifa. Posho na malipo ya kujikimu kwa wajumbe inaweza kua chanzo cha fujo kwenye uchaguzi huo. Ni dhahiri, ustahimilivu umefikia...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wenye matatizo ya nguvu za kijinsia huwa wakali mno na wakati mwingine wanakua wanyonge na wenye mfadhaiko sana?

    Kwa mfano pakiwekwa mada au pakianzishwa mjadala unaohusu matatizo ya nguvu za kijinsia, udhaifu katika tendo la ndoa, matatizo ya afya ya uzazi, magonjwa ya zinaa, athari za punyeto na mambo mengine yanayofanana na haya, Mtu huyo anakua mkali sana au anajifanya mtakatifu mno na kwamba...
  16. JamiiForums Tanzania Kuoa mwanamke aliemaliza chuo kikuu ni sawa na kutumia kondomu iilitumika na mtu mwingine

    Wanachuo wanatumika zaidi ya madada poa ni wajuaji, wabishi na wajeuri now days wanajiita feminist ni uchafu mtupu. Ona Binti wa kidato Cha nne au aliemaliza darasa la Saba inatosha. Utapata mke wa kulea watoto wako na kupata malezi Bora Wanachuo wa kike ni takataka
  17. JamiiForums Tanzania Mtu auawa kijijini Kenya kwa tuhuma ya kumtaka mke wa mwingine.

    Hizi habari za siku sita zilizopita. Imetokea Mfukoni location,sub section Kinoru. Huyu mtu Musanga amemkata shingo Bwana Muthomi kwa kuthubutu kumfuata mke wake Linat Karemi. Amemkata shingo mpaka kichwa kikawa kinaning'inia tu. Sasa,I don't want to discuss the adultery. I just want to discuss...
  18. JamiiForums Tanzania Si lazima kila Ukweli usemwe, ukweli mwingine is FYE only! Uzalendo wa kweli ni pamoja kuwa na Kabbah, unahifadhi ukweli kifuani mwako, unakufa nao

    Wanabodi Makala yangu Gazeti la Mwananchi la Jumatano hii. TAAMULI HURU: Si lazima kila ukweli usemwe hadharani Jumatano, Januari 08, 2025 By Paschal Mayalla Japo makala zangu zinajikita zaidi kwenye mada za kikatiba, kisheria na haki, lakini mara mojamoja pia ninaingia kwenye mada za kisiasa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi Chadema: Mbowe anasema wapigaji kura watahojiwa mmoja baada ya Mwingine

    Akihojiwa na Kikeke nimemsikia Mbowe akisisitiza kwamba wapiga kura wataitwa mmoja mmoja na kuhojiwa hadharani (live) katika Kumchagua Mwenyekiti Mpya. Binafsi nadhan hiyo sio sawa, wangepiga kura za Siri na baada ya hapo ndio kura zihesabiwe live, hili kuepuka intimidation kwa wapiga kura...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Familia ya Magufuli ipo kwenye msiba mwingine mzito, hivi mnajua kile kinaenda tokea...

    Naandika kwa uchungu sana kiukweli nimesikia machozi nikiamini hakuna cha bahati mbaya ila walio panga wamefanikisha mpango wao japo hawakujuwa nini kitatokea. Simlaumu Kabendera ila nataka kuamini Kabendera hayupo peke yake kwenye hii nikazi nzuri sana ilio pangwa ikapangika. Inaweza ikawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…