mwigulu

Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Iramba West constituency since 2010.In December 2015, he was appointed as the Minister of Agriculture, Livestock and Fisheries.
In July 2018 he was sucked down by Magufuli due to poor performance as the Minister of Home Affairs

View More On Wikipedia.org
  1. Makamba na Mwigulu wasubiri 2030, mimi nitagombea Urais 2025 kupitia CCM na naamini nitashinda

    Katiba ya chama chetu haisemi kwamba tusitie nia au tumuachie aliyepo bila kumpa changamoto yoyote! Hapana! Tutashindana ili tumpate aliye bora! Mimi sitasubiri 2030, nitapambana na Samia 2025 ili demokrasia iamue! Sitafanya kama ambavyo Makamba na wengine wanaoshauriwa kwamba wangoje 2030...
  2. Tetesi: PhD aliyopewa Mwigulu Nchemba ipo kwenye hati hati ya kufutwa

    Tumelalamika muda mrefu kuwa kuna PhD zinatolewa kwa baadhi ya wanasiasa wa Tanzania, kama njungu kupitia vyuo vikuu vya Tanzania Kuna tetesi kuwa East Africa university quality assurance wanatarajia kuifuta PhD ya Mwigulu Nchemba baada ya kuonekana kukopy andiko la mtu mwingine. Vyanzo...
  3. Ni Makamba au Mwigulu ambao wameanza kumtesa Mama?

    Chalamila anaropoka ambayo ametumwa. Haya mambo tunaomba sana. Mwacheni Rais jamani. Huyu ataendelea kuwepo mpaka 2030 so mnaoanza kutaka kufanya mchakato komeni kabisa. Chalamila anatumika kufikisha ujumbe kwa watu. Bahati nzuri mama yeye hawezi zungumza sababu ya upole na hapendi maneno...
  4. Waziri Mwigulu tusamehe bure, kumbe tozo ni maamuzi ya serikali si yako wewe kama waziri

    Yale maombi mabaya mabaya wanayokuombea watu kwenye mitandao nina imani yatakupitia mbali, maana siyo kwa laana zile unazotupiwa. Naamini tozo zingekuwa ziko ndani ya uwezo wako ungekuwa umeshazifuta kwa hizi kelele, ila kumbe umefungwa na "Collective Responsibility".
  5. Mwenyekiti BAZECHA: Mwigulu Nchemba ni mwizi, tapeli na fisadi namba one

    Ni kumchana live tu. Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA amesema uzalendo sio kuvaa tai ya bendera. Amemwambia Dr. Mwigulu Nchemba asiwadanganye raia kwa kuvaa bendera na kumtuhumu kuwa yeye ndiye mwizi na fisadi namba moja nchi hii.
  6. S

    Mwigulu tunaomba utekelezaji wa kodi ya kichwa uanze mapema iwezekanavyo pengine ndio Watanzania tutazinduka

    Mtanisamehe! Kwakuwa sisi watanzania ni watu tusioweza kuungana kupinga jambo linaloumiza wachache, naomba makali yo tozo yaendelee na zaidi kodi ya kichwa ianze kukusanywa kwa vitendo. Wapinzani waliteswa na kunyanyswa sana lakini kuna wenzetu walikuwa wanabeza Kwakuwa hayawahusu na...
  7. Mwigulu Akiendelea kuwa waziri Basi ndie Rais ajae tutake tusitake. Atakuwa na timu Bora na zaidi ya Tillion 2 kibindoni

    Wanaomchukulia Mwigulu kirahisi rahisi wanakosea Sana. Siwezi zungumzia uadilifu wake lkn najua anavyojua kusaka pesa akiwa kwenye mamlaka. Alipokuwa naibu tu Wizara ya fedha kwa miaka 2 tu aliunda pesa za kutosha. Mwaka 2015 Akaanza kampeni za uraisi kirahisi Sana. Akalipia matangazo ya redio...
  8. S

    Kwa maelezo ya Mwigulu kuhusu trilion 360, maneno ya Tundu Lissu yametimia

    Tundu Lissu alisema bungeni kuwa kazi ya kamati ya makinikia ilioundwa na rais Magufuli ya prof. Osolo na prof. Mruma ni professorial rubbish. Alimaanisha kuwa haina maana yoyote na haitakuwa na matokeo chanya. Alishauri turekebishe kwanza sheria zetu, tujitoe kwenye baadhi ya mikataba ya...
  9. R

    Kwa AIBU hii ya TRAB na TRAT ya Mwigulu, yafuatayo yanawezekana kutokea

    1. Hii aibu ya Mwigulu na Tax Revenue Appeals Board (TRAB) and Tax Revenue Appeals Tribunal (TRAT) haya natabiri yanaweza kutokea 1. Kuondoa bunge live kuwaepusha na aibu CCM na wateule wa Rais na serikali kwa ujumla maana huyu siye wa mwisho. 2. Mwigulu anaweza kutemwa kama kutakuwa na...
  10. M

    Serikali yakiri kuachana na madai ya Tsh. Trilioni 360 za Makinikia

    Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa ufafanuzi kuhusu wapi zipo shilingi trilioni 360 zilizopo kwenye mashauri ya madai 1,095. Waziri Nchemba amesema, kuna jumla ya mashauri 400 katika mabaraza ya rufani za kodi (TRAT) yenye thamani ya shilingi trilioni 4.2 na dola za Marekani...
  11. M

    Mpina ataka kumuumbua Waziri Mwigulu bungeni, apatwa na kigugumizi, Spika ambana "mi sielewi"

  12. Mwigulu anafanya kilekile alichokikataa kwa wenzake

    Lewis E. Gleeck Jr, ni mtumishi wa zamani wa Idara ya Mambo ya Nje, Marekani. Baada ya kustaafu, akiwa amelitumikia taifa lake kwenye nchi mbalimbali duniani, aliweka makazi yake Ufilipino, akifanya kazi na Shirika la Marekani la Misaada (USAID). Katika maisha yake, Gleeck aliandika vitabu 14...
  13. M

    Mwigulu ameondoa tozo wa Wafanyabiashara, Viongozi na Watumishi wenye mishahara mikubwa si, Wananchi masikini

    Waziri wa fedha Mwigulu alichokifanya ni kuwahadaha Watanzania maskini ambao asilimia kubwa hawatumii Benki wanatumia mitandao ya simu kufanya miamala. Kwahyo sijajua Wabunge wanakazi gani kwa huu ujinga aliofanya Waziri.
  14. Mwigulu: Kodi ya pango itakusanywa na TRA

    “Kodi ya pango itakusanywa na TRA” Mwigulu" Waziri wa fedha na Mipango, Dr. Mwigulu Nchemba amesimama Bungeni leo September 20, 2022 na kutoa kauli ya Serikali kuhusu tozo ambapo ameeleza marekebisho yatakayofanyika a kuanza kutumika kuanzia October 1, 2022. Waziri Mwigulu amesema “Serikali...
  15. A

    Rais Samia Suluhu Hassan, muondoe Mwigulu

    Naandika kwa heshima taadhima kabisa kukuomba umuondoe katika wizara ya Fedha Phd Mwigulu Mchemba. Ukijaribu kuona huyu bwana ameweza kukuingiza mkenge mara mbili kwenye suala la tozo. Mwaka jana alichomeka tozo zikaja kufanyiwa adjustment ambayo inaathiri bajeti na hivyo kupelekea mipango...
  16. Mwigulu Nchemba: Tumefuta baadhi ya tozo, nyingine tumepunguza kwa asilimia 10-50

    Akizungumza leo bungeni, Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba amesema uongezwaji wa wigo wa kukusanya mapato kupitia tozo uliibua malalamiko kwenye jamii, hivyo Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi iliagiza upitiwaji upya wa tozo hizi na kuzingatia maoni ya wananchi. Marekebisho yafuatayo...
  17. Clip Mzungu asemavyo kuhusu Afrika na Kodi. Mwigulu njoo uone

    Habari ndiyo hiyo Mwenye masikio na asikie. Jamaa wanatujua hadi wanatuonea huruma
  18. Mjadala: Upinzani utaanzaje kujipanga kwa uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024 na hatimae uchaguzi mkuu wa uraisi wa 2025 ndani ya mazingira magumu?

    Lengo la mada hii ni kuona wale wapenda demokrasia na siasa za kweli wakijongea hapa na kushusha nondo na madini mbalimbali katika kufanya kitu chitwa "brain storming". Katika muktadha huo basi, tutaweza kuangalia sera za chama cha CCM ambacho ndicho chaongoza serikali ya Tanzania kwa sasa na...
  19. Mwigulu Nchemba: Mfumuko wa bei utashuka na bidhaa zitashuka. Asema mafuta yalipandisha bei

    Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba amesema tunakoelekea bidhaa zinaenda kushuka bei kwasababu zilipanda kuitikia kupanda kwa bei ya mafuta. Mwigulu amesema mafuta yamepungua kwa zaidi ya Tshs 400. Mwigulu anaamini kwa jitihada za Rais Samia kuweka bilioni 100 kila mwezi itazidi kupunguza bei ya...
  20. CHADEMA yataka Mwigulu ajiuzulu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekoleza moto kuhusu kilio cha tozo za miamala ya kielektroniki huku kikitaka Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba kuachia ngazi au atumbuliwe. Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema kutokana na suala hilo kuzidi kulalamikiwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…