mwigulu

Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Iramba West constituency since 2010.In December 2015, he was appointed as the Minister of Agriculture, Livestock and Fisheries.
In July 2018 he was sucked down by Magufuli due to poor performance as the Minister of Home Affairs

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Wananchi jimboni kwa Mwigulu wapaza sauti kuomba msaada wa barabara

    Wananchi wa Jimbo la Iramba hususan wakazi wa Maeneo ya Kinampanda na maeneo jirani tulamlalamikia mbunge wetu Mwigulu Nchemba kwani barabara za vijijini ni mbaya sana na hazipitiki hasa kipindi hiki cha mvua. Mfano mdogo barabara ya kuingia Kituo cha Afya Kinampanda imejaa utelezi haipiti...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhakika wa Mwigulu Nchemba kurudi Iramba?

    Baada ya kufuatilia kwa kina siasa za kimajimbo na kuangalia nyadhifa za kiwaziri nikagundua kuwa tangu kuanze kwa utawala wa kibunge ni Mbunge mmoja tu aliwahi kushika nafasi ya ubunge kwa miaka 2o Jimbo la Iramba - na hasa Iramba Magharibi ambaye ni aliyewahi kuwa Waziri wakati wa kipindi cha...
  3. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba Amshukuru Rais Samia Kwa Kuridhia kuwapatia Wachimbaji Wadogo Leseni

    Waziri wa Fedha, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuridhia ombi na kuwapatia leseni 28 wachimbaji wadogo wanaofanya shughuli zao katika mgodi wa dhahabu wa Sekenke One...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu, kwanini Serikali ikope Trilion 6 kufadhili budget ilhali DP World wapo?

    Salaam, Shalom!! Wakati tukiendelea na maigizo ya kijana wa chama Fulani, Wananchi makini, wazalendo tusiokubali KUCHUKULIWA na upepo wa maigizo tumeendelea kuangalia Kwa makini ISSUES nyeti katika Nchi yetu. Tulipokuwa tukichangia thread iliyosema : "Bandari, ardhi na maliasili zetu ni Mali...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Madiwani Tanzania nzima hawazitaki mashine za kamari za kichina ila Serikali kuu chini ya Mwigulu inaziruhusu

    Leo hii mtoto akitumwa to sokoni lazima aingie chocho kucheza bonanza akiliwa ndio hivyo tena. Leo hii Walimu wamegeuza mashine za kamari za kichina kama sehemu ya kuongeza kipato wanaliwa mpaka inakuwa kero. Kila halmashauri hapa nchini madiwani wanajadili namna ya kuziondoa hizi mashine...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Tunatazamia kuwakopesha Wafanyakazi wenye sifa Magari ili kupunguza Matumizi ya Serikali

    Serikali iliwahi kusema inatumia Bil.550 Kwa mwaka Kuagiza magari, vipuri, mafuta na matengenezo Kila mwaka. -- Akijibu swali la Mbunge Asia Abdulkarim Halamga aliyehoji sababu za Serikali kutumia Wakala wa Huduma za Ununuzi Serikalini (GPSA) ambaye ananunua Magari kwa gharama kubwa kuliko bei...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu, Makamba na Mbarawa hawahusiki na ufisadi

    Mawaziri Mwigulu Nchemba, January Makamba na Makame Mbarawa wanasingiziwa kuhusika na ufisadi kupitia ripoti ya CAG lakini ukweli ni kwamba viongozi hawa wanasingiziwa na hakuna uthibitisho wowote wa wao kuhusika na ufisadi. Hivyo tuwaache wafanye kazi walioaminiwa na Rais tusilazimishe...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Mwigulu atangaza bungeni kukopa Trilioni 6

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali inatarajia kukusanya na kutumia jumla ya shilingi trilioni 47.424 katika mwaka 2024/2025. Dkt. Nchemba amesema hayo Bungeni jijini Dodoma wakati akiwasilisha Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mpina ataka mdahalo na Mwigulu ufisadi wa Trilioni 30

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameomba kufanya mdahalo na Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba live kwenye Televisheni kuzungumzia kashfa ya ufisadi wa Trilioni 30 alizochambua kutoka ripoti ya CAG ili kukata mzizi wa fitna. Mpina alisema wakati anachangia ripoti ya CAG, Waziri Mwigulu...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu akikata mauno baada ya Yanga kushinda 5

  11. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Serikali itakopa Tsh. Trilioni 8.69 kwaajili ya Bajeti ya mwaka 2024/25

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema serikali inatarajia kukusanya na kutumia TZS trilioni 47.4 katika bajeti ijayo. Mapato ya ndani yanatarajiwa kuwa TZS trilioni 34.4, washirika wa maendeleo wanatarajiwa kuchangia TZS trilioni 4.29 na mikopo ni TZS trilioni 8.3. Mwigulu amesema hayo...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu asema Nchi haiwezi kupigwa Tsh. 30 Trilioni wakati Bajeti yetu haivuki Tsh. Trilioni 50, Mpina asema Waziri hajui lolote

    Mbunge Mpina asema hii nchi inapigwa kila kona na zaidi ya Tsh. 30 Trilioni zimepigwa na nyingine zimesafirishwa/ kutoroshwa nje ya nchi. Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba PhD amesema anachosema Mpina hakiwezekani kwa sababu Bajeti ya nchi haizidi tsh 50 trilioni. Mpina ameomba Waziri Dr...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Ni marufuku kwa TRA kufunga Maduka

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema kitendo cha maofisa wa Mamlaka ya Mapato (TRA), kuwafungia maduka wafanyabishara wadogo ni changamoto inayochochea kuwepo kwa uingizwaji holela wa bidhaa za magendo nchini. Nchemba amesema hayo jana Jumatatu Oktoba 2, 2023 wakati akizungumza na wananchi...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba na Kitila Mkumbo waungana "eti" ili kuondoa ushindani jimbo la Iramba

    Hii ni ajabu sana. Hivi majuzi eti Dkt Mwigulu aliamua kuzindua ujenzi wa barabara kutoka Sepuka hadi Ndago ili kuunganisha na Kizaga - pale junction ya barabara Kuu iendayo Magaharibi - Tabora na Shinyanga. Wakiwa katika uzinduzi huo Dkt Kitila akajinadi kuwa hawana tena siasa za majitaka kati...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Dola sio hela yetu kwani hatuizalishi wala Hatuprint. Tuna akiba ya Dola Bilioni 5.2

    Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amezungumzia kuhusu Mjadala wa Dola kuadimika unaoendelea Nchi. Amesema watu inabidi watambue kwamba Dola sio hela yetu bali tunaipata pale tunapopata Mkopo, Msaada, tunapouza bidhaa ama Huduma nje ya Nchi ndo tunapata Dola. Sera za kifedha za Marekani...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mawaziri hawa watano utumishi wao haujatukuka

    Wana Bodi, Kuna Mawaziri 5 ambao sina uhakika sana na rekodi zao katika Utumishi wa Umma hivyo mambo mengi yanayohusu Public Fund hawayajui na wanadhani wakiwa Mawaziri wanaweza kufanya maamuzi yoyote kuhusu fedha za Umma bila kufuata sheria za nchi. 1. Mwigulu Nchemba sijui rekodi yake kama...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba yuko wapi anguko la Dola?

    Daktari wa Uchumi, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba alijitapa bungeni kuwa Dola zipo za kutosha na hakuna tatizo la Dola na kwamba yeye ni Mbobevu wa Uchumi watanzania wasiwe na mashaka naye wanaweza kujadili mambo ya uganga wa kienyeji tu. Leo Dola zimepotea Waziri yuko Kimya.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mkulima aliyewaburuta Kortini Mbarawa, Mwigulu, Makamba ufisadi Ripoti ya CAG kuunguruma mkutano wa Bandari leo

    MKULIMA aliyeshtaki kina Mwigulu, Makamba na Prof. Mbarawa kuhusiana na ufisadi uliotajwa na CAG atakuwa ni miongoni mwa watanzania wazalendo watakaohutubia mkutano mkubwa wa kupinga kuuzwa bandari kwa mwarabu.
  19. JamiiForums Tanzania Kwa maslahi mapana ya watumishi wa Umma Mwigulu, Jenista Mhagama na Ndalichako watoke kwenye Baraza la Mawaziri

    Kumbuka hawa wote ndio walikuwa kwenye awamu iliyopita, awamu ambayo ilikua ni laana kumuongezea mtumishi mshahara au kumpandisha daraja. Kwa miaka 7 waliyokaa ilikua michungu Sana. Pamoja na nia njema ya mama kwa wafanyakazi lakini naona wazi wazi watu niliowataja hapo juu, nia njema hii ya...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sisi tunalumbana kuhusu Bandari, wenzetu wanatumia fursa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule Ikulu jijini Dar es Es Salaam leo tarehe 14 Julai, 2023 RAIS SAMIA: SISI TUNALUMBANA KUHUSU BANDARI, WENZETU WANATUMIA FURSA Rais wa Samia Suluhu Hassan ameyasema hayo wakati wa kuwaapisha viongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…