mwezi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mwezi mtukufu wa Ramadhan ndio maisha ya kuishi kila siku

    Kila inapofika mwezi wa Tisa kwenye karenda ya Kiislam (hijria), Waislam ulimwengu mzima uingia kwenye mfungo wa Ramadhani. Huu ni mwezi ambao, tumefaradhishiwa Swaum na MwenyeziMungu kama tunavyosoma kwenye aya hii: "Enyi mlioamini mmelazimishwa kufunga (swaumu) kama walivyolazimishwa...
  2. U

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia atenga siku moja kila mwezi kusikiliza kero za watanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kutenga siku moja kwa kila mwezi ili kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi kero za mwananchi mmoja mmoja "Amefanya hivyo kwa sababu kuu tatu moja ni kuwafanya viongozi wengine wawe na tabia ya kusikiliza kero za Wananchi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa nchi analipwa shilingi ngapi kwa mwezi?

    Habari zenu wakubwa, Hivi mama samia anakunja shilingi ngapi mwisho wa mwezi? Maana usikute tunamlaum bure kumbe mshahara tunaomlipa ni kiduchu.
  4. JamiiForums Tanzania Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

    Kwema Wakuu! Kuna aina tatu za Maskini. 1. Maskini wa kutupwa (Fukara) 2. Maskini wa kawaida 3. Maskini aliyechangamka. 1. Maskini Fukara Maskini Fukara hili kundi ni wale Watu ambào kula yao ni mshikeshike, hawana pakuishi, yaani hawa ndio huitwa hohehahe. Hawa kwa asilimia kubwa wamekata...
  5. JamiiForums Tanzania Bashungwa Atoa Mwezi Mmoja kwa Wahandisi Wote Nchini Kuwa na Leseni

    BASHUNGWA ATOA MWEZI MMOJA KWA WAHANDISI WOTE NCHINI KUWA NA LESENI. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewataka Wahandisi na Washauri elekezi wote nchini kuhakikisha wanakuwa na leseni zinazowapa uhalali wa kufanya kazi za kihandisi nchini ifikapo tarehe 31 Machi 2024. Amesema hayo...
  6. JamiiForums Tanzania Bashungwa: Mitambo Yote na Wataalamu Wawe Site Ndani ya Mwezi Mmoja - Mlimba

    BASHUNGWA: MITAMBO YOTE NA WATAALAM WAWE ‘SITE’ NDANI YA MWEZI MMOJA - MLIMBA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa mwezi mmoja kwa Mkandarasi wa Kampuni ya M/s Henan Highway Engineering Group Co. Ltd, inayojenga barabara ya Ifakara-Kihansi (km 124) Sehemu ya kwanza Ifakara-Mbingu (km...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya kati Tanzania ajira zake hutolewa mwezi gani kila mwaka?

    Naomba kuuliza ajira za vyuo vya kati huwa wizara wanatoa mwezi gani kila mwaka.
  8. JamiiForums Tanzania Serikali iache kunyanyasa watumishi, Mfumo wa PEPMIS hauna uhusiano na mshahara wa Mtumishi alioufanyia kazi mwezi mzima

    Nashindwa kuelewa hawa viongozi huwa wana tumia akili gani katika maamuzi yao. Msidhani kila mtu anaishi mtumba hapo dodoma muwe mnafanya tafiti za kina kabla ya kuleta hiyo mifumo yenu kwanza. Mfumo wenu unahitaji angalau 3G au H+ Internet speed ili angalau ufanye vizuri wakati huo kuna...
  9. JamiiForums Tanzania Dkt. Doto Biteko: Mradi wa JNHPP unatarajiwa kuingiza Megawati 235 katika Gridi ya Taifa mwezi huu

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, leo Februari 19, 2024 amewasili mkoani Mbeya kwa ziara ya kikazi mkoani humo. Ziara hiyo pia itahusisha ukaguzi wa miradi mbalimbali ya umeme mkoani humo. Akiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe, Dkt. Biteko amepokelewa...
  10. JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Bunge linataka mgao wa Umeme mpaka Juni uishe

    Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson, amesema kuwa Bunge limewapa Tanesco muda kufikia mwezi wa sita mgao wa umeme uwe umeisha. "Wacha tuipe serikali muda, kwa maana ipi wao walijipanga mwezi wa sita (shida ya umeme kuisha) wakarejesha nyuma mwezi wa pili...
  11. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Nishati: Mgawo wa umeme nchini utaisha mwezi wa tatu

    Mradi wa umeme wa Julius Nyerere ni moja ya mradi unaotekelezeka kwa weledi mkubwa sana, sote tunajua mwezi wa sita mwaka huu ndiyo tulitegemea kuwasha mtambio namba 9 kwa mara ya kwanza lakini kwa jitihada za serikali na wakandarasi tuliweza kusogeza ratiba za kuwasha mtambo huu hadi mwezi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Netanyahu apata kiwewe cha vita.Ataka vita vimalizike Rafah kabla mwezi mtukufu wa Ramadhani

    Mashinikizo ya vita yameanza kumuelemea waziri mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu na kuanza kuona dalili mbaya mbele yake. Marekani mbali na kutofautian naye katika sera za kivita vile vile imesimamisha misaada kifedha katika wakati ambapo uchumi wa Israel unadidimia kiasi kwamba bondi za miamala...
  13. JamiiForums Tanzania Kama unasumbuliwa na vidonda vya tumbo nitakutibu ndani ya mwezi mmoja

    Kama unasumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu bila nafuu, Nina tiba ya asili itakuponesha ndani ya mwezi mmoja tu, kama ulikuwa Hulu baadhi ya vyakula utakula Kila kitu na mabadiliko utaanza kuyaona ndani ya wiki moja tu baada ya kutumia hii dawa Mimi nilikuwa muhanga wa hii changamoto...
  14. JamiiForums Tanzania Bashungwa Aipa Mwezi Mmoja Kamati ya Uwezeshaji wa Wazawa Sekta ya Ujenzi

    BASHUNGWA AIPA MWEZI MMOJA KAMATI YA UWEZESHAJI WA WAZAWA SEKTA YA UJENZI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa mwezi mmoja kwa Kamati inayoandaa Mkakati wa kuongeza ushiriki wa Wazawa katika Miradi ya Ujenzi kukamilisha maboresho ya taarifa hiyo ili iweze kubeba maudhui yote ya Sekta ya...
  15. JamiiForums Tanzania Wahi offer hii ya kudizainiwa logo mwezi wa makopa

    .
  16. JamiiForums Tanzania Kupoteza Kesi ya Madini ya Nikeli Kunagharimu Taifa dola milioni moja kila mwezi

    Mahakama ya Benki ya Dunia imetupilia mbali sababu nyingi za Tanzania za kubatilisha tuzo ya dola milioni 119 (zaidi ya TZS 309 bilioni) kwa mchimba madini wa nikeli kutoka Australia. lakini uamuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Tanzania Eliezer Feleshi kuendelea kutaka kufutwa kwa tuzo hiyo katika...
  17. JamiiForums Tanzania Watu wanaolalamikia internet kufosi Starlink mbona Voda, airtel wana unlimited nzuri kwa 120,000 tu kwa mwezi

    Habari wadau. Binafsi nawashangaa sana watu wanaolalamikia kwa nini star link haipo? Chief-Mkwawa amelinganisha vizuri kuhusu bei za internet ya starlink vs bei za ISP wa bongo. Bei za unlimited bongo now Airtel 70,000, TTCL 55,000, Vodacom 120,000, Zuku 69,000, Raha 50,000, Netsolution...
  18. JamiiForums Tanzania Haya ndiyo majibu ya Iran na washirika wake baada ya kushambuliwa na Marekani

    Iran kupitia kwa wizara yake ya mambo ya nje imesema Marekani imefanya kosa kubwa sana la kimkakati kwa kushambulia maeneo ya Iraq na Syria. Kwa upande wa Iraq imesema haitaki nchi yake iwe ni uwanja wa kujibizana mahasimu na kwamba inataka majeshi ya Marekani yaliyobaki yaondoke haraka nchini...
  19. JamiiForums Tanzania Tatizo la kizunguzungu yapata mwezi mmoja

    Wakuu Nina tatizo la kizunguzungu / dizness na kuona maluweluwe yapata mwezi mmoja sasa nimeenda dispensary naona miyeyusho tu daktari kanipima tu pressure basi kasema ipo sawa ila nikajiongeza mwenyewe nikamwambia acheck damu na maji akadai atanicheck mpaka jumatano- week ijayo kama mnavyojua...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa Mradi wa Mwendokasi analipwa zaidi ya milioni kumi kwa mwezi; hajawahi hata kutembelea abiria aone kero zao

    Naambiwa mkurugezi wa mwendo kasi akijumuisha salary, posho, safari na usafiri kwa mwezi mmoja anatumia zaidi ya milioni kumi za wananchi. Lakini pamoja na kulipwa fedha zote hizo bado hakuna siku amewahi kuonekana katika eneo la Mradi ambalo ni pungufu ya urefu wa kilomita 40. Yupo ofisini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…