Akitokea Kijijini Chato akapita Dodoma,akamwapisha Jaji mmoja aliyetoa hukumu kwa lugha ya kiswahili,ndani ya wiki mbili ndani ya Ikulu ya Dodoma akaota ndoto,kwa kiingereza wanasema "nightmare" kesho yake wakiwa jogging na mkewe,akamuhadhithia ile ndoto akamwambia,"Mwenzio Jana usiku nimeota...