mwenyekiti wa chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chakii

    JamiiForums Tanzania Pongezi, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu Antipas Lissu

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa,... Awali ya yote nichukue nafasi hii kumpongeza Sana Mh. Lisu kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, pongezi hizi zinaenda sambamba kwa viongozi wote wanaomfuatia akiwemo Makamu Mwenyekiti wake Mh. John Heche na wote watakaofuatia . Wadau mnaoitakia mema...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hotuba ya kushindwa uchaguzi wa nafasi ya mwenyekiti wa CHADEMA taifa na kujiengua CHADEMA yavuja

    Friends ladies and gentlemen, Inasekekana kuna mgombea wa nafasi ya mwenyekiti Chadema taifa, aliandaa mapema sana, hotuba mbili muhimu na za maana sana. Moja ya kushinda uchaguzi, na nyingine ni ya kushindwa uchaguzi. Sasa inadaiwa na mnyetishaji wa karibu na timu ya mgombea huyo kwamba, ile...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mgombea Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar: Vijana walipewa nafasi ya kukiongoza chama hawakufanya kitu

    Mgombea wa Mkamu Mwenyekiti wa Chadema Zanzibar, Hafidh Ali Salehe amedai vijana walipewa nafasi ya kukiongoza chama hicho na hawakufanya kitu, hivyo wazee wana uchungu nacho. Msingi wa Salehe kusema hayo ni alipoulizwa swali na mjumbe kuhusu umri wake kuwa mkubwa na kama ataweza kuongoza...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hapatakua na uchaguzi wa round ya pili, huenda Freeman Mbowe akachaguliwa kua mwenyekiti wa CHADEMA kwa kura zaidi ya 700 za wajumbe wote

    Huenda Freeman Aikaeli Mbowe akatangazwa mshindi wa uenyekiti wa CHADEMA Taifa kwa kujizolea kura zaidi ya 700 za wajumbe halali waliothibitishwa kua wapiga kura na kamati kuu. Ni wazi na ukweli usiofichika kwamba kanda zenye wajumbe wengi zaidi wa mkutano mkuu wa CHADEMA Taifa ni ngome imara...
  5. zitto junior

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA anaongoza wajumbe au wanachama?

    Wakuu habari za mchana, wakati joto la uchaguzi likizidi kupaa kuna hii notion imekuwa ikirudiwa rudiwa na Team Mbowe. Kwanza walianza campaign team ya Mbowe, akafuata Mbowe mwenyewe kwenye mahojiano na gazeti la mwananchi na sasa imerudiwa na mashabiki wake hapo mlimani City. Video hapo...
  6. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Rose Mayemba: Nimefukuzwa Makao Makuu kama mbwa na walinzi wa Mbowe. Aeleza Rushwa ya Freeman Mbowe ilivyokwamisha Uchaguzi Mkoa wa Njombe usifanyike

    https://youtu.be/pfMrZF7ISCc?si=WHSR_MisNg9yIa0e Sikuwahi kufikiri wala kumuona huyu dada kuwa kumbe ni jembe kiasi hiki... Cha ajabu eti Freeman Mbowe anamfanyia figisu figisu asiwe mwenyekiti wa chama mkoa wa Njombe - CHADEMA.. Honestly, simulizi yake hii kumhusu Freeman Mbowe inachukiza na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Lissu ashauriwe kama ana ndoto za kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe ni Karata yake muhimu sana asimuache

    Ni mjinga pekee ndiyo anaweza kuunderestimate Nguvu ya Mbowe ndani ya CHADEMA, Namshauri Lissu awamu hii akubali amekosea hesabu zake za kisiasa na ni wazi hatamuweza Mbowe atashindwa ila anaweza kurekebisha Makosa baada ya awamu hii kama kweli bado atakuwa anahitaji kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa, hakuna mwenyekiti wa kanda au mkoa wa CHADEMA anaemuunga mkono Tundu Lisu kua mwenyekiti wa CHADEMA taifa, kulikoni?

    Aliwakosea nini hawa wenyeviti wa chadema wa mikoa, hata asiwepo hata moja wao tu kumuuunga mkono Kibaraka kwenye nafasi ya mwenyekiti wa Taifa? Nimemskia mwenyekiti wa chadema mkoa wa Mbeya, kwa dharau sana akihoji kwamba, mtu ambae hana uhakika hata na usalama wake tu, ndio apewe uenyekiti wa...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mpwapwa: Atoa tahadhari kwa Mbowe na Lissu

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Wilaya ya Mpwapwa mkoani Didoma, ametoa tahadhari kwa wagombea wa nafasi ya Uenyekiti wa chama hicho kuacha kulalamika pindi mmoja wao atakapochaguliwa kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Januari 21, 2025.
  10. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania Rhoda Kunchela Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi kuongea na wanahabari katika Hoteli ya Safina Makumbusho Dar

    === Baada ya ukimya wa muda mrefu hatimaye Mhe Rhoda Kunchela Mbunge pekee mstaafu wa kike wa CHADEMA aliyechaguliwa kuongoza chama ngazi ya mkoa ataongea na wanahabari kesho katika Hoteli ya Safina. Waandishi wa habari wote mnakaribushwa
  11. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Chadema Njombe: Nahisi CCM wana tawi lao huku

    Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Njombe, Rose Mayemba amesema anahisi CCM wana tawi lao CHADEMA. Kupitia mtandao wa X mwenyekiti huyo amenukuliwa akisema "Kwa fedha nilizoshuhudia zikimwagwa USIKU kucha,nikikumbuka fedha zilivyokuwa zinamwagwa Njombe, naanza kuhisi CCM wana tawi lao huku kwetu"
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Musiba: Tundu Lissu hafai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ni mkweli mno

    Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema Tundu Lissu amekosa sifa za kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kwa sababu ya tabia yake ya kusema ukweli kila wakati kitendo ambacho sio kizuri kwa kiongozi wa ngazi ya Kitaifa. Soma, Pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea...
  13. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Impact ya Heche kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kwa chama chake

    Uamuzi wa Heche wa kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA unaweza kukisaidia sana chama chake kwa sababu zifuatazo: 1. Hotuba yake imeonekana level heade. Kuingia kwa Heche katika kinyang'anyiro hiki kinafungua milango kwa kuwapa watu option ya kuwapigia kura Mbowe na Heche. Hii ina...
  14. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Mdau amuuliza John Heche: Unataka Umakamu Mwenyekiti wa Chadema halafu miradi ya Dotto Biteko asimamie nani?

    Kuna mdau kwenye mtandao wa X anamuuliza John Heche anataka Umakamu Mwenyekiti wa Chadema halafu miradi ya Dotto Biteko asimamie nani? Anaendelea kuanika "Hakuna asiefahamu kuwa wewe ndiye Msimamizi wa miradi yote ya Dotto Biteko ikiwemo migodi yake ya Madini".
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA, Songwe: Tumekaa tumeona tusimame na Tundu Lissu na siyo kama tunampuuza Mbowe

    Wakuu Uchaguzi unapamba moto == Ni siku chache zimepita toka Wenyeviti wa CHADEMA kujikusanya na kumshawishi Freeman Mbowe kugombea nafasi ya uenyekiti kwa mara nyingine Hali imekuwa tofauti kwa Mwenyekiti wa Mkoa wa Songwe Isakwisa Lupembe baada ya kusema Wamejirisha watu wanachama...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi ujao wa Mwenyekiti CHADEMA, Tundu Lissu atashinda ila kwa mizengwe

    Nafahamu kuwa watu wengi wako nyuma yako na unapendwa sana lakini ukumbuke uchaguzi unaokuja utashindwa kwa mizengwe. Wewe kuubali yaishe na uendelee kuijenga CHADEMA.
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wenje: Lissu akiwa Mwenyekiti wa Chadema, ndani ya mwaka mmoja wanachama watamfukuza

    Kumekucha, hata akiingia atafukuzwa na wana chama. Hii ni kauli ya Wenje wakati akihojiwa na wasafi media.
  18. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Ujinga na umasikini wa wajumbe ndio unaomfanya Mbowe aendeleee kuwa mwenyekiti wa chadema milele.

    jamani nafsi na roho yangu vinanishudia kuwa Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti wa chadema, nimeumia sana baada ya kuona hili jambo linaenda kutendeka, ukisoma vzr sana walaka wa marehemu "chacha wangwe" utagundua kuwa Mbowe sio rahisi kushindwa uchaguzi kwa sbb ya ujinga mkubwa, na umasikini wa...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA-TAIFA hauna ushindani kabisa, ni Uchaguzi mwepesi mno

    Ni uchaguzi wenye makelele mengi mitandaoni, lakini hauna ushindani kabisa kiuhalisia field. Hii ni kutokana na ukweli kwamba kwa upande moja mgombea ni dhaifu sana ndani ya chama, yaani kwamba mgombea huyo anaungwa mkono nje ya chama, kwenye mitandao ya kijamii na wana harakati wasio na...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini Dkt. Slaa, Msigwa wanatajwa kuwa kampeni Meneja wa Lissu? Mbona juzi tu waliitwa wasaliti?

    Dkt. Slaa ni mwana CCM, aliwasambaratisha chadema kwa kuwakimbia wakati UKAWA wakikaribia sana kuikamata nchi. Slaa akapelekwa hotelini Rwanda akapewa mabinti wa kihima, baadae ubalozi. Leo Dk Slaa ndio kampeninmeneja wa Lissu na Mtunza fedha. Anashinda mitandaoni na genge lake ambalo linalipwa...
Back
Top Bottom