mwenyekiti wa chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hakuna ubishi tena Lissu kawa shujaa wa Tanzania, ni zaidi ya mwenyekiti wa CHADEMA kwasasa

    Kwa Tanzania Lissu tofauti na huko nyuma anaonakana zaidi kama shujaa wa wanyonge na si kama mwenyekiti wa chama pekee. Kampeni zake za mwaka jana zimempandisha chat zaidi hata ya zamani na Polisi kumshika kwa mbinu za zamani sasa watagundua nyakati ni tofauti. Kuna watanzania wengi sana...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA mkoa wa Tabora akana kuhusishwa na G-55 'sikuwahi kuweka saini kwenye waraka huo'

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Tabora, James Kabepele, amekanusha kuhusika na waraka wa vuguvugu la G55 linalodaiwa kupinga kampeni ya No Reforms No Election, akisisitiza kuwa hakuwahi kuweka saini kwenye waraka huo wala kuonesha nia ya kugombea jimbo lolote...
  3. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naunga mkono hoja ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ya kusogeza uchaguzi mbele hadi 2027

    Katika kuweka malengo huwa unabidi usiangalie muda Ila unabidi kuangalia njia sahihi ya kutimiza hayo malengo. Kutoa miaka mitatu ya kujipanga kuandaa reform , kuandaa katiba Mpya sio mbaya maana ukisema uingie katika uchaguzi bila reform yoyote wala katiba Mpya unakuwa umefanya Kazi bure Hvyo...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa Kijiji CHADEMA aibukia kwenye Mkutano wa Mbunge wa Hai, Apongeza Kazi za serikali ya awamu ya sita

    Naam, saiti hali ni tofauti kabisa na wanachosema viongozi wa chadema wanaokaa mikocheni wakiota ndoto za alinacha, saiti inamkubali Samia kwa asilimia kubwa, na ni atazuia uchaguzi?tunasema, kauli ya no reform no election sio tunda la wanachama ngazi za chini(grass root) na itakuwa biggest...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ifike time, uitishwe Mdahalo kati ya Mwenyekiti wa CCM vs Mwenyekiti wa CHADEMA.

    Salaam Tanganyika! Issues nyingi zinaibuliwa wakati huu na zinaonekana ni za upande mmoja, Na anayeibua HOJA nyingi ambazo hazipati majibu ni huyu Mwenyekiti mpya wa chama Cha upinzani TUNDU Lissu. Sasa Kwa kuwa anayetakiwa kuzichambua ni mwananchi, ni muhimu wenyeviti Hawa wawili...
  6. KING ASSENGA

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Barua ya wazi kwa mheshimiwa ex mayor wa ubungo na mwenyekiti wa chadema kanda ya Pwani

    Salaam na heshima kwako mheshimiwa Boniface Jacobo Mayor mstaafu na Mwenyekiti wa Kanda ya pwani chama Cha demokrasia na maendeleo CHADEMA. Kiongozi kabla ya kusema niliyowiwa kuyasema naomba kutambua unao washauri wengi sana wenye vyeo na nafasi kubwa kuliko Mimi ila naomba unipe dakika...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu atembelewa na Viongozi wa ACT Wazalendo makao makuu ya Chama

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Tundu Lissu leo ametembelewa ofisini kwake Makao Makuu ya chama hicho na viongozi wa ACT Wazalendo ambao ni Makamu Mwenyekiti Zanzibar Ismail Jussa (kulia) na Katibu Mkuu Ado Shaibu. Pamoja na mambo mengine, wameongelea hali ya kisiasa nchini.
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Unadhani ni kwanini vyama vya upinzani nchini vimeupuuza wito wa mwenyekiti wa CHADEMA taifa, wa kuunganisha nguvu, au wamehisi ni ulaghai na utapeli?

    Nini hasa unadhani kimepelekea vyama vya upinzani nchini, kupuuza na kuukalia kimya wito wa kuunganisha nguvu ya upinzani kisiasa na kiongozi mpya wa Chadema Taifa, kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu2025? Ni hisia za ulaghai na utapeli wa kisiasa dhidi ya mipango ya vyama vyao, na...
  9. upupu255

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anaumwa na amepelekwa Ubelgiji kwa matibabu

    WanaJF Nimekutana na taarifa hii huko mtandaoni. Je, ina ukweli wowote? Hali ya kiafya ya Mheshimiwa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), imeendelea kuzorota, hali iliyolazimu apelekwe nchini Ubelgiji kwa matibabu ya dharura. Kutokana na changamoto za afya...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chacha Heche: CHADEMA hakuna vibaka wala sio kweli chama hicho kilikuwa kinachukua vijana kutoka Tarime na kwenda kuwatumia kufanya fujo

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara Chacha Heche amesema katika chama hicho hakuna vibaka wala sio kweli chama hicho kilikuwa kinachukua vijana kutoka Tarime na kwenda kuwatumia kufanya fujo kama mamluki (Mercenaries). Soma Pia: Wasira: CHADEMA wakitaka...
  11. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania 1 Hour Version: Mwisho Alichozungumza Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu Kuhusu Mwelekeo wa Chama Chake

    https://youtu.be/eWtxxt3SgFY?si=OEiP2CXjljRD8gir
  12. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania EAtv saa 1 kwanini mmepotosha maelezo ya mwenyekiti wa CHADEMA

    Kwenye taarifa ya habari ya leo saa 1 jioni ilikuwepo taarifa ya mwenyekiti wa Chadema kuhusu uchaguzi mkuu ujao, mhe. Lissu kwenye maelezo yake amesema Chadema haitasusia uchaguzi, lakini maandishi kuhusu maelezo yanasema Chadema itasusia uchaguzi! Upotoshaji huu ni kwa manufaa ya nani? EATV...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Chadema wakili msomi Tundu lisu anaongoza jopo la mawakili Leo kesi ya Dr slaa

    Mwenyekiti wa Chadema wakili msomi Tundu lisu anaongoza jopo la mawakili Leo kesi ya Dr slaa
  14. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 PICHA: Tundu Lissu aongezeka jopo la Mawakili kumtetea Dkt. Slaa Kisutu, kesi ya kusambaza taarifa za uongo

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akiwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuungana na jopo na mawakil linalomtetea Dk. Wilbroad Slaa anayeshtakiwa kwa makosa ya kuchapisha taarifa za uongo katika mitandao ya kijamii.
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Huu ndio Muonekano Mpya wa Ukuta ndani ya Ofisi ya Mwenyekiti wa Chadema

    Muonekano Mpya huu hapa Toa Maoni yako
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Umeme umekatika tena wakati Tundu Lissu akiongea wakati wa kufunga Kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA

    Katika hali isiyotarajiwa umeme umekatika hapa Ukumbini Mlimani City wakati Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akielekea kufunga Kikao cha Baraza Kuu la chama hicho. Walinzi wameimarisha hali ya usalama kwa kuzunguka meza kuu mpaka umeme uliporudi. Soma Pia: Tundu Lissu amteua John Mnyika...
  17. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya kiroho ya Likud kuhusu mvua inayonyesha leo siku ambayo Lissu ameshinda uenyekiti. Je, ina uhusiano na tukio la Septemba 07, 2017?

    Kuna vitu hapa duniani huwezi kuvielewa mpaka akueleweshe Likud. Kuna watu hapa JF WaPo addicted with my opinion about everything. They love the way I think. Sio Kwa meseji hizo inbox wakiuliza maoni yangu kuhusu mantiki ya kiroho ya mvua inayo nyesha Leo jijini Dar es salaam ambayo imeanza...
  18. chakii

    JamiiForums Tanzania Pongezi, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu Antipas Lissu

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa,... Awali ya yote nichukue nafasi hii kumpongeza Sana Mh. Lisu kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, pongezi hizi zinaenda sambamba kwa viongozi wote wanaomfuatia akiwemo Makamu Mwenyekiti wake Mh. John Heche na wote watakaofuatia . Wadau mnaoitakia mema...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hotuba ya kushindwa uchaguzi wa nafasi ya mwenyekiti wa CHADEMA taifa na kujiengua CHADEMA yavuja

    Friends ladies and gentlemen, Inasekekana kuna mgombea wa nafasi ya mwenyekiti Chadema taifa, aliandaa mapema sana, hotuba mbili muhimu na za maana sana. Moja ya kushinda uchaguzi, na nyingine ni ya kushindwa uchaguzi. Sasa inadaiwa na mnyetishaji wa karibu na timu ya mgombea huyo kwamba, ile...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mgombea Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar: Vijana walipewa nafasi ya kukiongoza chama hawakufanya kitu

    Mgombea wa Mkamu Mwenyekiti wa Chadema Zanzibar, Hafidh Ali Salehe amedai vijana walipewa nafasi ya kukiongoza chama hicho na hawakufanya kitu, hivyo wazee wana uchungu nacho. Msingi wa Salehe kusema hayo ni alipoulizwa swali na mjumbe kuhusu umri wake kuwa mkubwa na kama ataweza kuongoza...
Back
Top Bottom