mwenyekiti wa ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwenyekiti wa CCM aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, leo Februari 25, 2026

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika mkoani Dodoma, tarehe 25 Februari, 2026.
  2. Brenda Rupia: CHADEMA hatuitambui Tume. Haiwezekani Mwenyekiti wa CCM awe kiongozi alafu aliowachagua watoe msimamo tofauti na alioutarajia

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo na wanahabari Mkurugenzi wa Mawasiliano CHADEMA Brenda Rupia amesema kuwa CHADEMA hawaitambui tume ya kuchunguza yaliyotokea Oktoba 29 kwani imejaa CCM na hata aliowachagua hao walioko kwenye tume ni Mwenyekiti wa CCM
  3. M

    Tunakoelekea ni kubaya, vikundi vya uasi vinakiri kuhusika na mauaji ya mwenyekiti wa CCM na polisi, hii sio tamaduni yetu watanzania, this must stop

    Kama unatumia mitandao nadhani umewaona TFF (Tanganyika freedom fighters) wanakiri kuhusika na kumkata kata mapanga mwenyekiti wa CCM kijiji cha mkoani Mbeya na kumshambulia polisi hadi kifo. Sikuwahi kufikiria hata siku moja tutafikia huku na cha kushangaza nimesoma baadhi ya comments...
  4. R

    Rais Samia kupigana hadharani ni kosa la jinai. Mwajibishe Msukuma kama Mwenyekiti wa CCM

    Ni hayo tu kwa leo. Kupigana hadharani ni kosa la jinai. Amekidhalilisha chama chako. Hiyo ni aibu yako! Mwajibishe!
  5. Q

    Mwenyekiti wa CCM (Singida): Acheni kumnyanyasa Samia, tangu achaguliwe mnamzuia kufanya kazi

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Martha Mlata, amesema kuwa tangu kumalizika kwa uchaguzi wa Oktoba 29 kumekuwepo na hali ya kumnyanyasa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kiasi cha kumsononesha na kuathiri mazingira ya kufanya kazi kwa utulivu. Mlata ametoa kauli hiyo leo...
  6. PostGE2025 Ruvuma: Spika Mussa Zungu anataka mtoto wa Jenista Mhagama kupendekezwa Ubunge jimbo la Peramiho?

    "Mkuu wa Mkoa uko hapa, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi upo hapa na Nyota Mtoto wetu yupo hapa. Nafikiri nikisema hivyo mmenielewa. Mmenielewa? Nyota ya mtoto wetu yupo hapa, nawashukuru sana Familia. Dodoma niliwaambia mshikamane, mpendane. Hiki ni kipindi kigumu kwenu." Spila wa Bunge la...
  7. PreGE2025 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia anarudisha Fomu ya Uchaguzi Mkuu muda huu Agosti 27, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=Z2GEtzscmaY https://www.youtube.com/watch?v=2cTVOqAW2xg Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akirudisha fomu ya Uchaguzi Mkuu Tanzania katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi Tanzania (INEC) Dodoma, leo tarehe 27 Agosti, 2025.
  8. K

    Mwenyekiti wa CCM ni kama pambo tu haelewi yote

    Mwenyekiti wa CCM ni kama pambo tu haelewi yote. Mfano inawezekana haija ambiwa kwamba CCM wanapata data za NIDA kinyume cha sheria. Tekateka imeundwa na wateule wake. Kuna wateulewake wanaenda kuomba pesa kwa wafanyabiashara kwa mgongo wake. Kwasababu ya upole upole na kupuuza mambo Rais...
  9. GE2025 Mwenyekiti wa CCM, Samia Suluhu achukua Fomu ya Urais Oktoba 2025

    Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan, na mgombea mwenza, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo Agosti 9, 2025 wanaenda katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuchukua fomu kuelekea uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025. Msafara wa Magari...
  10. M

    Je, ni kweli wana CCM mnauhakika Chadema Imekufa? Basi ruhusuni mkitano yao na mmfungulie Lissu

    Ni wajinga tu ndio wenye kuamini Chadema itakufa! Chadema ni kama Imani iliyowaingia wananchi damuni Iko hivi, hata sasa, Jina tu la Tundu Lissu liwekwe kwenye karatasi za wagombea akiwa huko huko jela, kuna mtu atapigwa K.O
  11. GE2025 Mwenyekiti wa CCM ampigia kampeni mgombea mmoja kabla ya kura za maoni

    Wakuu Hali ya kushangaza imejitokeza katika Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro baada ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai Wanguba Maganda na Katibu wa Kata Machame kumpigia kampeni kinyume cha taratibu Aliyekua Mbunge wa Jimbo hilo la Hai Mkoani Kilimanjaro Saashisha Elinikyo Mafuwe. Kupitia video...
  12. GE2025 Kilimanjaro: Mwenyekiti CCM Hai ampigia debe Saasisha Mafuwe huku akiwabeza wengine hawana uwezo

    Wananchi katika jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro wamemlalamikia mwenyekiti Wanguba Maganda kwa kuonesha mapenzi ya wazi kwa mgombea Saasisha Mafuwe huku akiwabena wengine hawana uwezo
  13. GE2025 CCM yafanya marekebisho ya Katiba yanayohusisha maamuzi ya Kamati Kuu uteuzi wa wagombea udiwani na ubunge

    Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM akishiriki Mkutano Mkuu Maalum CCM kwa Njia ya Mtandao White house -Dodoma, leo tarehe 26 Julai, 2025 https://www.youtube.com/live/-Tu6zVGA9PU?si=2ByaTaVIA6m33xsQ Mwenyeiti wa chama cha mapinduzi (CCM) Rais Samia ameshafungua mkutano na sasa shughuli zimeanza...
  14. Kwamba Mwenyekiti wa CCM Taifa amejipitisha kuwa mgombea urais kwa mlango wa uani/jikoni? Na Msajili kajikalia kimyaaa kama hamna kilichotokea

    Kama kichwa cha mada kinavyojieleza. Hali hii ndugu zangu haitapita hivi hivi, hata kama mgombea ambaye amepitishwa na JK atapita hapo Oktoba. Hali hii itaendelea kukitafuna chama chetu na kuleta mgawanyiko mkubwa. USHAURI: Tufuate utaratibu wa watu kwenda kuchukua fomu, na kama tutakubaliana...
  15. K

    Ombi la kukutana na katibu Mkuu wa CCM au Mwenyekiti wa CCM Taifa

    Kwa heshima na taadhima , Nina ombi la kukutana na katibu Mkuu wa CCM au Mwenyekiti wa CCM Taifa kwa lengo la kufikisha salamu zangu njema kwa Chama Cha Mapinduzi Natanguliza shukrani za dhati kwa atakayesaidia kunifanikishia suala hili. Kwa mawasiliano: 0715804254
  16. GE2025 Mwenyekiti wa Chama hebu wapige bao wanaokuhujumu kwa mbinu takatifu isiyo na mawaa

    Ni dhahiri mwenyekiti wa Chama ukilazimisha kwa hali ilivyo hutatoboa kwenye uchaguzi ujao pamoja na kwamba wewe ndo kiongozi wa nchi. Itakuwa ngumu wewe kujua maana hutakuwa na muda sababu utakuwa na stress za kampeni. Sababu kuu ni kwamba sasa adui yuko chumbani kwako siyo sebuleni tena...
  17. DOKEZO GE2025 Kashfa kubwa mchujo wa Ubunge Mwanga. Kama wewe sio Muislam hupiti. Sikiliza audio iliyovuja

    Mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni za kuwania nafasi mbalimbali za Ubunge na Udiwani, zimeingia dosari baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Mwanga, Ibrahim Mzava, kudaiwa kuendesha mchakato huo kwa ubaguzi wa dini pamoja na kuomba rushwa kwa baadhi ya watia nia wa Ubunge...
  18. PreGE2025 Mtangazaji wa Clouds FM, Khaan Mbarouk: Alichofanya Mpina ni utovu wa nidhamu mbele ya Rais na Mwenyekiti wa CCM

    Kumekucha wana JF? Haya watetezi wa Rais kazini, huyu Mtangazaji tangu apewe Tuzo kageuka kuwa Chawa naye. Eti Mpina ni mtovu wa nidhamu kumwambia Rais shida alizotumwa na wananchi wake? Jana wote tumeona na tumesikia alivyokuwa anaongea jinsi wananchi walivyokuwa wanashangilia kwa furaha...
  19. Makosa makubwa sana kumpa Samia kuwa mwenyekiti wa CCM juzi hapa amevunja katiba ya chama hicho vijana chipukizi wanajifunza nini?

    Makosa makubwa sana kumpa samia kuwa mwenyekiti wa CCM juzi hapa amevunja katiba ya chama hicho vijana chipukizi wanajifunza nini ? Kwenye mchakato wa kumpata mgombea wa uraisi hakufuata katiba ya chama hicho inamaana wajumbe na mwenyekiti wame baka katiba ya chama, labda ni kwa vitisho vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…